Uchaguzi 2020 CHADEMA miradi ya ujenzi mnayoiponda ni wananchi wa maeneo husika ndio waliiomba, kuiponda ni kuwatukana

Wananchi wa Chato waliomba kujebgewa uwanja wa ndege ?
Lisu aende Rufiji tu pale ulipo mradi wa Stigler Gorge awaambie wananchi hauna faida halafu aombe kura aone kitakachofuata akitoka akutane na wenye viwanda awaambie miradi ya umeme ya Magufuli ni ujinga mtupu aendeleze watu aache kuhangaika na Stigler Gorge aone kitakachomkuta akitoka aende chato akawaambie mradi wa uwanja wao wa ndege hauna faida aombe kura aone muziki wake akitoka hapo aende kwa wasukuma akawaambie ndege hazina faida kwa mtu wa kawaida aone muziki wake

Lisu ana tatizo kichwani miradi kama anasema mibaya akaongee ilipo kama yeye kidume kweli akaiponde ilipo

Lisu hana agenda serious yenye hoja mbabaishaji tu
 
Hii huruma kwa CDM mleta mada unayo tangu lini?

Si uwaache waendelee kujiharibia wenyewe?

Tangu lini wewe ukawatakia mema CDM?

Leo umepatwa na shetani gani kuanza kuwashauri CDM wajiepushe na risk unayoisema?

Mwambieni jiwe kama mnampenda, uhuru na haki zetu safari hii wenyewe tunavitaka.
 
Acha uongo mwananchi gani aliomba Stieglas gorge.
Kwani ulikuwa hulalamiki kuhusu umeme kukatika na bei kuwa juu,
Au ulifikiri wangetengeneza kwa kutumia matako yako?
Hiyo stieglaz ndio tiba ya malalamiko yako.
 
Hii huruma kwa CDM mleta mada unayo tangu lini?

Si uwaache waendelee kujiharibia wenyewe?

Tangu lini wewe ukawatakia mema CDM?

Leo umepatwa na shetani gani kuanza kuwashauri CDM wajiepushe na risk unayoisema?

Mwambieni jiwe kama mnampenda, uhuru na haki zetu safari hii wenyewe tunavitaka.
Siwahurumii na wala sihitaji aende miradi ilikojengwa academe maendeleo ya watu sio miradi aone mziki wake watu hawana barabara shule,hospital,miradi ya maji ,umeme uwepo wa bei nafuu na unaopatikana kirahisi nk wakaomba miaka waletewe Magufuli kapeleka Halafu Lisu aende pale aseme Magufuli mjinga anaendekeza maendeleo ya vitu badala ya watu na aombe kura aone muziki wake
 
Kwani ulikuwa hulalamiki kuhusu umeme kukatika na bei kuwa juu,
Au ulifikiri wangetengeneza kwa kutumia matako yako?
Hiyo stieglaz ndio tiba ya malalamiko yako.
Mwambie mjinga huyo nakala ya hili jibu apewe Lisu kama lilivyo bila kubadilisha neno hata moja
 
Chato ya miaka 15 ijayo sio sawa na ya leo. Tatizo la siasa zetu ni ubinafsi wa kuangalia leo tu.

Mwanza airport inakwenda kuwa hub ya ukanda huu hivyo ni lazima uwepo uwanja mwingine wa ndege wenye kuwa karibu na hub.

Haya ni masuala ambayo Tundu Lissu hawezi kuyaongelea kwa sababu hana maono ya mbali zaidi ya kujikita kwenye siasa zenye kuitazamaleo tu.
Hii formula gani unatengeneza alternative wakati hujakamilisha main goal?
 
CHADEMA imekuwa ikiponda ujenzi wa Miradi mbalimbali kuanzia reli, zahanati, mashule, mabarabara nk

Wasichokijua siku ni nini ? Lakini hio miradi ni wananchi waliiomba kupitia wabunge wao walioko bungeni.

Kuiponda ni kuwaponda wananchi wapiga kura ambao ndio waliohitaji hiyo miradi.

Hiyo ponda ponda ya CHADEMA ni at their own risk! Sababu miradi iliombwa na wapiga kura.

CCM tutumie hii hoja kuwavurumisha CHADEMA wasipate kura maeneo hiyo miradi ilipo tuwaambie wazi mlitaka shule tukajenga kuna Chama kinaitwa CHADEMA kinaponda huu ujenzi mlioutaka wenyewe msikipe kura.
Wananchi wenyewe wana raha ajabu
Leo nilikua naongea na vijana wa bodaboda mtaani kwetu wananiambia barabara zilivyokua zikiwatesa kwa mashimo na raha wanayopata sasa wao ni mwendo ✔ kwa CCM kuanzia rais, mbunge hadi Diwani
 
Lisu hatujui CCM aulize Slaa au Lowasa au Membe au Seif sharrf Hammad hapa hatujaanza kampeni tunapasha misuli na push up tu kampeni Bado asione ohh CCM ohh wameanza anaota tuko rehearsal

Tukianza atarudi ubelgiji

Mazoezi ya warm up tumeanzia kwa CCM mwenzetu Membe kujenga uwezo kakimbia kwenda nje mchana kweupe bila kufukuzwa

Lisu tuna mbip tu aone mikutano yake ya pambano kabla CCM hatujaingia full

Hayo mahudhurio madogo anayoyaona tuna mbip kampeni Bado
 
Siwahurumii na wala sihitaji aende miradi ilikojengwa academe maendeleo ya watu sio miradi aone mziki wake watu hawana barabara shule,hospital,miradi ya maji ,umeme uwepo wa bei nafuu na unaopatikana kirahisi nk wakaomba miaka waletewe Magufuli kapeleka Halafu Lisu aende pale aseme Magufuli mjinga anaendekeza maendeleo ya vitu badala ya watu na aombe kura aone muziki wake

Uhuru na haki ni mambo ya msingi sana. Haya yakiwa na maana ya kuwa na gaki ya mafikira yako tofauti na wengine na haki ya kwenda popote mradi hakuna sheria iliyovunjwa. Heshimu mawazo ya wengine jombi.

Kwa taarifa yako huyu bwana anaungwa mkono na wengi sana. Fika kwenye mikutano yake uone Muziki wake.

Huyu bwana haongei lugha za kienyeji kama bwana yule.

Sanduku la kura na likawe mwamuzi wa haki na huru.

Hayo tu ndiyo yanayoombwa na wengine. Si CCM wala bwana yule wenye hata uthubutu wa kutamka hayo. Wewe bado huoni tatiZo lilipo?

Ndiyo maana mmebatizwa majina nyinyi!
 
Miradi Ni haki ya mtu aliyeiomba
Sio kesi yeye Lisu aendelee tu kuhubiri huo ujinga wake as if miradi iwe umeme barabara hospital zahanati elimu bure nk Sio haki ya aliyeiomba CCM hatuna shida abwate atakavvyo tukutane sanduku la kura ruksa
 
Nakazia: "Sanduku la kura lililo huru na la haki."

Kukumbuha si jiwe wala CCM wamelitamka hilo.
 
wana cdm wengi hawajasoma

Wewe ndiyo mwenye ule ushindi wa 85% kwa jiwe pia?

Hitimisho zenu huwa ni kutokana na tafiti kweli au ni ndoto za mchana tu mnapokuwa mnafikiria zile buku 7 za siku husika?
 
Lisu hatujui CCM aulize Slaa au Lowasa au Membe au Seif sharrf Hammad hapa hatujaanza kampeni tunapasha misuli na push up tu kampeni Bado asione ohh CCM ohh wameanza anaota tuko rehearsal

Tukianza atarudi ubelgiji

Mazoezi ya warm up tumeanzia kwa CCM mwenzetu Membe kujenga uwezo kakimbia kwenda nje mchana kweupe bila kufukuzwa

Lisu tuna mbip tu aone mikutano yake ya pambano kabla CCM hatujaingia full

Hayo mahudhurio madogo anayoyaona tuna mbip kampeni Bado
YEHODAYA 😍😍
 
CHADEMA imekuwa ikiponda ujenzi wa Miradi mbalimbali kuanzia reli, zahanati, mashule, mabarabara nk

Wasichokijua siku ni nini ? Lakini hio miradi ni wananchi waliiomba kupitia wabunge wao walioko bungeni.

Kuiponda ni kuwaponda wananchi wapiga kura ambao ndio waliohitaji hiyo miradi.

Hiyo ponda ponda ya CHADEMA ni at their own risk! Sababu miradi iliombwa na wapiga kura.

CCM tutumie hii hoja kuwavurumisha CHADEMA wasipate kura maeneo hiyo miradi ilipo tuwaambie wazi mlitaka shule tukajenga kuna Chama kinaitwa CHADEMA kinaponda huu ujenzi mlioutaka wenyewe msikipe kura.
Kumbe kuwaletea Wananchi maendeleo lazima waipigie magoti Serikali?. Mbona ni ujinga kupindukia
 
Nakazia: "Sanduku la kura lililo huru na la haki."

Kukumbuha si jiwe wala CCM wamelitamka hilo.
Kama hakuna sanduku la kura lililo huru kwanini upinzani walikubaliana na tume ya uchaguzi kufata taratibu? Kwanini wanafanya kampeni? kwanini wanashiriki uchaguzi?

Au wapo kimaslahi zaidi😮😮
 
Kumbe kuwaletea Wananchi maendeleo lazima waipigie magoti Serikali?. Mbona ni ujinga kupindukia
sasa wamepiga magoti serikali kupitia wabunge wao wamepewa sasa unasemaje? Kuwa miradi ya maendeleo ujinga mtupu?
 
..ulichoandika naweza kusema ni URONGO.

..lazima kuwa na hitaji la uwanja wa ndege, halafu ndio uwanja huo ujengwe.

..huwezi kujijengea tu uwanja wa ndege, halafu ukikamilika ndiyo unaaza kutafuta huku na kule sababu za kuhalalisha ujenzi huo.

..unadai Chato utakuwa uwanja wa ndege wa "kusaidia" uwanja wa ndege wa Mwanza. Sasa kwanini umeanza kujengwa Chato kabla ya kumaliza upanuzi wa Mwanza? You would have made more sense kama ungesema Mwanza ni uwanja wa "akiba" wa Chato. After all Chato ni international airport and Mwanza is not.

..kuna mwingine nimemsikia anadai uwanja wa ndege wa Chato ni kwa ajili ya "usalama" wa Raisi. Hivi maraisi wote waliomtangulia Jpm hawakuwa na mahitaji ya usalama? Mbona hawakujenga viwanja vya ndege vijijini kwao? Yaani usalama wa Jpm unatishiwa kuliko wa Mwalimu Nyerere ambaye alikuwa na mgogoro wa kijeshi na Uganda tangu mwaka 1971 mpaka 79, pamoja na vita vya ukombozi kusini mwa afrika?

..uwanja wa ndege Chato ni kwa mahitaji binafsi ya Jpm, na siyo hitaji la wananchi wa kanda ya ziwa, mkoa wa Geita, au wilaya ya Chato.
Unaweza kuwa na dhana nyingi kichwani mwako lakini kisayansi ndio sababu ya msingi.

Uwanja mkuu Dar uwanja wa dharura Zanzibar.

Uwanja mkuu KIA uwanja wa dharura Arusha.

Hali ipo hivyo duniani nzima lakini ukiingiza siasa kwenye kila kitu haya mambo huwezi kuyaelewa.
 
Back
Top Bottom