YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
- Thread starter
- #41
Lisu aende Rufiji tu pale ulipo mradi wa Stigler Gorge awaambie wananchi hauna faida halafu aombe kura aone kitakachofuata akitoka akutane na wenye viwanda awaambie miradi ya umeme ya Magufuli ni ujinga mtupu aendeleze watu aache kuhangaika na Stigler Gorge aone kitakachomkuta akitoka aende chato akawaambie mradi wa uwanja wao wa ndege hauna faida aombe kura aone muziki wake akitoka hapo aende kwa wasukuma akawaambie ndege hazina faida kwa mtu wa kawaida aone muziki wakeWananchi wa Chato waliomba kujebgewa uwanja wa ndege ?
Lisu ana tatizo kichwani miradi kama anasema mibaya akaongee ilipo kama yeye kidume kweli akaiponde ilipo
Lisu hana agenda serious yenye hoja mbabaishaji tu