antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 47,274
- 126,778
Miradi ya kifisadi ya Richmond na iPTL iliasisiwa na kuidhinishwa na serikali ya chama gani?!Wananchi kwa ujumla wetu umeme uliokuwa ukikatika katika na ukiwa na gharama kubwa za mifisadi ya Richmond na iPTL tuliitaka setikali kupitia wabunge wetu waipigie kelele itafute ufumbuzi tuondokane na hiyo adha ikaja na ufumbuzi wa stigler gorge
Walisema watafufua shirika la ndege leo limefufuliwa wanaongea kejeli majukwaani.CHADEMA imekuwa ikiponda ujenzi wa Miradi mbalimbali kuanzia reli, zahanati, mashule, mabarabara nk
Wasichokijua siku ni nini ? Lakini hio miradi ni wananchi waliiomba kupitia wabunge wao walioko bungeni.
Kuiponda ni kuwaponda wananchi wapiga kura ambao ndio waliohitaji hiyo miradi.
Hiyo ponda ponda ya CHADEMA ni at their own risk! Sababu miradi iliombwa na wapiga kura.
CCM tutumie hii hoja kuwavurumisha CHADEMA wasipate kura maeneo hiyo miradi ilipo tuwaambie wazi mlitaka shule tukajenga kuna Chama kinaitwa CHADEMA kinaponda huu ujenzi mlioutaka wenyewe msikipe kura.
Walisema watafufua shirika la ndege leo limefufuliwa wanaongea kejeli majukwaani.
Wakati mwingine inawabidi waongee wanavyoongea majukwaani kwani wanakuwa wakitekeleza wajibu wao wa kidemokrasia.
Kwa uelewa wako na mtazamo wako unaotazama leo na kesho tu...shirika la ndege ni hasara tupu.
..wapinzani hawajakosea kukosoa hali hiyo.
Miradi ya kifisadi ya Richmond na iPTL iliasisiwa na kuidhinishwa na serikali ya chama gani?!
Kwa uelewa wako na mtazamo wako unaotazama leo na kesho tu.
Hawakuomba hiyo gorge! Waliomba kupatiwa umeme wa uhakika bila mgao na kwa bei rahisi - pia wakaomba usambazwe nchi nzima. Hawakuomba SGR, bali waliomba usafiri wa bei nafuu na wa haraka muno, wakaongeza kwamba pia uwe salama na uhakika kwa abilia na mizigo.Acha uongo mwananchi gani aliomba Stieglas gorge.
Sio biashara ya duka la mangi la kuuza Michele na omo za kufulia. Mikakati inaangalia mbali sana...hebu tueleze atcl imeingiza faida kiasi gani kwa mwaka uliopita?
Hawakuomba hiyo gorge! Waliomba kupatiwa umeme wa uhakika bila mgao na kwa bei rahisi - pia wakaomba usambazwe nchi nzima. Hawakuomba SGR, bali waliomba usafiri wa bei nafuu na wa haraka muno, wakaongeza kwamba pia uwe salama na uhakika kwa abilia na mizigo.
Hawakuomba Ubungo interchange wala mfugale flyover au new Sarender bridge - bali waliomba kusafiri ndani ya Dar-es-salaam kwa haraka bila foleni. Pamoja na mengine mengi! Kuona hivyo ndipo hayo mnayoyapinga yakazaliwa na wananchi wote pamoja na wewe mnayakubali.
Sio biashara ya duka la mangi la kuuza Michele na omo za kufulia. Mikakati inaangalia mbali sana.
Kumbuka kuwa Mungu katupa maliasili nyingi hivyo ni jukumu letu kuwa na mipango inayotazama mbali.
Huwezi kupewa utajiri kama tulionao halafu ukawa na mitazamo inayojikita ndani tu ya nchi.
Aahh wapi..
Miradi hii ndipo Meko anakopigia hela..
Nani hajui??
Nani alimuomba ananunue mindege kwa cash??
Upigaji.
Kujikwamua inategemea na uelewa wa mtu mmoja mmoja. Kwake jambo lisilofahamika kwa mwingine ni fursa ya kimaendeleo...atcl imepata faida au hasara?
..tunataka kuona maendeleo in our generation.
..tangu ccm imeasisiwa kumekuwa na ilani zisizopungua 8 za uchaguzi.
..na ilani zote hizo zimeshindwa kuikwamua nchi yetu.
Chato ya miaka 15 ijayo sio sawa na ya leo. Tatizo la siasa zetu ni ubinafsi wa kuangalia leo tu...Na wananchi wa Chato wameomba international airport na usafiri wa ndege.
Hawa wa Chato walikuwa kama wewe hawakuomba international Airport na wala vitu hivyo hawavijui. Ila walipojenga uwanja mkubwa wa mwanza., ndipo hitaji la uwanja mbadala likajitokeza - mbadala in case pametokea dharula Mwanza ndege itatua uwanja huo wa Chato...Na wananchi wa Chato wameomba international airport na usafiri wa ndege.
Asante mkuu kwa kumpa shule huyo muungwana.Hawa wa Chato walikuwa kama wewe hawakuomba international Airport na wala vitu hivyo hawavijui. Ila walipojenga uwanja mkubwa wa mwanza., ndipo hitaji la uwanja mbadala likajitokeza - mbadala in case pametokea dharula Mwanza ndege itatua uwanja huo wa Chato.
Wananchi wa Chato waliomba kujebgewa uwanja wa ndege ?CHADEMA imekuwa ikiponda ujenzi wa Miradi mbalimbali kuanzia reli, zahanati, mashule, mabarabara nk
Wasichokijua siku ni nini ? Lakini hio miradi ni wananchi waliiomba kupitia wabunge wao walioko bungeni.
Kuiponda ni kuwaponda wananchi wapiga kura ambao ndio waliohitaji hiyo miradi.
Hiyo ponda ponda ya CHADEMA ni at their own risk! Sababu miradi iliombwa na wapiga kura.
CCM tutumie hii hoja kuwavurumisha CHADEMA wasipate kura maeneo hiyo miradi ilipo tuwaambie wazi mlitaka shule tukajenga kuna Chama kinaitwa CHADEMA kinaponda huu ujenzi mlioutaka wenyewe msikipe kura.
Iliidhinishwa na fisadi Lowasa akiwa waziri mkuu bila ridhaa ya CCM wala Raisi Kikwete ndio maana CCM tulimkimbiza mbio na marungu akakimbilia kwenu Chadema akajificha kwenu kugombea UraisiMiradi ya kifisadi ya Richmond na iPTL iliasisiwa na kuidhinishwa na serikali ya chama gani?!
Chato ya miaka 15 ijayo sio sawa na ya leo. Tatizo la siasa zetu ni ubinafsi wa kuangalia leo tu.
Mwanza airport inakwenda kuwa hub ya ukanda huu hivyo ni lazima uwepo uwanja mwingine wa ndege wenye kuwa karibu na hub.
Haya ni masuala ambayo Tundu Lissu hawezi kuyaongelea kwa sababu hana maono ya mbali zaidi ya kujikita kwenye siasa zenye kuitazamaleo tu.
Waliiomba ama ya washauri was m.kiti.CHADEMA imekuwa ikiponda ujenzi wa Miradi mbalimbali kuanzia reli, zahanati, mashule, mabarabara nk