Nadhani unashindwa kubalance habari yako kwa kuangalia tu upande mmoja. Hv huko Ccm hakuna wanaoondoka? Na kibaya zaidi wanachama wengi wa upande wako ndio hao wanakuwa kama Nyumbu wa Serengeti, miezi hii wanakwenda Masai Mara Kenya, then hurudi Serengeti Tanzania.Sio siri tena; Kuna tatizo kubwa sana ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo.
Hakuna haja ya kuendelea kulificha Bali kulikabili na kulitatua.
Haiwezekani wanachama kila uchwao wakawa wanaondoka tu bila kuwepo sababu za msingi??
Hata kama sababu zinaweza kuwa dhaifu kwa wengine lakini uwepo wa sababu zinazobebana unathibitisha kuwepo kwa tatizo.
Kuna tatizo kubwa sana Chadema..
Ukiangalia hao wanachama wanaokwenda na kurudi, ni wale wale Kijani.
So ili ulete habari nzuri, basi jaribu kufanya uchambuzi kwa vyama vyote na utaona hilo tatizo ni kwa vyama vyote.
Wahenga walipata kunena "Nyani haoni Kundule".