CHADEMA mjitafakari msiwabeze wahamaji, wana hoja za msingi. Adui wenu mkuu sio CCM! Lazima mbadilike

CHADEMA mjitafakari msiwabeze wahamaji, wana hoja za msingi. Adui wenu mkuu sio CCM! Lazima mbadilike

Nadhani ungefanya tathmini kidogo kuanzia 2015 kuona watu waliotoka CDM wakaenda CCM na kutoka CCM wakaenda CDM. Kwa tathmini hiyo ungeweza kuja na asilimia(%) za movements from one party to another and back. Nadhani hiyo ingeweka hali halisi na ingeendana na hoja yako!
waliorudi ccm na kujiunga ni wengi kuliko walioondoka
 
Sio siri tena; Kuna tatizo kubwa sana ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo.

Hakuna haja ya kuendelea kulificha Bali kulikabili na kulitatua.

Haiwezekani wanachama kila uchwao wakawa wanaondoka tu bila kuwepo sababu za msingi??

Hata kama sababu zinaweza kuwa dhaifu kwa wengine lakini uwepo wa sababu zinazobebana unathibitisha kuwepo kwa tatizo.

Kuna tatizo kubwa sana CHADEMA..
Waache uwana Harakati Hakuna Taswila ya Nguvu ya umma (the so called Peoples power) Watengeneze Muundo unao eleweka wa Masilahi ya kila mmoja kwa Majukumu yake Nijuavyo mimi Mkono mtupu haulambwi Kujitolea sawa lazima kuwe na mwisho siyo unajtolea Mwanzo mwisho
 
Sio siri tena; Kuna tatizo kubwa sana ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo.

Hakuna haja ya kuendelea kulificha Bali kulikabili na kulitatua.

Haiwezekani wanachama kila uchwao wakawa wanaondoka tu bila kuwepo sababu za msingi??

Hata kama sababu zinaweza kuwa dhaifu kwa wengine lakini uwepo wa sababu zinazobebana unathibitisha kuwepo kwa tatizo.

Kuna tatizo kubwa sana CHADEMA..
Kuna tatizo kubwa kwa wanaohamia CHADEMA, tena la uelewa na kujitambua. Kuhama CHADEMA ni dalili kuwa wanaofanya hivyo wamekua na kukomaa kisiasa.
 
Msingi wa Chadema ulijengwa katika ukanda na ukabila kama ambavyo msingi wa Cuf ulivyojengwa katika udini na Upemba kwa maana hiyo vyama hivi lazima vitajimaliza vyenyewe na kamwe wasiisingizie CCM!!
Msingi wa ukabila kwenye vyama una historia nadhani wengi mnaijua;
Ilianzia kwenye uchaguzi wa 2010 wakati Mh. Kikwete anagombea na Dr. Slaa. Nadhani kila mtu anakumbuka vuguvugu lilivyokua kali,CCM walitumia mbinu moja kuisambaratisha CDM kuwa imejengwa kwa misingi ya ukabila (Kanda ya Kaskazini). Hii iliwafavor CCM kupata kura za wenye kupinga ukabila kama alivyotukuza Mwl. Nyerere. Lakini dhambi ya ubaguzi huwa haiishi, ndio inaendelea kukua mpaka leo na kujenga chuki na sio kwa CCM na CDM tu, na imeenda mpaka sasa hivi JPM anaitwa wa kanda ya ziwa. Haya ndio madhara ya kutumia silaha ambayo inaweza na wewe kukurudia na kukuangamiza! "Synthetic lethality"
 
Paskali mi nakubaliana nawe kwa hoja nyingi ila chache nitakataa, nianze na za kukataa,
1. Kama chama hakijatengeneza succession plan ni kazi ngumu kutengeneza mazingira ya kuachiana uongozi, yes nakubaliana nawe kwamba mfano hata kama mbowe ni mzuri wa fikra kuliko malaika lazima aondoke aje mwingine, lakini katika mazingira ya sasa hivi simuoni mtu imara na thabiti wa kumkabidhi Chama. Kabwe alikuwa anataka uenyekiti mfano siku chache badae unaona anapokea hongo toka chama kingine kuizamisha chadema, uongozi kwenye nchi ya wenye njaa kama hii lazima uwe makini na nani unampa nini.
2. Swala la chadema kupigania mambo ya msingi kwa taifa nadhani wamefanya labda kama sio kwa level zinazotakiwa lakini wamefanya.
3. Kujipambanua kama chama mbadala badala ya kukosoa kila kinachofanywa, nadhani hilo nalo linafanyika vizuri kwa kuanisha ni wapi chadema wangefanyaje tofauti na wenzao wa upande wa pili na ndo maana kama utafuatili siasa Za serialized ya tano kwa sasa asilimia kubwa inatekelezwa ilani ya chadema lakini pengine kwa staili tofauti Sana.
4. Kuingia ikulu bila kupigania tume ya uchaguzi na katiba mpya ni kazi ngumu nakubaliana sana lakini kama sio mapambano ya hayo mambo tusingekuwa na msamiati unaoitwa ukawa hivyo ni wazi katika eneo hilo pengine chadema wana alama tena nyingi.
Hata hivyo kwa mazingira ya sasa huwezi kudai katiba wala tume huru ya uchaguzi labda kama unataka unrestishwe in peace.
Mambo ninayokubaliana ni mengi sana ila nitaandika machache tu
1. Chadema kujitathimini mwenendo wake na aina ya siasa zinazofanywa na chama hicho na kwa wakati huu
a) Siasa za kiharakati sio aina ya siasa kwa mtizamo wangu za kuendekezwa na chama kinachojiandaa kushika doll.
b) Kuwaamini viongozi wa juu na maamuzi yao yakawa kama ni maamuzi ya chama kizima huu ni udikteta ambao unaambatana na kufanya maamuzi makubwa nje ya Katiba.
2.Kuiga karibia kila kitu kutoka ccm ikiwemo namna ya upatikanaji wa wagombea wao, hili tatizo kubwa Sana labda pale ambapo ni utaratibu umewekwa na katiba ya nchi.
Kwa leo naomba kuwasilisha haya tu.
Mimi sio mwanachama wa Chama chochote cha siasi ila natamani kuona upinzani wenye nguvu kwa nia ama ya kukomboa taifa au kukiamsha usingizini chama tawala kututumikia watanzania
 
hahahaha.eti mwiba.mwiba kivipi? ana kipi kipya? amechafua CHADEMA hadi sasa haieleweki
alafu aliwaambia eti mpige kura yeye atazilinda..Hhahaha..what happened?
This guy is just overrated.Na hio overrating ndio iliwachanganya chadema hadi kupokea zigo la mavi
Zigo mumeo sizonje[emoji196] [emoji90] [emoji216] [emoji379] [emoji379] [emoji218]

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Paskali

Umezungumzia mambo mengi lakini nashindwa kuamini kwamba hujui mwisho wake utakuwa maandamano ambayo huyataki na ni kitu ambacho hakiepukiki, simply kwa sababu ccm hawawezi kuachia madaraka kwa njia amani na hili liko wazi na pia chaguzi za juzi zinazidi kuzibitisha hilo na hata kwenye uzi wako umekiri hivyo.

Kifupi ni kuwa CCM wamehozi mihimili yote mitatu na ndio sababu walichelewa hata kumthibitisha jaji mkuu simply wajizilihishe kama yuko upande wao, bunge pia ni lao sasa hizo hoja zako kuwa wafungue kesi, kuhoji magufuli kuvunja katiba au wadai tume huru ya uchaguzi nani atakuwa tayari kusikiliza wakati watu wa tume kila siku wanasema chaguzi nchini ni huru na haki, yaani hiyo kesi hata ikifunguliwa haishi leo wala kesho na hata hukumu ikitoka bado mtekelezaji wa hiyo hukumu ni serikali hiyohiyo rejea kesi ya mchungaji mtikila kuhusu mgombea binafsi.

Unachofanya Paskali ni kutaka watu wpoteze muda watu waache kwenda mbele warudi nyuma, wajadili kitu hicho hicho kila siku, delaying technique.
Bila maandamano ya kwenda bungeni kushinikiza bunge lifanye marekebisho ya katiba ili tuwe na tume huru na kupunguza madaraka ya yasiyo na mipaka ya rais hatufiki popote.

Kosa Kubwa chadema wanalofanya ni upole kiasi kwamba magamba wanafanya watakavyo, yaani chadema wakipigwa shavu moja wangeuza lingine ili nayo wapigwe.
 
Ndugu mwenyekiti Freeman Mbowe kuna sehemu kama chama kikuu cha upinzani nchini tumekosea, nguvu ya chama inaendelea kupwaya.

Kama kiongozi mkuu jaribu kusikiliza maoni mbali mbali ya wanachama na wapenzi wenye nia njema ya kuona CHADEMA kinaimarika na kushika dola.

Kuendelea kuilaumu CCM badala ya kutafakari kwa kina wapi tumekosea hakutanusuru kuanguka kwa chama chetu.

Kwa mfano ajenda yetu kwa sasa ni ipi?, Mbona wale tuliosema wachafu kwa miaka mingi tunawapokea na kusema ni wasafi ?, Tatizo ni nini?, Usafi wao unakuwepo wakihamia upande wetu?

Je wananchi na baadhi ya wanachama wafia chama wanatuelewaje?

Mkuu mwenyekiti, Freeman Mbowe, bila tafakuri ya kina jahazi linazama pole pole, mitandaoni vijana tumebakiza matusi na kejeri, je ndo yataimarisha chama chetu?, wale vijana mahili wajenga hoja na wachambuzi wa sera wako wapi siku hizi?.

Wakati ni sasa, bado hatujachelewa, tubadili mbinu na mikakati ya kuimarisha CHADEMA.

Angalizo, mbinu ziwe ni zile zisizo na madhara kwa raia na mali zao.
 
Facts
 
Ndugu mwenyekiti Freeman Mbowe kuna sehemu kama chama kikuu cha upinzani nchini tumekosea, nguvu ya chama inaendelea kupwaya.
Kama kiongozi mkuu jaribu kusikiliza maoni mbali mbali ya wanachama na wapenzi wenye nia njema ya kuona Chadema kinaimarika na kushika dola.

Kuendelea kuilaumu CCM badala ya kutafakari kwa kina wapi tumekosea hakutanusuru kuanguka kwa chama chetu.
Kwa mfano ajenda yetu kwa sasa ni ipi?, mbona wale tuliosema wachafu kwa miaka mingi tunawapokea na kusema ni wasafi ?, tatizo ni Nini?, usafi wao unakuwepo wakihamia upande wetu?

Je wananchi na baadhi ya wanachama wafia chama wanatuelewaje?

Mkuu mwenyekiti, Freeman Mbowe, bila tafakuri ya kina jahazi linazama pole pole , mitandaoni vijana tumebakiza matusi na kejeri, je ndo yataimarisha chama chetu?, wale vijana Mahili wajenga hoja na wachambuzi wa sera wako wapi siku hizi?.

Wakati ni Sasa, bado hatujachelewa, tubadili mbinu na mikakati ya kuimarisha Chadema

Angalizo, mbinu ziwe ni zile zisizo na madhara kwa raia na mali zao
Hakuna CHADEMA ilipo kosea labda kama hoja yako imekaa kinafiki nafiki wakati ukweli unaujua , CCM Inatumia rushwa wazi wazi tena kwa kukiri kabisa na haichukuliwi hatua , wanatumia jeshi la polisi kukandamiza upinzan kwa nguvu zote na kuvuruga uchaguzi wa uhuru na haki

wanatumia vijana wa kihuni kushambulia wapinzani na kuwajeruhi na kuwaua pamoja na kuwateka mbele polisi Ref: arumeru na hakuna hatua yeyote imechukuliwa ,wanatumia sijui watu gani**** kuteka na kupotezea watu kusiko julikana na wengine kuvizia upizani na kufyatulia risasi hadharani Ref: tundu lissu, nassari leo hapo bado takukuru hawafanyii uchunguzi swala lolote linalo husu upinzani zaid zaid takukuru itawatishia upinzani Ref: tukio la nassari na ushahid wa rushwa, bado mahakama itapiga dana dana mashauri yanayo husu chadema ,,wakati huo tume ya uchaguzi inaendeleza usanii wake wa kukandamiza upinzani bado bunge nalo halijaja na kauli mbiu ya '' wewe wabane bungeni mimi nitawashughulikia huku nje'' hahahhaaa

halafu eti mjinga mmoja sijui kichaa anatoka huko aliko toka kuuliza chadema imekosea wapi?!? Wewe lazima utakuwa mwendawazimu. Hilo swali ungeuliza kama vyama vyote biwe na uhuru sawa pasipo mbeleko ya jeshi la polisi ,tume ya uchaguzi, bunge na mahakama
 
Ndugu mwenyekiti Freeman Mbowe kuna sehemu kama chama kikuu cha upinzani nchini tumekosea, nguvu ya chama inaendelea kupwaya.

Kama kiongozi mkuu jaribu kusikiliza maoni mbali mbali ya wanachama na wapenzi wenye nia njema ya kuona CHADEMA kinaimarika na kushika dola.

Kuendelea kuilaumu CCM badala ya kutafakari kwa kina wapi tumekosea hakutanusuru kuanguka kwa chama chetu.

Kwa mfano ajenda yetu kwa sasa ni ipi?, Mbona wale tuliosema wachafu kwa miaka mingi tunawapokea na kusema ni wasafi ?, Tatizo ni nini?, Usafi wao unakuwepo wakihamia upande wetu?

Je wananchi na baadhi ya wanachama wafia chama wanatuelewaje?

Mkuu mwenyekiti, Freeman Mbowe, bila tafakuri ya kina jahazi linazama pole pole, mitandaoni vijana tumebakiza matusi na kejeri, je ndo yataimarisha chama chetu?, wale vijana mahili wajenga hoja na wachambuzi wa sera wako wapi siku hizi?.

Wakati ni sasa, bado hatujachelewa, tubadili mbinu na mikakati ya kuimarisha CHADEMA.

Angalizo, mbinu ziwe ni zile zisizo na madhara kwa raia na mali zao.

Maswali kuntu kabisa hayo!

Ila tatizo ni sawa na kumpigia mbuzi gitaa.
 
chadema haina sera ya kupambana na utendaji wa JPM...

raia walizoea upinzani kuibua hoja juu ya utendaji na ufisadi unaofanyika ktk serikali chini ya ccm....

ushauri : CDM watafute sera zitakazoleta maendeleo.
 
Ndugu mwenyekiti Freeman Mbowe kuna sehemu kama chama kikuu cha upinzani nchini tumekosea, nguvu ya chama inaendelea kupwaya.

Kama kiongozi mkuu jaribu kusikiliza maoni mbali mbali ya wanachama na wapenzi wenye nia njema ya kuona CHADEMA kinaimarika na kushika dola.

Kuendelea kuilaumu CCM badala ya kutafakari kwa kina wapi tumekosea hakutanusuru kuanguka kwa chama chetu.

Kwa mfano ajenda yetu kwa sasa ni ipi?, Mbona wale tuliosema wachafu kwa miaka mingi tunawapokea na kusema ni wasafi ?, Tatizo ni nini?, Usafi wao unakuwepo wakihamia upande wetu?

Je wananchi na baadhi ya wanachama wafia chama wanatuelewaje?

Mkuu mwenyekiti, Freeman Mbowe, bila tafakuri ya kina jahazi linazama pole pole, mitandaoni vijana tumebakiza matusi na kejeri, je ndo yataimarisha chama chetu?, wale vijana mahili wajenga hoja na wachambuzi wa sera wako wapi siku hizi?.

Wakati ni sasa, bado hatujachelewa, tubadili mbinu na mikakati ya kuimarisha CHADEMA.

Angalizo, mbinu ziwe ni zile zisizo na madhara kwa raia na mali zao.
Agenda ya chama chochote ni kushika dola hizo nyingine ni mengineyo
 
Back
Top Bottom