CHADEMA, mkakati wa kisheria na kisiasa kwa ajili ya uchaguzi ujao 2025

S.M.P2503

Platinum Member
Joined
Nov 25, 2008
Posts
3,689
Reaction score
7,145
Kwa kuzingatia Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 (kama ilivyorekebishwa), haki za kisiasa na za kijamii zimewekwa wazi, ikiwa ni pamoja na uhuru wa vyama vya siasa kushiriki katika shughuli za kisiasa kwa mujibu wa Ibara ya 20(1) inayosema:

“Kila mtu anao uhuru wa kuungana na wengine, kwa hiari, katika vyama, mashirikisho au vyama vya siasa kwa madhumuni ya kulinda na kudumisha maslahi yake.”

Hata hivyo, hali halisi ya kisiasa nchini inaonyesha kuwa haki hizi zimekuwa zikikandamizwa, hasa kwa upande wa CHADEMA, ambapo vyombo vya dola na mahakama zimekuwa zikitumika kama zana za kuwanyima haki za kisiasa.

1. Hali Halisi Ndani ya CCM na Fursa kwa CHADEMA

Kwa sasa CCM inakabiliwa na mgawanyiko mkubwa sana wa ndani, migongano ya makundi, na kushuka kwa imani ya wananchi kutokana na ufisadi, ukandamizaji wa demokrasia, na kushindwa kushughulikia matatizo ya kijamii na kiuchumi. Hali hii inatoa fursa ya kipekee kwa CHADEMA kujipanga kwa nguvu na kuingia kwenye uwanja wa kisiasa kwa mikakati ya ushindi.

Mtu atakaye leta Habari za kuiba mabox ya kura, ashughulikiwe kama kibaya yeyote wa mtaani, apigwe kiberiti na abanikwe. Hatuwezi kuendelea kuchezeana kwa habari za upendelo na sarakasi mahakamani. Mahakama na ichuke judicail notice kwamba huku mtaani, watu wamechoka sana na hawataki tena hizi tarantira zinazoendela kama katika heka heka za ccm za kuwapata wabunge wao.

2. Hali ya Kisheria na Uonevu Dhidi ya CHADEMA

Mahakama zimekuwa zikiwasumbua sana CHADEMA kupitia mashauri yasiyoisha, kizuizi cha kufanya mikutano, na hatua mbalimbali za kuwakandamiza viongozi wao. Hii ni kinyume cha:

  • Ibara ya 21(1) ya Katiba, inayotoa haki ya kushiriki katika uongozi wa nchi moja kwa moja au kupitia wawakilishi.
  • Ibara ya 26(2) inayowapa wananchi haki ya kulinda Katiba dhidi ya uvunjwaji wowote wa masharti yake.
Kwa kuwa kesi zinazoikabili CHADEMA na viongozi wake haziwezi kuisha haraka, mkakati wa kususia uchaguzi hautakuwa na tija. Kama mbwai na iwe mbwai- wagombea wa ccm wameisha fungulia njia...

3. Ushauri wa Kimkakati kwa CHADEMA

(a) Ingizeni Timu Uwanjani

CHADEMA inapaswa kuingia kwenye uchaguzi kwa nguvu, bila kusubiri kesi zisizoisha. Kususia ni kumpa CCM ushindi wa mezani.

(b) Tundu Lissu Awe Mgombea wa Urais

Lissu ana mvuto mkubwa, uwezo wa hoja, na anaungwa mkono kimataifa. Ni chaguo sahihi la mgombea ambaye ataamsha ari ya wananchi na kuvunja hofu iliyojengwa na dola.

(c) John Heche Awe Kiongozi wa Kampeni

Heche ni kijana mwenye ujasiri, anajua kufikisha ujumbe kwa wananchi na kushirikisha vijana. Akipewa jukumu la kampeni, ataongeza nguvu za kisiasa na kuunganisha wapiga kura.

4. Hatua za Kisheria Zinazopaswa Kuchukuliwa

(i) Kesi Dhidi ya Tume ya Uchaguzi na Jaji Mutungi

CHADEMA inapaswa kufungua kesi katika Mahakama Kuu ikipinga upendeleo wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (iNEC) na Msajili wa Vyama vya Siasa, kwa misingi ya:

  • Ibara ya 21(2) ya Katiba, inayohakikisha usawa wa vyama vya siasa.
  • Ibara ya 13(1), inayokataza ubaguzi au upendeleo wa aina yoyote katika utoaji wa haki.
(ii) Ombi la Judicial Review kwa Dharura (Under Certificate of Urgency)

Kwa kuwa CHADEMA imezuiliwa kufanya mikutano ya kisiasa huku CCM ikiendelea na kampeni zisizo rasmi, CHADEMA iweke ombi la judicial review kuhoji uhalali wa zuio hili, likiwa ni kinyume cha:

  • Ibara ya 18 ya Katiba (uhuru wa maoni, habari na kufanya mikutano).
  • Ibara ya 20 (uhuru wa kushiriki katika shughuli za kisiasa).
(iii) Mkakati wa Kisheria wa Kupambana na Udikteta wa Kisheria

CHADEMA itumie kila nafasi ya kikatiba kufungua mashauri ya kimkakati (strategic litigations) ili kulazimisha utekelezaji wa haki za kisiasa na kushinikiza mageuzi ya uchaguzi.

5. Ushauri wa Mwisho: Wapelekeeni CCM Moto Mpaka Waombe Poo, hayo ndio maridhiano ya kweli.

CHADEMA isikubali kuendelea kunyanyaswa bila kupambana. Wakati huu ni wa kuunganisha nguvu, kushirikisha wananchi, na kutumia vyombo vya habari vya kimataifa kuibua ukandamizaji wa demokrasia unaoendelea.

Nyani hawezi kususiwa shamba la mahandi wala mabua.
CHADEMA lazima iingie uwanjani, ipambane ndani ya mfumo huu kandamizi, na ifungue milango mipya ya ushindi.
 
Kwa kuzingatia Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 (kama ilivyorekebishwa), haki za kisiasa na za kijamii zimewekwa wazi, ikiwa ni pamoja na uhuru wa vyama vya siasa kushiriki katika shughuli za kisiasa kwa mujibu wa Ibara ya 20(1) inayosema:

“Kila mtu anao uhuru wa kuungana na wengine, kwa hiari, katika vyama, mashirikisho au vyama vya siasa kwa madhumuni ya kulinda na kudumisha maslahi yake.”

Hata hivyo, hali halisi ya kisiasa nchini inaonyesha kuwa haki hizi zimekuwa zikikandamizwa, hasa kwa upande wa CHADEMA, ambapo vyombo vya dola na mahakama zimekuwa zikitumika kama zana za kuwanyima haki za kisiasa.

1. Hali Halisi Ndani ya CCM na Fursa kwa CHADEMA

Kwa sasa CCM inakabiliwa na mgawanyiko mkubwa sana wa ndani, migongano ya makundi, na kushuka kwa imani ya wananchi kutokana na ufisadi, ukandamizaji wa demokrasia, na kushindwa kushughulikia matatizo ya kijamii na kiuchumi. Hali hii inatoa fursa ya kipekee kwa CHADEMA kujipanga kwa nguvu na kuingia kwenye uwanja wa kisiasa kwa mikakati ya ushindi.

Mtu atakaye leta Habari za kuiba mabox ya kura, ashughulikiwe kama kibaya yeyote wa mtaani, apigwe kiberiti na abanikwe. Hatuwezi kuendelea kuchezeana kwa habari za upendelo na sarakasi mahakamani. Mahakama na ichuke judicail notice kwamba huku mtaani, watu wamechoka sana na hawataki tena hizi tarantira zinazoendela kama katika heka heka za ccm za kuwapata wabunge wao.

2. Hali ya Kisheria na Uonevu Dhidi ya CHADEMA

Mahakama zimekuwa zikiwasumbua sana CHADEMA kupitia mashauri yasiyoisha, kizuizi cha kufanya mikutano, na hatua mbalimbali za kuwakandamiza viongozi wao. Hii ni kinyume cha:

  • Ibara ya 21(1) ya Katiba, inayotoa haki ya kushiriki katika uongozi wa nchi moja kwa moja au kupitia wawakilishi.
  • Ibara ya 26(2) inayowapa wananchi haki ya kulinda Katiba dhidi ya uvunjwaji wowote wa masharti yake.
Kwa kuwa kesi zinazoikabili CHADEMA na viongozi wake haziwezi kuisha haraka, mkakati wa kususia uchaguzi hautakuwa na tija.

3. Ushauri wa Kimkakati kwa CHADEMA

(a) Ingizeni Timu Uwanjani

CHADEMA inapaswa kuingia kwenye uchaguzi kwa nguvu, bila kusubiri kesi zisizoisha. Kususia ni kumpa CCM ushindi wa mezani.

(b) Tundu Lissu Awe Mgombea wa Urais

Lissu ana mvuto mkubwa, uwezo wa hoja, na anaungwa mkono kimataifa. Ni chaguo sahihi la mgombea ambaye ataamsha ari ya wananchi na kuvunja hofu iliyojengwa na dola.

(c) John Heche Awe Kiongozi wa Kampeni

Heche ni kijana mwenye ujasiri, anajua kufikisha ujumbe kwa wananchi na kushirikisha vijana. Akipewa jukumu la kampeni, ataongeza nguvu za kisiasa na kuunganisha wapiga kura.

4. Hatua za Kisheria Zinazopaswa Kuchukuliwa

(i) Kesi Dhidi ya Tume ya Uchaguzi na Jaji Mutungi

CHADEMA inapaswa kufungua kesi katika Mahakama Kuu ikipinga upendeleo wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (iNEC) na Msajili wa Vyama vya Siasa, kwa misingi ya:

  • Ibara ya 21(2) ya Katiba, inayohakikisha usawa wa vyama vya siasa.
  • Ibara ya 13(1), inayokataza ubaguzi au upendeleo wa aina yoyote katika utoaji wa haki.
(ii) Ombi la Judicial Review kwa Dharura (Under Certificate of Urgency)

Kwa kuwa CHADEMA imezuiliwa kufanya mikutano ya kisiasa huku CCM ikiendelea na kampeni zisizo rasmi, CHADEMA iweke ombi la judicial review kuhoji uhalali wa zuio hili, likiwa ni kinyume cha:

  • Ibara ya 18 ya Katiba (uhuru wa maoni, habari na kufanya mikutano).
  • Ibara ya 20 (uhuru wa kushiriki katika shughuli za kisiasa).
(iii) Mkakati wa Kisheria wa Kupambana na Udikteta wa Kisheria

CHADEMA itumie kila nafasi ya kikatiba kufungua mashauri ya kimkakati (strategic litigations) ili kulazimisha utekelezaji wa haki za kisiasa na kushinikiza mageuzi ya uchaguzi.

5. Ushauri wa Mwisho: Wapelekeeni CCM Moto Mpaka Waombe Poo, hayo ndio maridhiano ya kweli.

CHADEMA isikubali kuendelea kunyanyaswa bila kupambana. Wakati huu ni wa kuunganisha nguvu, kushirikisha wananchi, na kutumia vyombo vya habari vya kimataifa kuibua ukandamizaji wa demokrasia unaoendelea.

Nyani hawezi kususiwa shamba la mahandi wala mabua.
CHADEMA lazima iingie uwanjani, ipambane ndani ya mfumo huu kandamizi, na ifungue milango mipya ya ushindi.
yote uliyosema ni mema kabisa. Lakini vyombo vyote vya kutoa HAKI kwa mujibu wa katiba, samia ameviteka. mahakama hopeless, bunge hopeless, takataka, utapeleka kesi kweli. K

Kuna njia moja watu hawaizungumzii maana ni ngumu kuitamka.
 
Njia ninayo ioana ni kuwabanika wezi wa kura maana tayari ccm kazi hiyo wameinza wenyewe huko kwenye kuchaguana... mahakama zisumbuliwe sana kijiji kwa kijiji hadio zikubari kutoa haki. ni hivyo, la sivyo wanyongwe wajipange ili waanze kujitoa muhanga kama wataweza...
 
Back
Top Bottom