CHADEMA mkimwomba msamaha Magufuli na kuamua kufuata sera na maono yake, 2025 mnachukua nchi kilaini sana

Rais wa hovyo zaidi kuwahi kutokea TZ! Sera na maono gani? Kujiita Rais wa wanyonge as if unyonge ni sifa? Kujifanya mpinga rushwa na ufisadi wakati yeye na timu yake ndiyo walikuwa wezi namba moja nchi hii? Kudhulumu wakulima hela zao na kuzibwa midomo wasiongee? Kupiga stop vyombo vya habari visiripoti mabaya yeyote ya utawala wake?

Kuwapa kesi za uhujumu uchumi wale wote ambao alikuwa hawapendi kwa sababu zake binafsi? Kutesa upinzani na kuwageuza kuwa adui namba 1 wa taifa? Kujisifu na elimu bure wakati alikuwa hapeleki hela mashuleni? Kuzifubaza halmashauri zetu kwa kutozipelekea hela za miradi? Kutoajiri, kupandisha watu vyeo na kuongeza mishahara kisa eti anajenga SGR na Bwawa la umeme (Samia anafanya vyote kwa pamoja)? Wewe na huyo jamaa yako ni vilaza wakubwa..
Tunaweza kumlaum Jiwe peke yake tusisahau Enablers akina Mahiga, Kabudi, Bashiru, polelpole, Cdif, Igip, Digis, Takokukuru na Spaiker
 
Propaganda za kitoto. Na ndiyo hizo hizo propaganda tunaambiwa eti Riziwani alikamatwa China na madawa ya kulevya na JK ilalisafiri kwenda China. Tumia akili achana kukaririshwa huo ujinga. Mbowe na genge lake waliua watu ili ionekane serikali imeua. Lisu Mbow alishiriki kujaribu kumuua ili eti nchi isitawalike. In short ni mwenye uelewa mdogo kama wewe utaamini huo upupu.
Utopolo.
 
Chadema hamjui mnataka nini????
 
Chama chenyewe karibu kinaenda mochwari kitashinda uchaguzi wa wapi?
Btw, kwani mama kasema ameachana na sera za hayati Magufuli mpaka unawagawia chadema? Nakumbuka alisema yeye na Magufuli ni kitu kimoja!
 
Huyo mungu wenu ndyo ameshakufa
Habari za leo ndugu zangu wa chama cha CHADEMA. Leo nataka niwaibie siri ila siwalazimishi kuifuata ni juu yenu.

Ni hivi,

"CHADEMA mkimwomba msamaha Magufuli na kuamua kufuata sera na maono yake, 2025 mnachukua nchi kilaini sana".

Nimeyasema haya kwasababu alitaka mjenge naye uchumi lakini mlianza usumbufu. Mkaanza kumsumbua, aliteua hadi watu kutoka chama chenu lakini bado mliendelea kuwa wasumbufu.

Hamkupenda kushirikiana naye ni kwasababu hamkumkubali. Sasa wakati wa kumkubali ndio huu, kuomba msamaha na kufuata sera na nyayo zake. Na sababu za kutomkubali na usumbufu wote mlioanza kumletea chanzo chake ilikua ni sanduku la kula. Hamkuamini ushindi wake 2015.

Basi hamna budi kujitakasa na kumkubali sasa, 2025 ndipo mtaweza kushinda. Nimesema haya kwasababu watanzania kuna kitu wanakiamini. Hicho ndicho mwatakiwa kukifuata.

Mkifanya hivyo hamtahitaji hata kupiga kampeni wala kuitisha mikutano na wananchi au waandishi wa habari. Mtajikuta mnakubalika tu.

Kama hamniamini jaribuni hata saivi mtume tu kavideo Facebook au Instagram, alafu mje kusimulia hapa jamii forum.
 
Kwa tume hii mapesa cjui mahera????haya iblis na ujanja wake hawez shinda
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]CHADEMA mnajidaigi mnaakili huku mmeshindwa kuchukua nchi. Mnazidiwa kete alafi mnajinadi mnaakili.
 
Matendo yako hutafsir kila kitu,kama tadinu tudanu
Kauli ya kipumbavu sana kumwita binadamu mwenzako mwendakuzimu je unahukumu wewe kama nani na unauhakika gani yupo huko au unaongozwa na chuki angalia usihukumu usijehukumiwa
 
Wenye vyet feki weng bdo wapo serikaln hasa wale wabeba maboksi ya kura za wzi
Kweli ila huu ushauri utapingwa na vyeti feki, wapiga madili, wala rushwa, mafisadi, watumishi hewa, wavivu na walioadhibiwa kisheria kwa makosa mbalimbali maana Magufuli aliwatumbuwa hivyo wametengeneza chuki nae wakijificha kwenye chaka la vyama pinzani
 
kwel kabsa hatukuzoea hbar za kutekna na kupigana risasi hadharan
Usemacho ni kweli

Na ikumbukwe JPM hakufuata itikadi za kiCCM, Bali aliangalia Nchi itaka Nini

Kiongozi yoyote lazima aangalie Nchi inataka Nini

Na wapinzani wakumbuke JPM alitembea na Sera zao na wakajikuta wamefilisika kisera, wakajikuta ajenda yao ni DEMOKRASIA, ajenda ambayo Haina mashiko kwa Raia, Ila wasomi wetu wa Sheria tu.

Ukweli usemwe
 
Kwa ujinga wako unayotuhumu ww ndyo kweli,hakika ujinga wa utoton unaweza kuisha lkn wa uzeen lazma ufe nao tu
Propaganda za kitoto. Na ndiyo hizo hizo propaganda tunaambiwa eti Riziwani alikamatwa China na madawa ya kulevya na JK ilalisafiri kwenda China. Tumia akili achana kukaririshwa huo ujinga. Mbowe na genge lake waliua watu ili ionekane serikali imeua. Lisu Mbow alishiriki kujaribu kumuua ili eti nchi isitawalike. In short ni mwenye uelewa mdogo kama wewe utaamini huo upupu.
 
Tunaweza kumlaum Jiwe peke yake tusisahau Enablers akina Mahiga, Kabudi, Bashiru, polelpole, Cdif, Igip, Digis, Takokukuru na Spaiker
Nguvu ya Rais kwa katiba yetu ni kubwa sana, hao wote waliufyata kwa Jiwe, wengi wao hawakupenda matendo yake lakini hawakuwa na cha kufanya zaidi ya kupiga mapambio ili waweze kujipatia mkate wao wa kila siku
 
Rais wa hovyo zaidi kuwahi kutokea TZ! Sera na maono gani? Kujiita Rais wa wanyonge as if unyonge ni sifa? Kujifanya mpinga rushwa na ufisadi wakati yeye na timu yake ndiyo walikuwa wezi namba moja nchi hii? Kudhulumu wakulima hela zao na kuzibwa midomo wasiongee? Kupiga stop vyombo vya habari visiripoti mabaya yeyote ya utawala wake?

Kuwapa kesi za uhujumu uchumi wale wote ambao alikuwa hawapendi kwa sababu zake binafsi? Kutesa upinzani na kuwageuza kuwa adui namba 1 wa taifa? Kujisifu na elimu bure wakati alikuwa hapeleki hela mashuleni? Kuzifubaza halmashauri zetu kwa kutozipelekea hela za miradi? Kutoajiri, kupandisha watu vyeo na kuongeza mishahara kisa eti anajenga SGR na Bwawa la umeme (Samia anafanya vyote kwa pamoja)? Wewe na huyo jamaa yako ni vilaza wakubwa..
Umeandika ujinga hata nafsi yako inakusuta, we sema tu kuwa ulikuwa na chuki na Jpm kwa sababu aligusa maslahi yako.

Sent from my itel W6004 using JamiiForums mobile app
 
Propaganda za kitoto. Na ndiyo hizo hizo propaganda tunaambiwa eti Riziwani alikamatwa China na madawa ya kulevya na JK ilalisafiri kwenda China. Tumia akili achana kukaririshwa huo ujinga. Mbowe na genge lake waliua watu ili ionekane serikali imeua. Lisu Mbow alishiriki kujaribu kumuua ili eti nchi isitawalike. In short ni mwenye uelewa mdogo kama wewe utaamini huo upupu.
Akina Mbowe waliua watu wapi halafu walichukuliwa hatua gani, madai yako hayana msingi kwani haiwezekani mtu afanye uhalifu halafu asichukuliwe hatua, unless you're writing under the influence of Cannabis Sativa.
 
Propaganda hizo hizo ambazo hamziamini ndizo hizo hizo ambazo sisi wana CCM tunaziamini kuwa Chacha Wangwe aliuawa na Mbowe, Lisu aliponea chupuchupu etc.
 
Nguvu ya Rais kwa katiba yetu ni kubwa sana, hao wote waliufyata kwa Jiwe, wengi wao hawakupenda matendo yake lakini hawakuwa na cha kufanya zaidi ya kupiga mapambio ili waweze kujipatia mkate wao wa kila siku
Mkuu NaipendaTz kama ktk vigogo hao niliotaja japo hata wawili wao wangesema Mh Rais hiki tunachofanya sio sahihi twende hivi au vile angeshtuka. Tazama Nchi meparanganyika.
 
Back
Top Bottom