Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Bado haujaelewa, hakuna mwenye kutaka ufafanuzi wa masuala ya kuhusu Chadema kutoka kwako. Kikubwa ni kwamba unataka kutetea maujinga ya chadema kwa kutumia misimamo yako binafsi, mtu akizungumzia issue ya Chadema na Lowassa wewe unakuja kusema haukukubaliana na ujio wa Lowassa Chadema, sasa nani kakuuliza kama ulikubali au haukukubali na hata usipokubali we ndio nani?
Niliyemjibu ndio alikuja kwenye mazingira hayo, ww ukanunua ugomvi. Isitoshe ni wapi natetea ujinga wa CDM kumchukua Lowassa? Kumchukua Lowassa ni ujinga kama ujinga mwingine. Au ulitaka niseme ni sawa kumchukua Lowassa kwakuwa CDM walimchukua, ili niwe katika kubeba kosa la taasisi?
Nasisitiza tena, unataka mambo ya CDM usije hapa jukwaani maana hii sio ofisi ya CDM. Ukitaka majibu unayoyataka nenda ofisini kwao, au waandikie email wakupe majibu unayoyataka. Kinyume na hapo utakula tutakachokupakulia.