CHADEMA mkitaka kupata kura 2025 acheni kauli za chuki kwa JPM

Niliyemjibu ndio alikuja kwenye mazingira hayo, ww ukanunua ugomvi. Isitoshe ni wapi natetea ujinga wa CDM kumchukua Lowassa? Kumchukua Lowassa ni ujinga kama ujinga mwingine. Au ulitaka niseme ni sawa kumchukua Lowassa kwakuwa CDM walimchukua, ili niwe katika kubeba kosa la taasisi?

Nasisitiza tena, unataka mambo ya CDM usije hapa jukwaani maana hii sio ofisi ya CDM. Ukitaka majibu unayoyataka nenda ofisini kwao, au waandikie email wakupe majibu unayoyataka. Kinyume na hapo utakula tutakachokupakulia.
 
..hapana.

..madikteta hu-invest kwa kiwango kikubwa kwenye uongo na ulaghai na kuweza kuwachota akili wananchi wengi.

..kilichotokea ni kwamba uongo wa Jpm ulipewa nafasi kubwa ya kusikika na kutetewa kuliko ukweli.

Uko sahihi kabisa, walikuwa wanasema utawala wa Magufuli umejenga 4,000+, kwenye ule utapeli wa Tanzania ya viwanda. Ngoma ikaja kuweka list ya viwanda na location yake. Waziri wa viwanda wa wakati huo somebody Mwijage akaamua kujilipua, akasema hata cherehani ni viwanda,,😂😂

Ukaja uongo wa idadi ya hospitali na vituo vya afya. Ikasemekana kajenga vituo 370+nchi nzima. Haya tukasema liwekwe jedwali kuonyesha kituo kilipo, muda wa ujenzi kuanza, gharama ya kituo, mkoa, wilaya,kijiji ama mtaa hadi leo hamna habari hiyo!
 
Suluhisho ni kuchaguwa marais waislamu tu ndio wenye demokrasi na ni watu wema ndio maana utaona hata marais wastaafu ambao bado wako hai ni waislamu tu ila wakrito wote wamekufa ni ishara ya wazi hakuwa wema.
 
Kwahiyo kwa kutizama mitaani na mitandaoni unaonaje mitazamo ya watu kuhusu Magufuli?
Ndio nasema kipindi kigogo na Mange wanamkosoa JPM Hadi kupata combined followers zaidi ya million 2 mlidai kuwa sio kipimo maana wananchi halisi wapo mtaani. Sasa kivipi Mbowe akikosolewa Mitandaoni mnageuka mlichosema?

Mitazamo ya watu unapimwa kwenye sanduku la kura ambayo ni Siri, hivi ulitegemea licha ya Lowassa kuitwa fisadi both na CCM na Chadema angeweza muangusha JPM (alikua msafi kuliko wenzake) kiasi kile? Anything nje ya sanduku la kura ni propaganda tu
 
Suluhisho ni kuchaguwa marais waislamu tu ndio wenye demokrasi na ni watu wema ndio maana utaona hata marais wastaafu ambao bado wako hai ni waislamu tu ila wakrito wote wamekufa ni ishara ya wazi hakuwa wema.
ushu...i mtupu
 
Hata kama umesema hivyo kwa kebehi, ukweli ni kuwa maraisi waisilamu wamekuwa na uungwana kwa kiasi fulani ukilinganisha na hao waromani waliotawala nchi hii.
 
Alikuwa kipenzi kwako na familia yako, shetani mkubwa.
 
wanasiasa wazuri huwa wanaongea kile wananchi wanachotaka kusikia ila CHADEMa viongozi wao wanaongea kile kinachowanufaisha wao binafsi wakiendelea hivi watabaki na wimbo wa kuibiwa kura
Sawa wacha wateme nyongo. Chadema haifanyi siasa kwa kutumia mawazo au ushauri wako
 
Fanyeni tafiti vizuri hasa kwa tabaka la chini ambalo ndio wapiga kura , Magufuli kwao atabaki shujaa na wengi wanaamini aliuawa

Hivyo ni ngumu kwa mwanasiasa yeyote kukubalika kama atamkashifu Magufuli

Someni upepo
Hakuna mtu anaemkashifu Magu, watu wanasema alichotenda. Kama alitenda kashfa basi ndio hizo hizo watu wanazisema
 
Hata kama umesema hivyo kwa kebehi, ukweli ni kuwa maraisi waisilamu wamekuwa na uungwana kwa kiasi fulani ukilinganisha na hao waromani waliotawala nchi hii.
Huo ndio ukweli, na ndio maana hata marais wastaafu wamebaki waislamu tu.
 
Vile mwendakuzimu amefurahia uzi wako huu kutokea huko kuzimu😁😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…