Chadema mlituambia mtaleta maendeleo ya watu; wananchi wanataka mtekeleze ahadi yenu Kwa vitendo. Mbinu nawapa

kama 20% inang'oa spika basi inatosha hiyo
 
CCM unawafundisha CDM mbinu za kukamata dola! Maajabu hayaishi nchi hii.
 
Umkhonto wae Sizwe iko ilikuwa mbali sana na UVCCM. Ilikuwa inafahamu katiba mpya ni sehemu ya maendeleo.
 
CCM unawafundisha CDM mbinu za kukamata dola! Maajabu hayaishi nchi hii.

Ujinga ni pale unapokua shabiki wa chama halafu ukadhani Kila mtu ni shabiki Kama wewe.

Nakushauri uache chili, ubinafsi na mawazo yalifungwa na ujifunze kuangalia maslahi ya taifa kwa Mambo unayotaka
 
Wewe ni mataga
Ujinga ni pale unapokua shabiki wa chama halafu ukadhani Kila mtu ni shabiki Kama wewe.

Nakushauri uache chili, ubinafsi na mawazo yalifungwa na ujifunze kuangalia maslahi ya taifa kwa Mambo unayotaka
 
Wapiga Debe Wa Ccm mpo kazini kutukana Chadema mna kazi kweli kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…