Chadema mmejiandaa vipi na Serikali yenu ijayo, mda unaenda miaka mitatu sio mingi

Halipo lisilowezekana chini ya jua.

Njia ya kuiondoa madarakani CCM ni:

1. kupiga kura na kuhakikisha haziibiwi, kuzilinda na kuwa tayari kumwaga Damu Ili SANDUKU la Kura lisiibwe.

2.Njia ya pili ni CCM yenyewe kukubali KUJIUA na kuruhusu Katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi iliyoasisiwa na Judge WARIOBA.

3. Kugomea Uchaguzi na kushinikiza KATIBA mpya na Tume huru ya Uchaguzi vipatikane kwanza ndo tuuingie uchaguzi.
Hapo ni njia moja tu itakayofanya kazi.. CCM haiwezi kukubali kujiua yenyewe.. Kugomea uchaguzi hakutasaidia.. Watachaguana na wataendelea kutawala.. Ili kuiondoa CCM hatuna budi kuhamasishana kujitokeza kupiga kura.. Tupo wengi zaidi yao.. Inawezekana..
 
Hiyo njia Yako unayoitegemea imeshindikana Lowasa Mzee wa mikakati akiwa mgombea CDM.

Usisahau ukishiriiki uchaguzi Kwa Katiba hii, huna HAKI ya kupinga matokeo ya Urais mahakamani hivyo njia ya kushiriki uchaguzi ni MFU.

CCM ni Chama Cha maamuzi magumu, Kimetuletea Vyama vingi Wakt ambao wananchi wakikataa mfumo wa Vyama vingi.

CCM imejificha nyuma ya Dola, Ni CHAMA CHA MAPINDUZI, kilipindua kule znzb, ni kama MSUMARI unaingia Kwa NYUNDO na kutolewa ni Kwa NYUNDO vile vile.
 
Kuna Jambo nasence, upo kazini Ili kuisaidia chama Dola kutawala.

KATIBA mpya itakamilika na kupatikana 2026.

Na 2025 hapatakuwa na uchaguzi hivyo njia No 3 itafanikiwa.

Ameeeen.
 
Hiyo njia Yako unayoitegemea imeshindikana Lowasa Mzee wa mikakati akiwa mgombea CDM.

Usisahau ukishiriiki uchaguzi Kwa Katiba hii, huna HAKI ya kupinga matokeo ya Urais mahakamani hivyo njia ya kushiriki uchaguzi ni MFU.

CCM ni Chama Cha maamuzi magumu, Kimetuletea Vyama vingi Wakt ambao wananchi wakikataa mfumo wa Vyama vingi.

CCM imejificha nyuma ya Dola, Ni CHAMA CHA MAPINDUZI, kilipindua kule znzb, ni kama MSUMARI unaingia Kwa NYUNDO na kutolewa ni Kwa NYUNDO vile vile.
Hata njia ulizopendekeza hazifanyi kazi mkuu.. Tulisusia uchaguzi wa Serikali za mitaa.. Mitaa yote Tanzania nzima ikachukuliwa na CCM.. Kwa sasa Hali ni tofauti.. Watu wamechoka kupindukia.. Wanasema hata tukichagua Chama kingine CCM wanaiba.. Hivyo hatupigi kura.. Hiyo mindset tuibadilishe watu wakapige kura.. Takwimu za uchaguzi zinaonyesha kuwa karibu nusu ya waliojiandikisha kupiga kura, hawapigi kura.. Tuhimizane kupiga kura.. Naamini tunaweza...
 
Tunatakiwa tuhakikishe kura haziibiwi.

Tutashiriki vp uchaguzi ambapo Kuna Sanduku WHITE na Sanduku BLACK mafichoni??

Baada ya kupiga kura linaondolewa WHITE na kuletwa BLACK na baada ya hapo tunaambiwa MARUFUKU kuhoji matokeo ya Urais???

Mwisho umefika, KATIBA mpya ndo itaiondoa CCM madarakani, Kwa Kheri au Kwa Shari. Ameeeen.
 
Biashara matangazo
Yaani imefanana kidogo huu msemo na hawa Wapinzani

Wanasubiri kipenga cha mwisho kilie ila kwa sasa wanakula maisha tu halafu baadae watasema tunajipanga 2035 lazima tuchukue nchi,
Ila sijui waichukue waipeleke wapi?
 
November hiyooooo!!!!

Wameona CDM wanaanza mikutano, wanajaribu kuzima vibe Kwa kupanga uzinduzi wa Matokeo ya SENSA.

KATIBA mpya itokanayo na Rasimu alosimamia Judge WARIOBA ndo habari ya mjini Kwa sasa.

Mwamko wa kupiga kura utaongezeka pale wananchi watapoona Kuna Tume huru ya Uchaguzi.

Wananchi Si wajinga.
 
Halipo lisilowezekana chini ya jua.

Njia ya kuiondoa madarakani CCM ni:

1. kupiga kura na kuhakikisha haziibiwi, kuzilinda na kuwa tayari kumwaga Damu Ili SANDUKU la Kura lisiibwe.

2.Njia ya pili ni CCM yenyewe kukubali KUJIUA na kuruhusu Katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi iliyoasisiwa na Judge WARIOBA.

3. Kugomea Uchaguzi na kushinikiza KATIBA mpya na Tume huru ya Uchaguzi vipatikane kwanza ndo tuuingie uchaguzi.
😀😀😀sawa
 
November hiyooooo!!!!

Wameona CDM wanaanza mikutano, wanajaribu kuzima vibe Kwa kupanga uzinduzi wa Matokeo ya SENSA.

KATIBA mpya itokanayo na Rasimu alosimamia Judge WARIOBA ndo habari ya mjini Kwa sasa.

Mwamko wa kupiga kura utaongezeka pale wananchi watapoona Kuna Tume huru ya Uchaguzi.

Wananchi Si wajinga.
Bado wanajisumbua. Chadema will prevail
 
Back
Top Bottom