St. Paka Mweusi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2010
- 7,956
- 5,149
Hapo ni njia moja tu itakayofanya kazi.. CCM haiwezi kukubali kujiua yenyewe.. Kugomea uchaguzi hakutasaidia.. Watachaguana na wataendelea kutawala.. Ili kuiondoa CCM hatuna budi kuhamasishana kujitokeza kupiga kura.. Tupo wengi zaidi yao.. Inawezekana..Halipo lisilowezekana chini ya jua.
Njia ya kuiondoa madarakani CCM ni:
1. kupiga kura na kuhakikisha haziibiwi, kuzilinda na kuwa tayari kumwaga Damu Ili SANDUKU la Kura lisiibwe.
2.Njia ya pili ni CCM yenyewe kukubali KUJIUA na kuruhusu Katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi iliyoasisiwa na Judge WARIOBA.
3. Kugomea Uchaguzi na kushinikiza KATIBA mpya na Tume huru ya Uchaguzi vipatikane kwanza ndo tuuingie uchaguzi.