Mh Tundu Lissu ni mwanasiasa machachali na aliyejaliwa kuwa na maneno mengi na kupenda kubishana mpaka aonekane lake ndilo la maana!
Ni mwanasiasa na mwanasheria mzuri ambaye hajawahi kufanikiwa katika tageti zake zote za kiasa!
Kati ya mambo ambayo hayampi kuwa na historia nzuri ni pamoja na kushindwa kulisaidia Taifa katika nafasi aliyokuwa nayo pale alipoongoza wapinzani kwenye bunge la katiba, kama ilivyotazamiwa na wengi kwamba Tanzania itaenda kuwa na katiba nzuri na ya mfano katika ukanda huu wa Africa mashariki na kati kwa kuwa ilikuwa na watu makini kama kina Lissu
Matokeo yake huyu ambaye wengi wa wanachadema wanalazimisha watu tumuone ni shujaa na kwamba nchi nzima bila yeye Taifa haliwezi kwenda' mh Tundu lisu aliongoza mashambulizi ya kumsema na kumkashifu Baba wa Taifa hayati JKN na kufanya bunge la katiba kuvurugika kuvunjika, Hapa tuelewane, Baba wa Taifa kwa maarifa na hekima yake ukijumlisha na wasomi wachache mno ambao alifanya nao kazi nyakati hizo mpaka kuliweka taifa hili kuwa misingi ya umoja uliopo mpaka leo, ni dhahiri shahiri haihitaji mtu aombwe kumheshimu huyu mwamba wa Tanzania, Africa na Duniani
Mwl Nyerere aliendesha nchi chini ya katiba mbovu na huku akijua ni mbovu lakini hakujilimbikizia hata mali, alikufa masikini huku akiyaacha madini ili Watanzania wakija kusoma na kuyaelewa umhimu na thamani yake, basi wafaidi kizazi cha kina Lissu n.k, ajabu anatokea tu mtu asikojulikana kuja kutukana na kukashifu? Hizi dharau, na hata yeye mh Lissu angelikuwa ndiye baba wa taifa, binafsi yangu nisingelikubali adhalilishwe!
Na kwa sababu hiyo! Mh Lisu hakosi kuwepo kwenye lawama za kuwakosesha watanzania katiba yao
Pili:
Kama nchi, kuna mambo mengine huwa hayahitaji upinzani, badala yake yanahitaji utu, utanzania na uzalendo tu wa kulipenda Taifa hasa Taifa linapongia katika kudai kile linaamini ni haki ya watu wake
Mh Tundu lisu badala ya kuingia Ikulu moja kwa moja ili kutoa ushauri wake kuhusiana na ile mikataba ya kinyonyaji ya Madini
Yeye aliamua kupayuka na kuita wandishi wa habari akiamini hapo anatoa ushauri na asijuekuwa anaharibu zaidi, kwani si kila jambo linaweza ongelewa mbele ya makamera n.k
Huyu huyu aliendelea kusema kwa kujiamini kuwa' serikaliisipochukua ushauri wake aliousemea kwa wandishi wa habari wa nje na ndani, lazima Serikali ingeshitakiwa MIGA
Je' Ni kweli kwamba Serikali ilipoacha kuchukua ushauri wa mh Lisu ilishitakiwa MIGA?
Na kama haikushitakiwa' ushujaa na uelewa mkubwa kuliko watanzania wote kwa mh Lisu uko wapi?
Angalizo...
Kuna zile hoja za wachache wenye kuona mh Lisu hawezi kukosea, wao watadai, je serikali ililipwa yale matrion yaliyokuwa yakidaiwa na serikali?
Shida sio kulipwa matrion" shida ni mashabiki wa mh Lisu waseme na wataje iwapo kweli serikali ilishitakiwa kweli kwenye mahakama za kimataifa MIGA?
Faida moja wapo ya uboreshwaji mikataba hiyo iliyoombewa kushitakiwa MIGA, ni serikali kuingia shere na mwekezaji na kuundwa kampuni mpya ya Twiga!
Jambo lingine ni kwamba"
Nia ya mh Lisu kutoka ndani ya moyo wake kipindi alipokuwa kule Ughaibuni na akiendelea na kule kuichongea serikali kuhusu kupigwa risasi kwa madai yake na kwa wengi kwamba serikali ilihusika, alitamani serikali ipigwe bani na ikiwezekana kiongozi aliyekuwepo afanywe kisaddam Hossen.
Binafsi yangu nilipendelea hivyo, tatizo haikuwa ni wazungu kuipiga ban serikali hiyo, shida ilikuwa ni yeye kwa kukosa utulivu wa kuelezea vema tukio hilo.
Kulihitajika hekima kidogo tu wakati akielezea hilo kwa wandishi mbalimbali huko Ughaibuni.
Niishie kwa kusema' Mh Tundu lissu kinachokosekana kwake ni ile hekima na utulivu, hawapishani tu na mwendazake.
Na hivyo tuwaombe chadema! Wastake kulazimisha eti watu wote tumuone Mh Lisu ni shujaa nchi nzima na hakuna mwingine.