CHADEMA mnachukua ruzuku ya nini wakati Wabunge 19 mmewafukuza?

Ningekuona mwenye busara na akili kama swali lako ungelielekeza kwa JOB NDUGAI anaewatambua wabunge ambao CDM haiwatambui. Muulize ndugai kwa nini wanawapa CHADEMA ruzuku wakati CDM wamewafukuza wabunge hao !?
 
Mkuu, mbona wenyewe hawajakanusha wewe ndiyo unakanusha.
Ritz amka...acha kuvuta shuka, kumekucha tayari na jua linachomoza...!
 
Kwa hiyo wamechukuwa ruzuku.
 
Ulichokiandika unakijua?
 
wewe sheheee ubwabwa unadanganya mwezi mtukufu
 
Kiti cha Bàshiru mnakigombea kwa kila mbinu
 
Ningekuona mwenye busara na akili kama swali lako ungelielekeza kwa JOB NDUGAI anaewatambua wabunge ambao CDM haiwatambui. Muulize ndugai kwa nini wanawapa CHADEMA ruzuku wakati CDM wamewafukuza wabunge hao !?
Mimi nadhani wanaotakiwa kuweka ushahidi kwamba hawajapokea ni Chadema.
 
Mimi nadhani wanaotakiwa kuweka ushahidi kwamba hawajapokea ni Chadema.
Kwa hiyo unataka Nani akujibu, Chadema? Mtagi katibu mkuu hapa, John mnyika atakupa majibu. Hata hivyo chadema walishakataa kuwa hawajachukua ruzuku tangia uchaguzi uliopita
 
Hizo hela kama zimelipwa basi atakuwa amelipwa Msajili wa vyama maana ndiyo michezo yake alishacheza na lile propesa la buguruni.
 
Kuna walitoweka humu muda sasa wamerudi kwa kasi.
Tulikuwa na zama za waimba pambio sasa ni zama za wapiga miluzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…