Ooh, Sasa unaanza kijifunua na kujiweka wazi sawa na ukweli ulivyo. Ishu ni PESA tu sio kitu kingine. Hakuna cha uharibifu wa mazingira wala nini. Wamehongwa PESA..!!!
SIASA ZA KIPUMBAVU ni hizo zilizoko huko kwenu. Kutesa na kunyanyasa Wamasai katika ardhi yao aliyowapa Mungu tangu lini ikawa ni uungwana au werevu? Huo ndio upumbavu halisi. STOP 🛑 that immediately...!!
Sio ya nchi. Ya watu binafsi. Yangekuwa ni ya nchi tungekaa chini tukayaweka wazi, tukajadiliana na tukakubaliana peacefully wote kwa kuwa NI MASLAHI YA NCHI. Haya ndugu
ChoiceVariable sio. Huu ni uhuni wa watu wachache tu na ndiyo sababu ya resistance hii..
Acha kuihusisha nchi katika tamaa na ujinga wa wachache kwenye hili..!!
Utajulia wapi maana akili na ufahamu wako ulishakuwa corrupted & polluted na rangi ya kijani..?