Naona ugumu mkubwa mbele! Unless foreign intervention kama ya Yahya Jameh wa the Gambia alivyolazimishwa kukubali matokeo ya uchaguzi! Lkn kwa East and , South hakuna nguvu kama hiyo!Kama wao ccm /wenye maamuzi na nchi hii, wana nguvu nyingi yaani ni un touchable wameamua hivyo unadhani wana cdm watafanya nini?
Kikubwa ni kuendekeza mshikamano ndani ya chama kupitia wanachama na wapenzi wa cdm ili huu upepo upite na maisha mengine yasonge.
Retired
In God we Trust
Ndiyo maana tunasema CDM Makao Makuu iwe na mkakati wa kujaza fomu hizo, for example, kwa ku assign watu maalumu say wanasheria kusaidia kujaza hizo fomu under their strict supervision kwa kila mgombea!Umeongea point sana
Ubaya wa chadema huwa wanaacha wagombea wapambane kivyao, watajaza fomu bila kusaidiwa, watafanya kampeni kwa pesa zao kwa asilimia mia, wataachwa na viongozi wa kata tu ikibahatika mkoa.
Hawatachukua huu ushauri hata kidogo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo halina shaka. Indicators ni nyingi!Yap, tena kwa hiyari yao na sio kutumia vitisho vya kundi la watu wasiojulikana, wala mabavu na vitisho vya taasisi zozote za kimamlaka.
Hilo halina shaka. Indicators ni nyingi! hilo moyoni mwako unalikiri!
Lkn kumbuka uchaguzi wa serikali za mitaa watanzania hawakufanya lolote.. definitely kuogopa ukatili wa polisi, TISS etcWatanzania wa leo si wale wa miaka ya sabini hawatawaliki kibabe na lile jini la kuiondoa ccm liko nje ya chupa
Tuombe na kusaliNaona ugumu mkubwa mbele! Unless foreign intervention kama ya Yahya Jameh wa the Gambia alivyolazimishwa kukubali matokeo ya uchaguzi! Lkn kwa East and , South hakuna nguvu kama hiyo!
Chadema safari hii hampati mbunge wala diwani hata
Hata mmoja sababu kwenye maslahi na mambo ya nchi hamsimsmii kaxi yenu kutetea mataifa ya nje tu kukitokea issue ypyote ya Tanzania na nje ya nchi nyie mnasimama na nchi ya nje hata mshinde hamtatangazwa
Mpaka tunafika kwenye uchaguzi uchumi utakuwa kwenye hali ya hatari wafanyakazi wengi wanaendelea kupunguzwa sasa mwaka huu hata wale ambao huwa hawapendi mambo ya siasa njaa itawafanya wabadilishe mawazoLkn kumbuka uchaguzi wa serikali za mitaa watanzania hawakufanya lolote.. definitely kuogopa ukatili wa polisi, TISS etc
Safari hii kama kuna diwani au mbunge Wa chadema anayetaka kupoteza pesa zake agombee hatashinda na hata akishinda hatatangazwa vyama vingine ruksa kushinda isipokuwa Zitto Kabwe
It can be anything... Maono ya ulimwengu wa roho yako deep sanakama kile tulichoombea kitokee bungeni wakati tunaenda karantini Daresalaam?
kama kutakuwa na uchaguzi huru na haki[emoji119][emoji119][emoji119]kaka hili tusahaukama kutakuwa na uchaguzi huru na haki, CDM itawika tena na wabunge wengi tu! Hilo nina uhakka nalo! Kitabaki kuwa chama kikuu cha upinzani.
The spiritual predictions is too vast...
Ndiyo maana tunasema CDM Makao Makuu iwe na mkakati wa kujaza fomu hizo, for example, kwa ku assign watu maalumu say wanasheria kusaidia kujaza hizo fomu under their strict supervision kwa kila mgombea!
Ndoto ya Lema nini?Kaka mkubwa heshima kwako. Kuna kitu nakiona hapo mbeleni. Kama kitatokea kila kitu kitabadilika!
Jr[emoji769]