CHADEMA mnajipanga vipi kuzikabili hujuma kama za uchaguzi wa Serikali za mitaa, maana ndiyo nguzo ya CCM uchaguzi wa Oktoba

CHADEMA mnajipanga vipi kuzikabili hujuma kama za uchaguzi wa Serikali za mitaa, maana ndiyo nguzo ya CCM uchaguzi wa Oktoba

Kama wao ccm /wenye maamuzi na nchi hii, wana nguvu nyingi yaani ni un touchable wameamua hivyo unadhani wana cdm watafanya nini?

Kikubwa ni kuendekeza mshikamano ndani ya chama kupitia wanachama na wapenzi wa cdm ili huu upepo upite na maisha mengine yasonge.

Retired

In God we Trust
Naona ugumu mkubwa mbele! Unless foreign intervention kama ya Yahya Jameh wa the Gambia alivyolazimishwa kukubali matokeo ya uchaguzi! Lkn kwa East and , South hakuna nguvu kama hiyo!
 
Umeongea point sana

Ubaya wa chadema huwa wanaacha wagombea wapambane kivyao, watajaza fomu bila kusaidiwa, watafanya kampeni kwa pesa zao kwa asilimia mia, wataachwa na viongozi wa kata tu ikibahatika mkoa.

Hawatachukua huu ushauri hata kidogo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiyo maana tunasema CDM Makao Makuu iwe na mkakati wa kujaza fomu hizo, for example, kwa ku assign watu maalumu say wanasheria kusaidia kujaza hizo fomu under their strict supervision kwa kila mgombea!
 
Watanzania wa leo si wale wa miaka ya sabini hawatawaliki kibabe na lile jini la kuiondoa ccm liko nje ya chupa
 
Yap, tena kwa hiyari yao na sio kutumia vitisho vya kundi la watu wasiojulikana, wala mabavu na vitisho vya taasisi zozote za kimamlaka.
Hilo halina shaka. Indicators ni nyingi!
 
Watanzania wa leo si wale wa miaka ya sabini hawatawaliki kibabe na lile jini la kuiondoa ccm liko nje ya chupa
Lkn kumbuka uchaguzi wa serikali za mitaa watanzania hawakufanya lolote.. definitely kuogopa ukatili wa polisi, TISS etc
 
Chadema safari hii hampati mbunge wala diwani hata

Hata mmoja sababu kwenye maslahi na mambo ya nchi hamsimsmii kaxi yenu kutetea mataifa ya nje tu kukitokea issue ypyote ya Tanzania na nje ya nchi nyie mnasimama na nchi ya nje hata mshinde hamtatangazwa
 
Naona ugumu mkubwa mbele! Unless foreign intervention kama ya Yahya Jameh wa the Gambia alivyolazimishwa kukubali matokeo ya uchaguzi! Lkn kwa East and , South hakuna nguvu kama hiyo!
Tuombe na kusali

In God we Trust
 
Safari hii kama kuna diwani au mbunge Wa chadema anayetaka kupoteza pesa zake agombee hatashinda na hata akishinda hatatangazwa vyama vingine ruksa kushinda isipokuwa Zitto Kabwe
 
Kwa maana yako cdm isipo pata mbunge na diwani ndiyo itakuwa dawa ya corona?
Chadema safari hii hampati mbunge wala diwani hata

Hata mmoja sababu kwenye maslahi na mambo ya nchi hamsimsmii kaxi yenu kutetea mataifa ya nje tu kukitokea issue ypyote ya Tanzania na nje ya nchi nyie mnasimama na nchi ya nje hata mshinde hamtatangazwa

In God we Trust
 
Lkn kumbuka uchaguzi wa serikali za mitaa watanzania hawakufanya lolote.. definitely kuogopa ukatili wa polisi, TISS etc
Mpaka tunafika kwenye uchaguzi uchumi utakuwa kwenye hali ya hatari wafanyakazi wengi wanaendelea kupunguzwa sasa mwaka huu hata wale ambao huwa hawapendi mambo ya siasa njaa itawafanya wabadilishe mawazo

Sisi kama Chadema tusimamishe watu wanaokubalika ubabe wa ccm wataambulia kukatiwa misaada ya bajeti ndio uwe mwisho wao
 
Kwa hiyo ndiyo dawa ya corona itakuwa imepatikana?
Safari hii kama kuna diwani au mbunge Wa chadema anayetaka kupoteza pesa zake agombee hatashinda na hata akishinda hatatangazwa vyama vingine ruksa kushinda isipokuwa Zitto Kabwe

In God we Trust
 
kama kutakuwa na uchaguzi huru na haki, CDM itawika tena na wabunge wengi tu! Hilo nina uhakka nalo! Kitabaki kuwa chama kikuu cha upinzani.
kama kutakuwa na uchaguzi huru na haki[emoji119][emoji119][emoji119]kaka hili tusahau

Jr[emoji769]
 
Pamoja na kua inaumiza kihisia Kila unapofikiria hali itakuaje huko mbeleni, ila najikuta tu kale kamsemo ka "Baba Mwanaisha chama kinamfia mikononi" kananiijia kichwani.
 
Tatizo la wanasiasa wali wengi hususani wa vyama vya upinzani hawawajui vizuri wateja was ambao kimsingi ndio wapiga kura.
Wananchi wako wengi wanauelwa mdogo sana wa mambo.Nachelea kusema ni wajinga.
Angalau Chama tawala wanaujua ukweli huo,ndio maana wanaweza kuwashawishi kirahisi walio wengi na kura zikatosha.
Uchache wa wananchi walio na uelewa mpana wa mambo ndio unaovigharimu vyama vya upinzani kwenye chaguzi.
Siasa ni pamoja na kujua wateja wako wanakuelewa,hata kama unafanya mambo ya kipuuzi.
Nadhani nimeeleweka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiundwe kikundi cha kigaidi na sisi wananchi tukiunge mkono kipambane na wahuni hawa ccm tukivitegemea hv vyama vya upinzani hamna kitu ifike wakati sisi wananchi wenyewe tupambane na ccm itoke
 
Unadhani mizengwe inakuwa kwenye kujaza fomu tu? kumbuka wanaopokea hizo fomu huwa wanajificha chini ya meza baada yakupokea za ccm

Back
Top Bottom