- Thread starter
- #21
Naona ugumu mkubwa mbele! Unless foreign intervention kama ya Yahya Jameh wa the Gambia alivyolazimishwa kukubali matokeo ya uchaguzi! Lkn kwa East and , South hakuna nguvu kama hiyo!Kama wao ccm /wenye maamuzi na nchi hii, wana nguvu nyingi yaani ni un touchable wameamua hivyo unadhani wana cdm watafanya nini?
Kikubwa ni kuendekeza mshikamano ndani ya chama kupitia wanachama na wapenzi wa cdm ili huu upepo upite na maisha mengine yasonge.
Retired
In God we Trust