Pre GE2025 CHADEMA mnajivua nguo kwa kuanzisha michango ya kumnunulia Lissu gari la kifahari. Hampo kwa ajili ya wananchi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wewe usichange chawa mkubwa nd nobody wants contributions from chawa
Kila mtu apambane na hali yake, Siwezi kupambania maisha ya mtu mwengine, huo ndio unyumbu.
 
Anachangiwa gari yake binafsi unaumia nini au kinawauma nini? Wana Watanganyika tukumnunulia gari mpamvanaji pia mnaumia tunataka aendelee kuwakanda akiwa na chuma mpya kabisa inayofika kokote
 
Huo mchango umeombwa/kutangazwa na CHEDEMA lini?
Hili limeanzia huko X kwenye pages za maria sarungi
 
ukizoea kuchangiwa na kusaidiwa kila mara, usipochangiwa au kusaidiwa kwa muda fulani mrefu, unajiskia kiu na hamu sana ya kuchangiwa mithili kiu ya mnywa pombe au mvuta sigara vile 🐒
 
ukizoea kuchangiwa na kusaidiwa kila mara, usipochangiwa au kusaidiwa kwa muda fulani mrefu, unajiskia kiu na hamu sana ya kuchangiwa mithili kiu ya mnywa pombe au mvuta sigara vile 🐒
Mkuu kwenye hoja hii wananchi ameamua kwa hiyari yao na mapenzi yao kuchangia mpendwa wao Tundu Lissu hela ya kununua kumnuulia gari.

Tafadhali Tlaatlaah thibitisha kinagaubaga juu ya insinuation yako kuhusu the alleged mazoea, kiu na hamu ya Lissu kuomba michango ya kusaidiwa!
 
mpaka Ulaya na Marekani alipitisha bakuli kwa diaspora, na akawasihii sana wamchangie chochote kitu, na akasema, ati wale jamaa nyumbani wakijua nimeshindwa kulipa ada za watoto sijui itakuaje 🤣

na alichangiwa mamilioni ya dollar, stahiki na mafao yake alilipwa still bado tena anatamani kuchangiwa? 🐒

mazoea yana tabu sana hakika
 
Halafu dudu kama hili lilifurahia mama kuchangiwa hela ya fomu sasa anataka kusema mama hawezi nunua fomu? Kwa taarifa yako wananchi tulichangia hela za matibabu hadi Lissu kapona na ni hela nyingi zaidi ya hilo gari la kifahari, ccm mlimpiga risasi mkaharibu mwili wake na gari yake wananchi wa kawaida tukashirikiana na madaktari tukiongozwa na Mungu tutaurejesha mwili mliouharibu na sasa tunataka kumnunulia NDINGA YA MAANA kinachokuuma nini?
Sisi Lissu ni kila kitu kwetu akizungumza tunatabasamu unawashwa na nini? Roho mbaya kama BLACK MAMBA mnataman mzuie michango isiyo wahusu nyambaaf
 
Kwanini asinunue mwenyewe, mafao yote aliolipya hayatoshi kuninua gari, kweli wananchi ni tools za viongozi kuishi maisha mazuri.
Tumeamua kumchangia pamoja na umasikini wetu hayakuhusu na usitupangie
 
Mficha uchi hazai ndo mana wanajivua nguo
 
Upendo Peneza acha hasira.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…