AlP0L0
JF-Expert Member
- Apr 23, 2011
- 6,406
- 4,899
Kila mtu apambane na hali yake, Siwezi kupambania maisha ya mtu mwengine, huo ndio unyumbu.Wewe usichange chawa mkubwa nd nobody wants contributions from chawa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila mtu apambane na hali yake, Siwezi kupambania maisha ya mtu mwengine, huo ndio unyumbu.Wewe usichange chawa mkubwa nd nobody wants contributions from chawa
✍️📝👍👌👏🤝🙏🛡️Wapi na lini Chadema wametangaza kupitisha huo mchango? Ungetuwekea hilo tangazo lao tungeweza kuchangia siyo umepigwa tukio na mumeo huko unataka utushirikishe huzuni zako. Weka ushahidi hapa twende sawa
✍️📝👍👌👏🤝🙏🛡️Walioliharibu hilo gari ni ccm kwa makada wake kumpiga risasi Tundu lissu ningekupongeza endapo ungesema Ccm ndio Wachangishwe kwani ndio walioliharibu hilo Gari
Mkuu kwani wazazi wako, mkeo na watoto wako sio watu???Kila mtu apambane na hali yake, Siwezi kupambania maisha ya mtu mwengine, huo ndio unyumbu.
Anachangiwa gari yake binafsi unaumia nini au kinawauma nini? Wana Watanganyika tukumnunulia gari mpamvanaji pia mnaumia tunataka aendelee kuwakanda akiwa na chuma mpya kabisa inayofika kokoteHii kampenzi ya kuchanga ili kumnunulia gari jipya la kifahari Makamu Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani ni dhihaka iliyopitiliza kwa mwananchi wa kawaida. Tofauti kati ya wabunge wanaopitisha bajeti za kujinunulia magari ya kifahari na viongozi wa CHADEMA hakuna. Kama viongozi wa CHADEMA nao wanawawaza V8 VXR, LC300 na magari mengine ya kifahari kunakuwa na tofauti gani na CCM wanaowalaumu kila siku? Inakera sana.
Kama pamoja na ruzuku na stahiki alizolipwa Lissu hazijaweza kumnunulia gari itoshe kusema CHADEMA haitoshi kabisa kuongoza hii nchi. Potelea mbali acha CCM iendelee kuwepo kuliko kuchagua hili genge la Mbowe linalowaza bata muda wote. Halafu Lissu hajashindwa kujinunulia gari. Kinachofanyika kwa sasa ni uhuni tu wa kupiga hela kupitia michango.
Ninamshauri Lissu akatae hili suala la kuchangiwa ili kulinda hadhi yake na ya chama chake.
Sasa Lisu ni baba yako au?.Mkuu kwani wazazi wako, mkeo na watoto wako sio watu???
Mkuu soma ujumbe wako huu vizuri kwanza: "Kila mtu apambane na hali yake, Siwezi kupambania maisha ya mtu mwengine, huo ndio unyumbu"Sasa Lisu ni baba yako au?.
ukizoea kuchangiwa na kusaidiwa kila mara, usipochangiwa au kusaidiwa kwa muda fulani mrefu, unajiskia kiu na hamu sana ya kuchangiwa mithili kiu ya mnywa pombe au mvuta sigara vile 🐒Hii kampenzi ya kuchanga ili kumnunulia gari jipya la kifahari Makamu Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani ni dhihaka iliyopitiliza kwa mwananchi wa kawaida. Tofauti kati ya wabunge wanaopitisha bajeti za kujinunulia magari ya kifahari na viongozi wa CHADEMA hakuna. Kama viongozi wa CHADEMA nao wanawawaza V8 VXR, LC300 na magari mengine ya kifahari kunakuwa na tofauti gani na CCM wanaowalaumu kila siku? Inakera sana.
Kama pamoja na ruzuku na stahiki alizolipwa Lissu hazijaweza kumnunulia gari itoshe kusema CHADEMA haitoshi kabisa kuongoza hii nchi. Potelea mbali acha CCM iendelee kuwepo kuliko kuchagua hili genge la Mbowe linalowaza bata muda wote. Halafu Lissu hajashindwa kujinunulia gari. Kinachofanyika kwa sasa ni uhuni tu wa kupiga hela kupitia michango.
Ninamshauri Lissu akatae hili suala la kuchangiwa ili kulinda hadhi yake na ya chama chake.
Mkuu kwenye hoja hii wananchi ameamua kwa hiyari yao na mapenzi yao kuchangia mpendwa wao Tundu Lissu hela ya kununua kumnuulia gari.ukizoea kuchangiwa na kusaidiwa kila mara, usipochangiwa au kusaidiwa kwa muda fulani mrefu, unajiskia kiu na hamu sana ya kuchangiwa mithili kiu ya mnywa pombe au mvuta sigara vile 🐒
Mkuu AIP0L0 kwani familia sio watu??Nani kakwambia mimi ni ccm, mimi sipotezi muda wangu kwa manufaa ya wengine, ispokus familia yangu.
mpaka Ulaya na Marekani alipitisha bakuli kwa diaspora, na akawasihii sana wamchangie chochote kitu, na akasema, ati wale jamaa nyumbani wakijua nimeshindwa kulipa ada za watoto sijui itakuaje 🤣Mkuu kwenye hoja hii wananchi ameamua kwa hiyari yao na mapenzi yao kuchangia mpendwa wao Tundu Lissu hela ya kununua kumnuulia gari.
Tafadhali Tlaatlaah thibitisha kinagaubaga juu ya insinuation yako kuhusu the alleged mazoea, kiu na hamu ya Lissu kuomba michango ya kusaidiwa!
Tumeamua kumchangia pamoja na umasikini wetu hayakuhusu na usitupangieKwanini asinunue mwenyewe, mafao yote aliolipya hayatoshi kuninua gari, kweli wananchi ni tools za viongozi kuishi maisha mazuri.
Mficha uchi hazai ndo mana wanajivua nguoHii kampenzi ya kuchanga ili kumnunulia gari jipya la kifahari Makamu Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani ni dhihaka iliyopitiliza kwa mwananchi wa kawaida. Tofauti kati ya wabunge wanaopitisha bajeti za kujinunulia magari ya kifahari na viongozi wa CHADEMA hakuna. Kama viongozi wa CHADEMA nao wanawawaza V8 VXR, LC300 na magari mengine ya kifahari kunakuwa na tofauti gani na CCM wanaowalaumu kila siku? Inakera sana.
Kama pamoja na ruzuku na stahiki alizolipwa Lissu hazijaweza kumnunulia gari itoshe kusema CHADEMA haitoshi kabisa kuongoza hii nchi. Potelea mbali acha CCM iendelee kuwepo kuliko kuchagua hili genge la Mbowe linalowaza bata muda wote. Halafu Lissu hajashindwa kujinunulia gari. Kinachofanyika kwa sasa ni uhuni tu wa kupiga hela kupitia michango.
Ninamshauri Lissu akatae hili suala la kuchangiwa ili kulinda hadhi yake na ya chama chake.
Upendo Peneza acha hasira.Hii kampenzi ya kuchanga ili kumnunulia gari jipya la kifahari Makamu Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani ni dhihaka iliyopitiliza kwa mwananchi wa kawaida. Tofauti kati ya wabunge wanaopitisha bajeti za kujinunulia magari ya kifahari na viongozi wa CHADEMA hakuna. Kama viongozi wa CHADEMA nao wanawawaza V8 VXR, LC300 na magari mengine ya kifahari kunakuwa na tofauti gani na CCM wanaowalaumu kila siku? Inakera sana.
Kama pamoja na ruzuku na stahiki alizolipwa Lissu hazijaweza kumnunulia gari itoshe kusema CHADEMA haitoshi kabisa kuongoza hii nchi. Potelea mbali acha CCM iendelee kuwepo kuliko kuchagua hili genge la Mbowe linalowaza bata muda wote. Halafu Lissu hajashindwa kujinunulia gari. Kinachofanyika kwa sasa ni uhuni tu wa kupiga hela kupitia michango.
Ninamshauri Lissu akatae hili suala la kuchangiwa ili kulinda hadhi yake na ya chama chake.
Tulia andika mpasho vizuri shangaziChadema ni bongo movie iliyochangamka kwa drama walimpa bus liliishia wapi!
Aweke ushahidi, nasubiriWapi na lini Chadema wametangaza kupitisha huo mchango? Ungetuwekea hilo tangazo lao tungeweza kuchangia siyo umepigwa tukio na mumeo huko unataka utushirikishe huzuni zako. Weka ushahidi hapa twende sawa