Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,786
Ubarikiwe komredi,aamin!Umeongea ukweli mtupu. Tunao msingi mzuri tangu awamu ya Julius Nyerere.
Siempre Tanzania!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ubarikiwe komredi,aamin!Umeongea ukweli mtupu. Tunao msingi mzuri tangu awamu ya Julius Nyerere.
Tungekuwa na katiba sahihi inayodhibiti maamuzi mabovu ya Rais, kuna uwezekano mkubwa kuwa JPM angekuwa hai leo hii. Asingepuuza Covid-19 kama alivyofanya na yeye binafsi angechukua tahadhari zote kuhakikisha hivyo virusi havimsogelei.Ndio maana hayati JPM hakucheka na HAO JAMAA.
JPM alikuwa na maono ni kweli vyama vingi vya UPINZANI BARANI AFRIKA viko kwa ajili ya kuchelewesha tu MAENDELEO, viko kuchochea UHASAMA UTENGANO, VURUGU.
Vyama vingi vya Afrika viko kuona kila SERIKALI iliyoko madarakani INASHINDWA NA KUANGUKA hata Kama INAFANYA VYEMA....ni siasa mahsusi za "domokrasia" zilizoasisiwa KULETA SINTOFAHAMU HUMU AFRIKA.
Nitapingwa sana kwa kusema hayo ila ukichunguza utamaizi kuwa kuna ukweli angalau 51%.
#MamaSSHAnaupiga MWINGI
Sijapinga swala la kupiga kelele. Kwanza wapiganie haki zilizopo kikatiba na wakapokonywa Kama mikutano ya hadhara, Uhuru wa habari na Sheria kandamizi. Wakipata haki hiyo waende wakahubiri na kufundisha watu maana na mabadiliko ya Katiba Tena kwa namna ya kutafuta suluhu ya kisiasa na sio kwa vitisho na kushindana. Na mwisho m chakato wa uundwaji Katiba usitawaliwe na wanasiasa
Shida huwa hamsomi hoja vizuri. Mnakimbilia kwenye ushabiki.
Kwa mchakato upi tunaweza kupata Katiba inayofaa? Ule ule wa Jk?! Ule ule uliojaa wanasiasa.
Lazma ngeuze azma yenu kutokea kwenye Katiba mpya na kwenda kwenye tume na chaguzi huru na chaguzi za haki la Katiba likianza Sasa litatuletea Katiba isiyofaaa.
Kama hayo makundi mengine hayawezi hata kutetea maslahi yao ndio wataweza kuandika hiyo katiba? Ukiachia wanasiasa hasa wa upinzani, hao unaowasema wataandika katiba ya haki, ni lini uliwahi kuwasikia wakiogelea katiba hata isiyo ya haki?Elewa hoja. Sijawabeza wanasiasa ata kidogo kwenye kumsukuma Hilo. Ila nachopinga NI wanasiasa kiutawala mchakato wake mzima. Kwanza hawataafikiana na Pili watajadili maswala ya kiuchaguzi tu na kuacha maeneo mengi nyeti. Wawepo Ila wasitawale mchakato
Unataka wachukue copy ya bible labdaKitu wapinzani wanachofeli ni kuongozwa na hasira na ushindani na kupigania maslahi binafsi ya kisiasa hivyo kukosa logic na plan nzuri kufanikisha mipango yao.
Jakaya Kikwete alianzisha mchakato wa Katiba mpya Ila mchakato mzima katika mazingira hayo ulitawaliwa na wanasiasa. Bunge lilijaa wanasiasa na kwa maamuzi yao lingeleta katiba mbovu Tena iliyoegemea kuibeba CCM kwani walikuwa wengi na wenye nguvu ya maamuzi. Wangekuja na katiba mpya lkn isiyofaa. Jk alijua akaitupilia mbali mwishoni.
Sasa mnavyoomba tuimalizie mchakato mnataka tuimalizie kwa staili hiyo hiyo?!
Je, mnataka katiba mpya au katiba nzuri?
Mi nadhani kwa busara CHADEMA ombeni tume huru na chaguzi za haki. Piganieni mabadiliko hayo ya Sheria na katiba Ila swala la katiba liacheni. Waacheni watu wasio wanasiasa watuundie katiba.
*Katiba itakayowasimamia na kuwawajibisha wanasiasa pia. Katiba hiyo wanasiasa hawawezi kuiunda.
*Katiba itakayojibu kila kitu na kuondoa mizengwe kwenye kila sekta kuanzia kilimo, biashara, Viwanda, madini na Mikataba yote isiyo ya kiusalama Kama madini na manunuzi, ubia, hesabu za taasisii na mashirika ya umma kuwa wazi kwa umma wakati wote.
*Katiba itakayomlazimisha mbunge kabla ya kwenda bungeni kwenye kikao chochote akae vikao vyenye maandishi angalau vitatu na wadau wote katika Jimbo lake na kuikusanya mawazo na Kisha kuyafikisha bungeni au serikalini na sio Sasa wabunge kwenda kuzungumza mawazo binafsi na marafiki zao wachache wanaokunywa nao bia vijiweni.
Bunge jipya la katiba lisizidi 10% ya wanasiasa. Waingie wakulima, wafugaji, wafanyabiashara, bunge lijae wataalamu kwa 30% mfano walimu, madaktari, wanasheria na wachumi. Na wanaoshiriki kwenye bunge Hilo wakubali kutokugombea au kuteuliwa nafasi yoyote ya kisiasa au za kiuteuzi kwa miaka kumi ili kuondoa bunge Hilo Hilo kuja kugeuka chombo Cha utawala Mara baada ya kuunda katiba.
Bunge lililopita na mchakato mzima wa Katiba ndio uliowaibua akina polepole na Kabudi. Watu watashindwa kutoa mawazo kwa Uhuru wakitarajia hisani za watawala
Na nawaomba wimbo isiwe katiba mpya Bali tunataka katiba yenye kulinda haki. Na katiba yenye kutenda haki kamwe haiwezi kuletwa na wanasiasa. Kila sehemu wanasiasa huvutana tu kutafuta msindi. Kwenye katiba lazima kila mtu awe msindi.
Hoja yangu wao wapiganie Uhuru wa kufanya siasa kwanza. Kupitia Uhuru huo watoe elimu ya Katiba kwenye jamii Tena wakiwa watulivu Kama motivation speaker. Waweke mazingira ya kupatikana Katiba ya haki. Nachosema hapa Katiba ikitungwa na wanasiasa itakuwa mbovu Sana na CCM watapanga wanachotaka kwani kwenye siasa wao ndio Wana nguvu ya maamuzi.Kama hayo makundi mengine hayawezi hata kutetea maslahi yao ndio wataweza kuandika hiyo katiba? Ukiachia wanasiasa hasa wa upinzani, hao unaowasema wataandika katiba ya haki, ni lini uliwahi kuwasikia wakiogelea katiba hata isiyo ya haki?
Hoja yangu wao wapiganie Uhuru wa kufanya siasa kwanza. Kupitia Uhuru huo watoe elimu ya Katiba kwenye jamii Tena wakiwa watulivu Kama motivation speaker. Waweke mazingira ya kupatikana Katiba ya haki. Nachosema hapa Katiba ikitungwa na wanasiasa itakuwa mbovu Sana na CCM watapanga wanachotaka kwani kwenye siasa wao ndio Wana nguvu ya maamuzi.
Katiba mpya ianzie kwenye vyama vya siasaKitu wapinzani wanachofeli ni kuongozwa na hasira na ushindani na kupigania maslahi binafsi ya kisiasa hivyo kukosa logic na plan nzuri kufanikisha mipango yao.
Jakaya Kikwete alianzisha mchakato wa Katiba mpya Ila mchakato mzima katika mazingira hayo ulitawaliwa na wanasiasa. Bunge lilijaa wanasiasa na kwa maamuzi yao lingeleta katiba mbovu Tena iliyoegemea kuibeba CCM kwani walikuwa wengi na wenye nguvu ya maamuzi. Wangekuja na katiba mpya lkn isiyofaa. Jk alijua akaitupilia mbali mwishoni.
Sasa mnavyoomba tuimalizie mchakato mnataka tuimalizie kwa staili hiyo hiyo?!
Je, mnataka katiba mpya au katiba nzuri?
Mi nadhani kwa busara CHADEMA ombeni tume huru na chaguzi za haki. Piganieni mabadiliko hayo ya Sheria na katiba Ila swala la katiba liacheni. Waacheni watu wasio wanasiasa watuundie katiba.
*Katiba itakayowasimamia na kuwawajibisha wanasiasa pia. Katiba hiyo wanasiasa hawawezi kuiunda.
*Katiba itakayojibu kila kitu na kuondoa mizengwe kwenye kila sekta kuanzia kilimo, biashara, Viwanda, madini na Mikataba yote isiyo ya kiusalama Kama madini na manunuzi, ubia, hesabu za taasisii na mashirika ya umma kuwa wazi kwa umma wakati wote.
*Katiba itakayomlazimisha mbunge kabla ya kwenda bungeni kwenye kikao chochote akae vikao vyenye maandishi angalau vitatu na wadau wote katika Jimbo lake na kuikusanya mawazo na Kisha kuyafikisha bungeni au serikalini na sio Sasa wabunge kwenda kuzungumza mawazo binafsi na marafiki zao wachache wanaokunywa nao bia vijiweni.
Bunge jipya la katiba lisizidi 10% ya wanasiasa. Waingie wakulima, wafugaji, wafanyabiashara, bunge lijae wataalamu kwa 30% mfano walimu, madaktari, wanasheria na wachumi. Na wanaoshiriki kwenye bunge Hilo wakubali kutokugombea au kuteuliwa nafasi yoyote ya kisiasa au za kiuteuzi kwa miaka kumi ili kuondoa bunge Hilo Hilo kuja kugeuka chombo Cha utawala Mara baada ya kuunda katiba.
Bunge lililopita na mchakato mzima wa Katiba ndio uliowaibua akina polepole na Kabudi. Watu watashindwa kutoa mawazo kwa Uhuru wakitarajia hisani za watawala
Na nawaomba wimbo isiwe katiba mpya Bali tunataka katiba yenye kulinda haki. Na katiba yenye kutenda haki kamwe haiwezi kuletwa na wanasiasa. Kila sehemu wanasiasa huvutana tu kutafuta msindi. Kwenye katiba lazima kila mtu awe msindi.
Hayo ya Tume huru, katiba mpya na bunge live wanayasemea wapi ???
Nimesema kwenye kulejea mchakato slogan iwe Katiba inayolinda haki. Na tukiulejea Katiba mpya Sasa itatawaliwa na siasa na CCM wataiunda yote na Wale mnaowaita Covid 19 kwani ndio wapo bungeni na watageuka kuwa bunge la Katiba.Kudai Chadema wanakuchanganya kwenye hili ni kutokuwatendea haki.
Katiba inahitajika na wananchi ambao ndiyo watakayoiandika. Kumbuka katiba iliyopo iliandikwa na nani na kwenye mazingira gani?
Chadema hawajahitaji wanasiasa kuandika katiba bali wanataka mchakato wa katiba mpya kurejelewa.
Chadema kusukuma mchakato wa kupatikana kwa katiba mpya uliosimama tangia 2015 tatizo liko wapi hapo? Labda kama wanakuchanganya kea kuuhitaji mchakato huu kurejelewa?
Kama wao wanakuchanganya kwa kutaka mchakato kurejelewa labda wewe ulipendelea nani basi waweke msukumo kwenye kulirejelea hili?
Katiba NI kitu kikubwa Sana. Sio Cha kwenda nacho haraka wakati tupo kwenye hasira na makovu kibao. Kwenye uadui mkubwa wa kisiasa na siasa za visasi. Mchakato huo ukianza Sasa hautaleta Katiba Bali wachumia tumbo na watafuta fursa. Lazma tuwe na mazingira ya Maridhiano. Kusiwe na uadui mkubwa Kati ya wapinzani na utawala.Katiba ndio msingi wa sheria zote. Katiba hii inampa absolute powers Rais wa JMT. Ushahidi wa hatari yake tumeushuhudia kupitia matendo ya JPM alivyotupilia mbali sheria mbalimbali na kukiuka mifumo iliyowekwa kisheria ili kukidhi matakwa yake binafsi.
Huwezi kupigania haki zilizopo kikatiba kabla hujarekebisha vifungu kinzani kama vile vinavyowezesha madaraka ya Rais kuchezea haki hizo kwa kadiri “anavyojisikia”. Rais kudai kuwa baadhi ya maamuzi muhimu kwa taifa yatategemea “ameamkaje siku hiyo” si kitu cha kusherehekewa. Katiba inayomuwezesha Rais wakati wowote anapojisikia kupiga marufuku shughuli na mikutano ya kisiasa ambayo ipo kikatiba na kisheria!
Tunazidi kushuhudia Rais wa sasa Mama SSH akisahihisha makosa mengi ya JPM yaliyoathiri watu binafsi na uchumi wa Taifa kwa ujumla yaliyotendwa kutokana na mikingamo ya katiba.
Katiba yetu imejaa controversies na contradictions kibao kiasi kwamba Rais anaweza kufanya chochote; kukubali chochote au kukataa chochote kinacholetwa kwake na watu au taasisi husika bila kuwajibika kisheria.
Hivyo ni fallacy (dhana potofu) kuwaambia wapinzani “wapiganie haki za kikatiba” kwanza kabla hawajadai marekebisho ya Katiba hiyo.
Nimesema kwenye kulejea mchakato slogan iwe Katiba inayolinda haki. Na tukiulejea Katiba mpya Sasa itatawaliwa na siasa na CCM wataiunda yote na Wale mnaowaita Covid 19 kwani ndio wapo bungeni na watageuka kuwa bunge la Katiba.
Naunga mkono hoja,wanasiasa wa chama chochote wakae mbali kabisaaa maana ni vigeugeu kabisaaaa.Kitu wapinzani wanachofeli ni kuongozwa na hasira na ushindani na kupigania maslahi binafsi ya kisiasa hivyo kukosa logic na plan nzuri kufanikisha mipango yao.
Jakaya Kikwete alianzisha mchakato wa Katiba mpya Ila mchakato mzima katika mazingira hayo ulitawaliwa na wanasiasa. Bunge lilijaa wanasiasa na kwa maamuzi yao lingeleta katiba mbovu Tena iliyoegemea kuibeba CCM kwani walikuwa wengi na wenye nguvu ya maamuzi. Wangekuja na katiba mpya lkn isiyofaa. Jk alijua akaitupilia mbali mwishoni.
Sasa mnavyoomba tuimalizie mchakato mnataka tuimalizie kwa staili hiyo hiyo?!
Je, mnataka katiba mpya au katiba nzuri?
Mi nadhani kwa busara CHADEMA ombeni tume huru na chaguzi za haki. Piganieni mabadiliko hayo ya Sheria na katiba Ila swala la katiba liacheni. Waacheni watu wasio wanasiasa watuundie katiba.
*Katiba itakayowasimamia na kuwawajibisha wanasiasa pia. Katiba hiyo wanasiasa hawawezi kuiunda.
*Katiba itakayojibu kila kitu na kuondoa mizengwe kwenye kila sekta kuanzia kilimo, biashara, Viwanda, madini na Mikataba yote isiyo ya kiusalama Kama madini na manunuzi, ubia, hesabu za taasisii na mashirika ya umma kuwa wazi kwa umma wakati wote.
*Katiba itakayomlazimisha mbunge kabla ya kwenda bungeni kwenye kikao chochote akae vikao vyenye maandishi angalau vitatu na wadau wote katika Jimbo lake na kuikusanya mawazo na Kisha kuyafikisha bungeni au serikalini na sio Sasa wabunge kwenda kuzungumza mawazo binafsi na marafiki zao wachache wanaokunywa nao bia vijiweni.
Bunge jipya la katiba lisizidi 10% ya wanasiasa. Waingie wakulima, wafugaji, wafanyabiashara, bunge lijae wataalamu kwa 30% mfano walimu, madaktari, wanasheria na wachumi. Na wanaoshiriki kwenye bunge Hilo wakubali kutokugombea au kuteuliwa nafasi yoyote ya kisiasa au za kiuteuzi kwa miaka kumi ili kuondoa bunge Hilo Hilo kuja kugeuka chombo Cha utawala Mara baada ya kuunda katiba.
Bunge lililopita na mchakato mzima wa Katiba ndio uliowaibua akina polepole na Kabudi. Watu watashindwa kutoa mawazo kwa Uhuru wakitarajia hisani za watawala
Na nawaomba wimbo isiwe katiba mpya Bali tunataka katiba yenye kulinda haki. Na katiba yenye kutenda haki kamwe haiwezi kuletwa na wanasiasa. Kila sehemu wanasiasa huvutana tu kutafuta msindi. Kwenye katiba lazima kila mtu awe msindi.
Katiba nzuri sio NI kwa manufaa ya wananchi na sio wanasiasa. Na maswala ya kisiasa ndio ganayofanya swala la Katiba kuonekana kuwa ipo kwa manufaa ya kisiasa tu. Ndio maana tunakosa maridhianoKatiba
Katiba mpya ianzie kwenye vyama vya siasa