CHADEMA mnaweza kuchukua nchi 2025 ila kama mtafanyia kazi mambo yafuatayo

JF Member

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2014
Posts
7,914
Reaction score
10,793
CHADEMA kina nafasi kubwa sana ya kuchukua nchi iwapo tu itafanyia kazi mambo yafuatayo.

1. Mbowe aendelee kuwa Mwenyekiti.
2. Katibu mkuu awe Heche.
3. Mgombea Urais atoke CCM (Tulizeni kichwa hapa).
4. Kwenye Majukwaa sera zenu ziwe against awamu ya sita na sio awamu zilizopita.
5. Muwape Vijana wengi kugombea udiwani na ubunge (Vijana ni chini ya miaka 40).

Kwa leo ni hayo tu.
 
CDM kina nafasi kubwa sana ya kuchukua nchi iwapo tu itafanyia kazi mambo yafuatayo.

1. Mbowe aendelee kuwa Mwenyekiti.
2. Katibu mkuu awe Heche.
3. Mgombea Urais atoke CCM (Tulizeni kichwa hapa).
4. Kwenye Majukwaa sera zenu ziwe against awamu ya sita na sio awamu zilizopita.
5. Muwape Vijana wengi kugombea udiwa na ubunge (Vija ni chini ya miaka 40).

Kwa leo ni hayo tu.
Kwamba mgombea Urais atoke CCM 🤣🤣🤣
 
Chadema waungane na zito zuberi kabwe waungane na hashimu rungwe na yule ITUTU waingie uwanjani kwa nia moja...asubuhi mapema sana wanamaliza mahesabu. ajenda za kuwamaliza ccm zipo nyingi sana kwasasa na zinazidi kuongezeka. CCM wanajikaanga wenyewe kwenye mafuta yao 😀 😀 😀 .

Hawana plan yoyote pale, zaidi wamekazania haki sawa wanawake sijui nini, na kurudisha makapa ambayo tulielezwa kwamba hayafai na tukapewa sababu natukazielewa sababu zile na aliyekuwa Rais, sasa leo tunarudishiwa makapi yale pasipo sababu za kuyasafisha kwa ukamilifu...yanarudishwa kwa spidi yatutawale. CHADEMA MCHUKUENI NA Dr WILBROAD SLAA muyajenge mapema sana muanze mikakati. Wananchi wamechoka sana na wameshakata tamaa tayari msifanye kosa.

Mkumbuke CCM 2015 iliokolewa na Magufuli (yeye binafsi), kwasasa hamna dalili ya kunasibu lile gurudumu ifikapo 2025😎😎
 
CDM kina nafasi kubwa sana ya kuchukua nchi iwapo tu itafanyia kazi mambo yafuatayo.

1. Mbowe aendelee kuwa Mwenyekiti.
2. Katibu mkuu awe Heche.
3. Mgombea Urais atoke CCM (Tulizeni kichwa hapa).
4. Kwenye Majukwaa sera zenu ziwe against awamu ya sita na sio awamu zilizopita.
5. Muwape Vijana wengi kugombea udiwa na ubunge (Vija ni chini ya miaka 40).

Kwa leo ni hayo tu.
CCM mnawafundisha upinzani kuwashinda? Very funny
 
CDM kina nafasi kubwa sana ya kuchukua nchi iwapo tu itafanyia kazi mambo yafuatayo.

1. Mbowe aendelee kuwa Mwenyekiti.
2. Katibu mkuu awe Heche.
3. Mgombea Urais atoke CCM (Tulizeni kichwa hapa).
4. Kwenye Majukwaa sera zenu ziwe against awamu ya sita na sio awamu zilizopita.
5. Muwape Vijana wengi kugombea udiwa na ubunge (Vija ni chini ya miaka 40).

Kwa leo ni hayo tu.

Kile chama chenu cha sukuma gang kwanini kisianze mfanye hivyo? Tutaongea awamu zote ikiwemo ya dhalimu, mnaogopa ukweli kusemwa?
 
Kipi, UMOJA PARTY?
 
Marhum Julius Nyaisanga alikuwa na kipindi chake asubuhi radio one kinaitwa "Hizi Nazo".. hili bandiko lingefaa kuwepo kule..

Hivi kweli mkuu unaamini kbsa nguvu ya Sanduku la Kura kusini mwa jangwa la Sahara,,much more unaamini CDM kbsaaaa kbsaa itakuja kuchukua nchi?
 
CDM kina nafasi kubwa sana ya kuchukua nchi iwapo tu itafanyia kazi mambo yafuatayo.

1. Mbowe aendelee kuwa Mwenyekiti.
2. Katibu mkuu awe Heche.
3. Mgombea Urais atoke CCM (Tulizeni kichwa hapa).
4. Kwenye Majukwaa sera zenu ziwe against awamu ya sita na sio awamu zilizopita.
5. Muwape Vijana wengi kugombea udiwa na ubunge (Vija ni chini ya miaka 40).

Kwa leo ni hayo tu.
Chadema ni CCM B, hawawezi yachukua hayo na wataamini wameibiwa 😁😁
 
Mtihani unaanza hapo kwenye kumchukua nchi😎

Sidhani kama wanaweza🌪️
 
CDM kina nafasi kubwa sana ya kuchukua nchi iwapo tu itafanyia kazi mambo yafuatayo.

1. Mbowe aendelee kuwa Mwenyekiti.
2. Katibu mkuu awe Heche.
3. Mgombea Urais atoke CCM (Tulizeni kichwa hapa).
4. Kwenye Majukwaa sera zenu ziwe against awamu ya sita na sio awamu zilizopita.
5. Muwape Vijana wengi kugombea udiwa na ubunge (Vija ni chini ya miaka 40).

Kwa leo ni hayo tu.
Napinga Ushauri wako
 
Hawana mgombea urais makini, at all.
Nahuo ndio ukweli.

Wamkodi Bashir, Lukuvi, Kabudi, Polepole ama Mpina.

2020 Chadema hawakuwa serious ndio maana waliamua kumuweka Miga..
 
Back
Top Bottom