Last emperor
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 10,351
- 9,855
Kwani Lissu hafai? Unafikiri ni mjinga kwenda kuwekeza kwenye siasa za kimataifa huko?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zitto na Slaa wote ni wasaliti na wanafiki, kuwakaribisha kwenye harakati zozote ni kuziua kabla hazijaanza.Zitto ni msaliti waachane naye
Slaa ni takataka iliyooza, bora hata Sugu kuliko huyo mnafiki. Loyalty ni kitu muhimu sana, kumkaribisha mtu anayeweza kuwasaliti katikati ya mapambani ni kujiweka kwenye unnecessary risks.Mnyika vs Heche,
Heche hatoshi.
Maridhiano yafanyike warudishe Dr Slaa Kwa nafasi yake.
Wote watoto wa Mama nyanza Sio!!?Mgombea urais Mnyika akisimama na Mlawi, itafana sana.😃😃😃😃
Agenda ya CHADEMA sio wabunge 19, wala mikutano ya siasa wala Uchaguzi wa 2025, hayo ni maono hafifu... lengo ni KATIBA kwanza... CHADEMA sio TCA maono ofisi ya kisasa... malengo yakiwa hayo wakishindwa 2025 na chama kitafikia mwisho.CHADEMA kina nafasi kubwa sana ya kuchukua nchi iwapo tu itafanyia kazi mambo yafuatayo.
1. Mbowe aendelee kuwa Mwenyekiti.
2. Katibu mkuu awe Heche.
3. Mgombea Urais atoke CCM (Tulizeni kichwa hapa).
4. Kwenye Majukwaa sera zenu ziwe against awamu ya sita na sio awamu zilizopita.
5. Muwape Vijana wengi kugombea udiwani na ubunge (Vijana ni chini ya miaka 40).
Kwa leo ni hayo tu.
Hoja hii haina mashiko. Hebu twambie umuhimu wa hoja hii ktk siasa za upinzani. Insaidiaje? (Mfano ktk ccm mm namuona January (above 45) ni bora mara 10000+ kuliko Sabaya (below 40)5. Muwape Vijana wengi kugombea udiwani na ubunge (Vijana ni chini ya miaka 40).
Kwa siasa za Sasa vijana wanazijua sana kuliko wazee.Hoja hii haina mashiko. Hebu twambie umuhimu wa hoja hii ktk siasa za upinzani. Insaidiaje? (Mfano ktk ccm mm namuona January (above 45) ni bora mara 10000+ kuliko Sabaya (below 40)
Wasira ni mzee (lkn siyo kila mwenye above 40 ni mzee). Kwenye maelezo yako umesema above 40 hawezi kushindana na under 40. Ndiyo maana nikakupa mfano wa MakambaLakini bunge la Sasa huwezi mshindanisha mtu kama Wasira na kijana yeyote makini
Inaweza tokea cuteMtihani unaanza hapo kwenye kumchukua nchi😎
Sidhani kama wanaweza🌪️
Na mimi ndo maana nikakwambia, tumia chini ya miaka 40. Watakuja kunishukuru badaee.Wasira ni mzee (lkn siyo kila mwenye above 40 ni mzee). Kwenye maelezo yako umesema above 40 hawezi kushindana na under 40. Ndiyo maana nikakupa mfano wa Makamba
CHADEMA kina nafasi kubwa sana ya kuchukua nchi iwapo tu itafanyia kazi mambo yafuatayo.
1. Mbowe aendelee kuwa Mwenyekiti.
2. Katibu mkuu awe Heche.
3. Mgombea Urais atoke CCM (Tulizeni kichwa hapa).
4. Kwenye Majukwaa sera zenu ziwe against awamu ya sita na sio awamu zilizopita.
5. Muwape Vijana wengi kugombea udiwani na ubunge (Vijana ni chini ya miaka 40).
Kwa leo ni hayo tu.
Nakubaliana na weweZitto na Slaa wote ni wasaliti na wanafiki, kuwakaribisha kwenye harakati zozote ni kuziua kabla hazijaanza.
Kikundi cha watu kutoka Ccm kinaweza kikahamia Chadema na hapo ndipo patachimbika !!Haiwezekani. Wapo wapinzani watakaochukua nchi kutoka kwa CCM siku moja ila sio CHADEMA
Ni mpumbavu tu huwaza Chadema kuwa kuna siku hili genge la Malaghai kuchukua Nchi tunahitaji Chama makini wa kuking'oa CCM sio hizi SACCOSS za akina Mbowe na ZitoCHADEMA kina nafasi kubwa sana ya kuchukua nchi iwapo tu itafanyia kazi mambo yafuatayo.
1. Mbowe aendelee kuwa Mwenyekiti.
2. Katibu mkuu awe Heche.
3. Mgombea Urais atoke CCM (Tulizeni kichwa hapa).
4. Kwenye Majukwaa sera zenu ziwe against awamu ya sita na sio awamu zilizopita.
5. Muwape Vijana wengi kugombea udiwani na ubunge (Vijana ni chini ya miaka 40).
Kwa leo ni hayo tu.