Exy
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 3,146
- 5,520
Hivi Chadema ni ya Mbowe??. Upuuzi wakudhani Chadema ipo hapo kwaajili ya Mbowe ndio kimenifanya nikipuuze hiki chama asee!. Chadema inaamini katika ujenzi wa taasisi imara na sio mtu imara, kinachonisikitisha katika wanachokiamini hawataki kukifanyia kazi wao kwanza.
Siku Mbowe hayupo means Chadema haipo tena?.
Siku Mbowe hayupo means Chadema haipo tena?.