Kwamba mgombea Urais atoke CCM 🤣🤣🤣CDM kina nafasi kubwa sana ya kuchukua nchi iwapo tu itafanyia kazi mambo yafuatayo.
1. Mbowe aendelee kuwa Mwenyekiti.
2. Katibu mkuu awe Heche.
3. Mgombea Urais atoke CCM (Tulizeni kichwa hapa).
4. Kwenye Majukwaa sera zenu ziwe against awamu ya sita na sio awamu zilizopita.
5. Muwape Vijana wengi kugombea udiwa na ubunge (Vija ni chini ya miaka 40).
Kwa leo ni hayo tu.
CCM mnawafundisha upinzani kuwashinda? Very funnyCDM kina nafasi kubwa sana ya kuchukua nchi iwapo tu itafanyia kazi mambo yafuatayo.
1. Mbowe aendelee kuwa Mwenyekiti.
2. Katibu mkuu awe Heche.
3. Mgombea Urais atoke CCM (Tulizeni kichwa hapa).
4. Kwenye Majukwaa sera zenu ziwe against awamu ya sita na sio awamu zilizopita.
5. Muwape Vijana wengi kugombea udiwa na ubunge (Vija ni chini ya miaka 40).
Kwa leo ni hayo tu.
CDM kina nafasi kubwa sana ya kuchukua nchi iwapo tu itafanyia kazi mambo yafuatayo.
1. Mbowe aendelee kuwa Mwenyekiti.
2. Katibu mkuu awe Heche.
3. Mgombea Urais atoke CCM (Tulizeni kichwa hapa).
4. Kwenye Majukwaa sera zenu ziwe against awamu ya sita na sio awamu zilizopita.
5. Muwape Vijana wengi kugombea udiwa na ubunge (Vija ni chini ya miaka 40).
Kwa leo ni hayo tu.
Tanzania hakuna uchaguzi bali kuna maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura. Nothing special hiyo 2025 labda yatokee machafuko.Kupeana moyo lazima.
Hicho hicho.Kipi, UMOJA PARTY?
Chadema ni CCM B, hawawezi yachukua hayo na wataamini wameibiwa 😁😁CDM kina nafasi kubwa sana ya kuchukua nchi iwapo tu itafanyia kazi mambo yafuatayo.
1. Mbowe aendelee kuwa Mwenyekiti.
2. Katibu mkuu awe Heche.
3. Mgombea Urais atoke CCM (Tulizeni kichwa hapa).
4. Kwenye Majukwaa sera zenu ziwe against awamu ya sita na sio awamu zilizopita.
5. Muwape Vijana wengi kugombea udiwa na ubunge (Vija ni chini ya miaka 40).
Kwa leo ni hayo tu.
Napinga Ushauri wakoCDM kina nafasi kubwa sana ya kuchukua nchi iwapo tu itafanyia kazi mambo yafuatayo.