Sahau....Muwape Vijana wengi kugombea udiwa na ubunge (Vijana ni chini ya miaka 40)
Wewe unaamini taasisi inaweza kutengenezwa Africa? Thubutuuu.Hivi Chadema ni ya Mbowe??. Upuuzi wakudhani Chadema ipo hapo kwaajili ya Mbowe ndio kimenifanya nikipuuze hiki chama asee!. Chadema inaamini katika ujenzi wa taasisi imara na sio mtu imara, kinachonisikitisha katika wanachokiamini hawataki kukifanyia kazi wao kwanza.
Siku Mbowe hayupo means Chadema haipo tena?.
CCM wamekiogopa wakazuia udhuru.
UMOJA PARTY kiko ndani ya Dola..tena kimekita mzizi.
Labda Chadema wachukue nchi kwenye magemu ya PlayStation 2!CDM kina nafasi kubwa sana ya kuchukua nchi iwapo tu itafanyia kazi mambo yafuatayo.
1. Mbowe aendelee kuwa Mwenyekiti.
2. Katibu mkuu awe Heche.
3. Mgombea Urais atoke CCM (Tulizeni kichwa hapa).
4. Kwenye Majukwaa sera zenu ziwe against awamu ya sita na sio awamu zilizopita.
5. Muwape Vijana wengi kugombea udiwa na ubunge (Vija ni chini ya miaka 40).
Kwa leo ni hayo tu.
Halafu nchi wanachukua chadema 🤣🤣🤣Kwamba mgombea Urais atoke CCM 🤣🤣🤣
Ndoto za.mlebi,kama Nchi huwa inachukuliwa Basi sawa.CDM kina nafasi kubwa sana ya kuchukua nchi iwapo tu itafanyia kazi mambo yafuatayo.
1. Mbowe aendelee kuwa Mwenyekiti.
2. Katibu mkuu awe Heche.
3. Mgombea Urais atoke CCM (Tulizeni kichwa hapa).
4. Kwenye Majukwaa sera zenu ziwe against awamu ya sita na sio awamu zilizopita.
5. Muwape Vijana wengi kugombea udiwa na ubunge (Vija ni chini ya miaka 40).
Kwa leo ni hayo tu.
Umetaja matakataka matupuHawana mgombea uraisi makini,at all.
Nahuo ndio ukweli.
Wamkodi Bashir,Lukuv,kabud,polepl ama mpine.
2020 chadema hawakuwa serious ndio maana waliamua kumuweka Miga..
Chadema ikishindwa hakuna atakayeweza Tena ni kama Kenya tu kama Odinga ameshindwa usitarajie Kabila nje ya Kikuyu na Kalenjin kuwa Rais ever again. Chadema kimeshaenea kuliko chama chochote katika historia ya upinzani so ikitokea chama kingine itagawa kura hivyo CCM kuendeleza kutawala milele.Haiwezekani. Wapo wapinzani watakaochukua nchi kutoka kwa CCM siku moja ila sio CHADEMA
Kwa katiba ipi? Umoja party ikianza tu watajaza TISS wa kutosha so hakuna njia kitapita, nchi hii mwenyekiti wa CCM ni mungu hahojiwi hapingwiKuna hao wanaotemekea teuzi afu kuna hawa wanaojari maslahi mapan ya nnchi na ni wengi sana huku kwa ground.
Huwaambii chochote. Wajisahau tu UMOJA PART ije uone.
NECCMHawana mgombea uraisi makini,at all.
Nahuo ndio ukweli.
Wamkodi Bashir,Lukuv,kabud,polepl ama mpine.
2020 chadema hawakuwa serious ndio maana waliamua kumuweka Miga..
TISS ndio wenye UMOJA PARTY.Kwa katiba ipi? Umoja party ikianza tu watajaza TISS wa kutosha so hakuna njia kitapita, nchi hii mwenyekiti wa CCM ni mungu hahojiwi hapingwi
CDM kina nafasi kubwa sana ya kuchukua nchi iwapo tu itafanyia kazi mambo yafuatayo.
1. Mbowe aendelee kuwa Mwenyekiti.
2. Katibu mkuu awe Heche.
3. Mgombea Urais atoke CCM (Tulizeni kichwa hapa).
4. Kwenye Majukwaa sera zenu ziwe against awamu ya sita na sio awamu zilizopita.
5. Muwape Vijana wengi kugombea udiwa na ubunge (Vija ni chini ya miaka 40).
Kwa leo ni hayo tu.
Haiwezekani. Wapo wapinzani watakaochukua nchi kutoka kwa CCM siku moja ila sio CHADEMA