Gabeji
JF-Expert Member
- Sep 10, 2024
- 1,530
- 1,903
Jamani moyo wangu umefurahi sana baada ya kuona wanachadema na watanzania wanaendakupata mwenyekiti mpyaaaaaaaaaaaa baada ya miaka 20 na zaidi kupita.
Hii kwangu na kwa watanzania wenye akili timamu na wazalendo wataifa letu la Tanzania imekaa vzr sana tena sana.
Upinzani ukiwa imara siku zote serikali inawajibika vzr sana kwa wananchi lakin kama upinzani ukiwa legelege, na ni upinzani wa maadili na fursa ,Rushwa, serikali inakuwa dhaifu sana na haiwajibiki kwa wananchi vizuri.
Kama mwanavyo
CHADEMA chini ya Tundu Lissu serikali ya ccm itakuwa bize kutoa huduma kwa wananchi.
FAIDA ZA LISU KWA WANANCHI KUWA KIONGOZI MKUU CHADEMA :
1. Rushwa na ufisadi itaenda kupungua ndani ya serikali na ndani ya chadema.
2. Uwajibikaji unaenda kuongezeka kwa viongozi wa serikali na CHAMA pia
3.chadema itaenda kukua sana, wanachama wote waliokata tamaaa, waliohama watarudi chadema.
4. Viongozi wengi wa ccm watajiunga na chadema.
5. Unafuu wa maisha utaongezeka
Mungu ibariki Tanzania by mwinjilist wenu Gabeji.