Pre GE2025 CHADEMA mpya inakuja chini ya Mwenyekiti Tundu Lissu Wakili Msomi na mpinga Rushwa Tanzania

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hayo mapungufu yake ndio wanayondea gentleman, hakuna binadu perfect
I think ana mapungufu mengi zaidi ya chairman wa sasa wa Chadema,
.Na hayo ndiyo yatakayomfelisha hadi kwenye urais 2025🐒
 
Gentleman man binadamu hafanani wanachadema wanaenda na lisu
 
hizo ndoto za alinacha gentleman,

infact,
wajumbe wa mkutano mkuu wa Chadema Taifa watamchagua kwa kishindo kikuu, ndugu Freeman Aikaeli Mbowe kuwa Mwenyekiti wa Chadema Taifa 2025 -2030 bila mbambamba yoyote 🐒
 
Ccm na polisi wakiingilia kati
 
Jamani moyo wangu umefurahi sana baada ya kuona wanachadema na watanzania wanaendakupata mwenyekiti mpyaaaaaaaaaaaa baada ya miaka 20 na zaidi kupita.

Hii kwangu na kwa watanzania wenye akili timamu na wazalendo wataifa letu la Tanzania imekaa vzr sana tena sana.

Upinzani ukiwa imara siku zote serikali inawajibika vzr sana kwa wananchi lakin kama upinzani ukiwa legelege, na ni upinzani wa maadili na fursa ,Rushwa, serikali inakuwa dhaifu sana na haiwajibiki kwa wananchi vizuri.

Kama mwanavyo
CHADEMA chini ya Tundu Lissu serikali ya ccm itakuwa bize kutoa huduma kwa wananchi.

FAIDA ZA LISU KWA WANANCHI KUWA KIONGOZI MKUU CHADEMA :

1. Rushwa na ufisadi itaenda kupungua ndani ya serikali na ndani ya chadema.

2. Uwajibikaji unaenda kuongezeka kwa viongozi wa serikali na CHAMA pia

3.chadema itaenda kukua sana, wanachama wote waliokata tamaaa, waliohama watarudi chadema.

4. Viongozi wengi wa ccm watajiunga na chadema.

5. Unafuu wa maisha utaongezeka
Mungu ibariki Tanzania by mwinjilist wenu Gabeji.
Garbage
 
Mtahangaika sana, humu hamna kura za Lissu labda clubhouse.
 
Chini ya mwenyekiti lissu chadema itakuwa salama, kwa bahati mbawa mbowe akishinda, chadema itabaki mpweke daima, umma utakuwa imejitenga nacho
 
Jamani moyo wangu umefurahi sana baada ya kuona wanachadema na watanzania wanaendakupata mwenyekiti mpyaaaaaaaaaaaa baada ya miaka 20 na zaidi kupita.

Hii kwangu na kwa watanzania wenye akili timamu na wazalendo wataifa letu la Tanzania imekaa vzr sana tena sana.

Upinzani ukiwa imara siku zote serikali inawajibika vzr sana kwa wananchi lakin kama upinzani ukiwa legelege, na ni upinzani wa maadili na fursa ,Rushwa, serikali inakuwa dhaifu sana na haiwajibiki kwa wananchi vizuri.

Kama mwanavyo
CHADEMA chini ya Tundu Lissu serikali ya ccm itakuwa bize kutoa huduma kwa wananchi.

FAIDA ZA LISU KWA WANANCHI KUWA KIONGOZI MKUU CHADEMA :

1. Rushwa na ufisadi itaenda kupungua ndani ya serikali na ndani ya chadema.

2. Uwajibikaji unaenda kuongezeka kwa viongozi wa serikali na CHAMA pia

3.chadema itaenda kukua sana, wanachama wote waliokata tamaaa, waliohama watarudi chadema.

4. Viongozi wengi wa ccm watajiunga na chadema.

5. Unafuu wa maisha utaongezeka
Mungu ibariki Tanzania by mwinjilist wenu Gabeji.
Tanzania hatujawahi kupata Rais, Rais Halisi mwenye sifa anakuja ni Tundu Lissu
 
Back
Top Bottom