Pre GE2025 CHADEMA mpya inakuja chini ya Mwenyekiti Tundu Lissu Wakili Msomi na mpinga Rushwa Tanzania

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Gentleman hajalishi itabadilika jina cha muhimu lisu ameshinda na kuongoza mapambano zidi ya wote wala rushwa na mafisadi
Gentleman au ww haupendi Taifa lako ukiliona linakua kiuchumi ?
 
Gentleman,
unamaanisha Chadema hii ya chairman Mbowe iwe chini ya mabwenyenye ya magharibi sio?

sidhani kama itaitwa Chadema, ikiwa chini ya kibaraka 🐒
Kama wewe ulivyo chini ya wauza watumwa wa kiarabu dpworld mkiongozwa na mamayenu huko ccm kulikojaa mapumbavu 🪛🪛🪛🪛🪛🪛🪛.
 
Lisu anachoweza kushinda ni njaa pekee gentleman, and that is the truth kwasababu anaishi kwa kuombaomba,

lakini sio kushinda uchaguzi dhidi ya mwamba wa kaskazini chairman Freeman Aikaeli Mbowe 🐒
😆😆😆 Gentleman huyu mtu mzalendo wa kweli sio mtu wa maadili kama viongozi x, watanzania tunaenda nae huyu
 
Huko Chadema kuna watu waliosomea kuhusu "bao la mkono " shida ni hiyo, kama sivyo Lissu ni mwenye kiti mtarajiwa.
 
angeweza kutenganisha mambo binafsi na ya Chadema kwa kiasi angweza kushawishi wengi,

lakini pia,
angepunguza pupa, mdomo na makelele bila shaka yoyote asingepingwa na mjumbe yeyeto wa mkutano mkuu Taifa wa Chadema.

hata hivyo,
asingekua mnafiki wa kutupwa kama alivyo sasa, kuelezea uozo au mapungufu ya Chadema wakati anatafuta cheo angeaminika zaidi,

Otherwise muungwana ni kibaraka tu wa mabwenyenye ya magharibi🐒
 
Hayo mapungufu yake ndio wanayondea gentleman, hakuna binadu perfect
 
angeweza kutenganisha mambo binafsi na ya Chadema kwa kiasi angweza kushawishi wengi,

lakini pia,
angepunguza pupa, mdomo na makelele bila shaka yoyote asingepingwa na mjumbe yeyeto wa mkutano mkuu Taifa wa Chadema.

hata hivyo,
asingekua mnafiki wa kutupwa kama alivyo sasa, kuelezea uozo au mapungufu ya Chadema wakati anatafuta cheo angeaminika zaidi,

Otherwise muungwana ni kibaraka tu wa mabwenyenye ya magharibi🐒
Wenye akili timamu,hawawezi kumpigia kura ya ndiyo TAL!!
 
Huko Chadema kuna watu waliosomea kuhusu "bao la mkono " shida ni hiyo, kama sivyo Lissu ni mwenye kiti mtarajiwa.
Wanapanga kutumia wezi wazoefu wa ccm kuiba kura kwa ajili ya vibaraka wao Mbowe na Wenje..
 
Back
Top Bottom