Pre GE2025 CHADEMA mpya inakuja chini ya Mwenyekiti Tundu Lissu Wakili Msomi na mpinga Rushwa Tanzania

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hayo mapungufu yake ndio wanayondea gentleman, hakuna binadu perfect
I think ana mapungufu mengi zaidi ya chairman wa sasa wa Chadema,
.Na hayo ndiyo yatakayomfelisha hadi kwenye urais 2025πŸ’
 
I think ana mapungufu mengi zaidi ya chairman wa sasa wa Chadema,
.Na hayo ndiyo yatakayomfelisha hadi kwenye urais 2025πŸ’
Gentleman man binadamu hafanani wanachadema wanaenda na lisu
 
Gentleman man binadamu hafanani wanachadema wanaenda na lisu
hizo ndoto za alinacha gentleman,

infact,
wajumbe wa mkutano mkuu wa Chadema Taifa watamchagua kwa kishindo kikuu, ndugu Freeman Aikaeli Mbowe kuwa Mwenyekiti wa Chadema Taifa 2025 -2030 bila mbambamba yoyote πŸ’
 
Ccm na polisi wakiingilia kati
 
Garbage
 
Mtahangaika sana, humu hamna kura za Lissu labda clubhouse.
 
Chini ya mwenyekiti lissu chadema itakuwa salama, kwa bahati mbawa mbowe akishinda, chadema itabaki mpweke daima, umma utakuwa imejitenga nacho
 
Tanzania hatujawahi kupata Rais, Rais Halisi mwenye sifa anakuja ni Tundu Lissu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…