CHADEMA msilielie, si mlisema mtamnyoa? Anawaonyesha kwamba yeye ndiye anamiliki mkasi!

CHADEMA msilielie, si mlisema mtamnyoa? Anawaonyesha kwamba yeye ndiye anamiliki mkasi!

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
20,711
Reaction score
31,331
Hawa jamaa wanalia lia wakati walisema "watamnyoa" hebu wamnyoe tuone,mbona wanalia akiwaonyesha kuwa yeye ndiye mwenye mkasi, hizo ni salaam tu.

Mlionyeshwa maua mkatoa upanga, ubabe na matusi, haya sasa, mama ana mamlaka yote kisheria, hata hiyo katiba akiamua hamtaiona
 
Anawanyoa yeye au vinatumika vyombo vya polisi kunyoa watu
 
Ngoja taarifa ya askofu na Dr Lwaitama be itoke ndio mtajua. Nini maana ya HAKI ZA BINADAMU

...NGANZI ...NGANZI...JELA MAISHA INAKUITA

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu mama mstaarabu tu lakini hapa ninachoona wanataka awe na ilw roho ya kusema kwamba " anhaaa wananiona mpololo mpololo ngoja niwakazie.."

Hivi ndo wanataka wapinzani
Kabisa yaan wamemkuta Rais muungwana sana ..
Amefuta Kesi zao, amewatoa watu wao wengi tu lkn Wanataka kumjaribu sasa Bora wapelekewe moto tu ..

Wanatuchosha sana hawa...
Rais ana Miezi minne eti aanzishe katiba wakati Wananchi tunataka huduma nyingi tu na muhimu kuliko hiyo katiba...
 
Na mama asichotaka kuona ni kwamba eti heshima ishuke wakati huu kwa kuwa yuko yeye wakati enzi za magufuli watu walikuwa na heshima japokuwa za uoga..

Mama anataka watu waendelee kuwa na heshima kwake wasimfanye kama hawezi lolote.
Mama aliwapa angalizo kwamba yeye ni Rais ila tu ana jinsia ya kike, hawakumuelewa, sasa watie maji, kunyolewa kwa foleni, wamenza Mwamakula, Lwaitama na Mwaipaya
 
Na mama asichotaka kuona ni kwamba eti heshima ishuke wakati huu kwa kuwa yuko yeye wakati enzi za magufuli watu walikuwa na heshima japokuwa za uoga..

Mama anataka watu waendelee kuwa na heshima kwake wasimfanye kama hawezi lolote.
Hawa si Wana force ili wapigwe virungu na police wamwite mama ni dictator wa kike, Lisu mwenyewe alimwita eti Magufuli wa kike, naona wamemchokoza mwenyewe
 
Hawa si Wana force ili wapigwe virungu na police wamwite mama ni dictator wa kike, lisu mwenyewe alimwita eti magufuli wa kike, naona wamemchokoza mwenyewe
Dah acha tuone nini kitafata
 
Kabisa yaan wamemkuta Rais muungwana sana ..
Amefuta Kesi zao,amewatoa watu wao wengi tu lkn Wanataka kumjaribu sasa Bora wapelekewe moto tu maanina zao ..
Wanatuchosha sana Mbwa hawa...
Rais ana Miez minne eti aanzishe katiba wakat Wananchi tunataka huduma nyingi tu na muhm kuliko hyo katiba...
Tena walimwambia watamnyoa mama ka mtangulizi wake, naona waliharakisha mno bana Samia ni msikivu Wana mchokoza hafu why wanataka katiba na kusahau Mambo mengine yanayogusa wananchi direct ka si tamaa zao za madaraka Nini?
 
Mama aliwapa angalizo kwamba yeye ni Rais ila tu ana jinsia ya kike,hawakumuelewa, sasa watie maji, kunyolewa kwa foleni, wamenza mwamakula, lwaitama na mwaipaya
Ile kauli aliwasisitizia sana akini watu walidhani labda anathibitisha tuuu kwamba ataweza kuongoza.

Kumbe ile kauli alikuwa anawapa tahadhari wakorofi kwamba yeye ni raisi wasilete chokochoko
 
Hv hakuna namna mama aseme hiyo katiba ameichoma moto na hakuna kitu kinachoitwa katiba mpya
 
Tena walimwambia watamnyoa mama ka mtangulizi wake, naona waliharakisha mno bana Samia ni msikivu Wana mchokoza hafu why wanataka katiba na kusahau Mambo mengine yanayogusa wananchi direct ka si tamaa zao za madaraka Nini?
Ukiwauliza kwa nini wanataka katiba, wanasema madaraka ya Rais, basi, sijui walitaka Rais awe pambo hana madaraka,nchi ichafuke, watendaji waibe asiwafukuze, au awepo kiongozi was hovyo Rais asiwe na mamlaka ya kumuondoa kwa faida ya nchi.

Wakidai katiba mpya huwasikii wanaongelea itasaidia nini kwenye shida ya maji,afya,elimu, barabara, wanataka Tume ya uchaguzi ili waingie madarakani, wanataka maslahi yao ya uroho was madaraka kupitia mgongo wa kujifanya wametumwa na wananchi, walituuliza wananchi lini?
 
Back
Top Bottom