ostrichegg
JF-Expert Member
- Jun 30, 2013
- 12,048
- 6,199
Kwa hoja butu kama hizo, hata watoto wa chekechea wakikusikia watazimia kwa kukucheka.Chama chochote kishike dola mambo ni hayo hayo wacha Samia akupigeni spana hamtaki kumuheshimu na mnamzonga,ndio Kwanza miezi minne mnampanda kichwani
Katiba mpya kwanza, kwani ndio DAWA