CHADEMA msilielie, si mlisema mtamnyoa? Anawaonyesha kwamba yeye ndiye anamiliki mkasi!

CHADEMA msilielie, si mlisema mtamnyoa? Anawaonyesha kwamba yeye ndiye anamiliki mkasi!

Reaction Yao ilikuwa too much, unahamishaje maandamano eti wataka katiba mpya, huku jamii Ina maskini wengi hvo.
Bora wangepigia kelele hii tozo mpya ya miamala ya simu maana ni mzigo kwa raia wengi, hilo la katiba lipo lingetengewa muda mwingine.
 
Bora wangepigia kelele hii tozo mpya ya miamala ya simu maana ni mzigo kwa raia wengi, hilo la katiba lipo lingetengewa muda mwingine.
Hata wewe lipigie kelele kwani umekatazwa,au halikuhusu Naomba mwigulu au atakaye kuwa waziri wa fedha, mwakani apandishe tozo iwe 50% Ukitoa 100000,ulipe 30000 na ukituma ulipe 20000 ili watu wajipange sawasawa.
 
Hata wewe lipigie kelele kwa umekatazwa, Naomba mwigulu mwakani apandishe tozo iwe 50% Ukitoa 100000,ulipe 30000 na ukituma ulipe 20000 ili watu wajipange sawasawa.
Asante kwa maoni yako...haya maombi yako ungeyafikisha kwa Mwigulu ingekuwa vyema zaidi.
 
CDM inakwama sana kutokana na aina ya wagombea inaowasimamisha kweye kiti cha urais maana hawana mvuto wala ushawishi. Ila wao wenyewe wakifika kwenye uchaguzi wao mkuu wanauana na kumalizana kisa tu wanataka mambo ya "Mwamba Tuvushe", anawavushaje wakati tangu 2005 anagombea hiyo nafasi na zaidi wabunge wanamkimbia?

Sasa uoande wa kauli ndiyo kabisa maana Mdude alishajichongea mwenyewe, sijui itakuwaje huko.
 
Bora wangepigia kelele hii tozo mpya ya miamala ya simu maana ni mzigo kwa raia wengi, hilo la katiba lipo lingetengewa muda mwingine.
CDM hawagusi Mambo ya kutoa umaskini, ajira ambalo ni tatizo kwa vijana ambao ni wapiga kura wengi na wenye shida na hili swala la tozo wao wanahangaika na katiba hasa hasa tume huru ya uchaguzi vipi Mambo mengine, ndio maana Raia hyo agenda Yao wanaona hawagusi direct na maisha Yao zaidi ya kuonekana waanzisha fujo
 
Asante kwa maoni yako...haya maombi yako ungeyafikisha kwa Mwigulu ingekuwa vyema zaidi.
Asante Nashukuru yumo humu atalishughulikia,kwa maana watu wameacha hoja ya umma wanapambana na CDM as if Katiba ni ya CDM,wakati ni jambo la kitaifa, tumelifanya jambo binafsi Sana.
 
Hao maskini ni zao la katiba mbovu,hivi unadhani inaundwa katiba ya chadema??? Unajua matumizi ya serikali wewe, unajua bunge linatumiaje,Unajua hasara ya kuwa na wanufaika wachache wa keki ya umma,Unajua gari analotumia mkuu wa wilaya/mkoa lina Thamani gani,na unajua bei ya mahindi korosho ufuta au mpunga?? Unajua mkuu wa mkoa kama mkoa hana vyanzo vya mapato,Katiba mpya itatuwezesha tuwe na viongozi wachache wenye tija,ambao watachaguliwa na wananchi na kupunguza nafasi za teuzi,hii pia itatuepusha na kauli za hovyo za baadhi ya wateule.Katiba lakini kuwepo na uwajibishaji na uwajibishwaji,tofauti sasa tuna watawala na watawaliwa, Kwani katiba inaombwa kwa nani, Ni nani mwenye hiyo katiba ambayo wananchi waende ili wampigie magoti wamwombe???
Katiba haiondoi maskini, poverty eradictiion Ina strategy zao, ikiwemo kuondoa umaskini na kukuza uchumi wa raia kwenye kila sector, Sasa ukisema katiba itaondoa umaskini si kweli Africa tatizo lake si katiba ila ni umaskini na kukosa taasisi imara na visionary leaders wakutuvusha. Chukulia mfano south Africa Ina katiba Bora ila uhalifu uko palepale na weusi wengi Bado ni maskini hawana ajira wamebaki na kufanya uhalifu uliokubuhu na kufanya maandamano daily.
 
Ukiwauliza kwa nini wanataka katiba, wanasema madaraka ya Rais, basi, sijui walitaka Rais awe pambo hana madaraka,nchi ichafuke, watendaji waibe asiwafukuze, au awepo kiongozi was hovyo Rais asiwe na mamlaka ya kumuondoa kwa faida ya nchi.

Wakidai katiba mpya huwasikii wanaongelea itasaidia nini kwenye shida ya maji,afya,elimu, barabara, wanataka Tume ya uchaguzi ili waingie madarakani, wanataka maslahi yao ya uroho was madaraka kupitia mgongo wa kujifanya wametumwa na wananchi, walituuliza wananchi lini?
Uko sahihi wao katiba mpya ni agenda Yao ili wao wapate favor, hivi ni Rais gani duniani Hana mamlaka ya kufanya jambo flani kwa mamlaka yake, hyo ni hakuna. So kutaka Rais awe ka nyuki wa machine asiyeuma labda ndo wanataka.
Hafu nchi yetu Kuna changamoto nyingi za kupigia kelele irekebishe ka elimu, huduma za afya na kilimo kinachoajiri 80% ya wananchi kiboreshwe why wahangaike na katiba Tena tume huru ya uchaguzi mara serikali tatu sijui 4 ka si wehu Nini?
 
Katiba haiondoi maskini, poverty eradictiion Ina strategy zao, ikiwemo kuondoa umaskini na kukuza uchumi wa raia kwenye kila sector, Sasa ukisema katiba itaondoa umaskini si kweli Africa tatizo lake si katiba ila ni umaskini na kukosa taasisi imara na visionary leaders wakutuvusha. Chukulia mfano south Africa Ina katiba Bora ila uhalifu uko palepale na weusi wengi Bado ni maskini hawana ajira wamebaki na kufanya uhalifu uliokubuhu na kufanya maandamano daily.
Ilo ni jambo jingine ila unapokuwa katiba isiyo ruhusu hata kupatikana hao visionary inakuwa mbaya zaidi,Tumia pia mifano ya Ghana na nchi nyingi zenye Katiba nzuri
 
Ilo ni jambo jingine ila unapokuwa katiba isiyo ruhusu hata kupatikana hao visionary inakuwa mbaya zaidi,Tumia pia mifano ya Ghana na nchi nyingi zenye Katiba nzuri
Katiba ni pambo tu ka hii iliyopo jiwe alikuwa anaivunja hata vipengele muhimu sembuse hyo mpya. Nchi hii tuna sera nzuri lakini hazifanyiwi kazi kabisa. Katiba haiwezi kuleta uchumi bila nchi kujitambua
 
CDM inakwama sana kutokana na aina ya wagombea inaowasimamisha kweye kiti cha urais maana hawana mvuto wala ushawishi. Ila wao wenyewe wakifika kwenye uchaguzi wao mkuu wanauana na kumalizana kisa tu wanataka mambo ya "Mwamba Tuvushe", anawavushaje wakati tangu 2005 anagombea hiyo nafasi na zaidi wabunge wanamkimbia?

Sasa uoande wa kauli ndiyo kabisa maana Mdude alishajichongea mwenyewe, sijui itakuwaje huko.
Uzuri wa njia za Mungu si Kama za mwanadamu, aliyemiminiwa marisasi ili afe yupo anatabasamu tu huku akiendeleza kazi yake ya kupigania haki kwa wote, ukiwemo wewe. Mdhulumati wa haki mnajua aliko sasa, waliokufa (waliouana?) Wanajulikana.
Ya dunia Ni ya kupita tu yasikutie upofu Sana kijana, madaraka, fedha vina maana tu pale vinapotumika kuleta Haki, Aman na Upendo, ukivitumia kudhulumu na kunyanyasa wenzao Ni kujidanganya na kujijaza upepo tu; tambua duniani tupo kwa muda mchache Sana na hata wewe mdhulumati unayefurakhia wenzio wakigandamizwa na wewe utakufa na kuliwa na funza tu Kama huyo unayemdhulumu. Hivi hushangai Rais wa marekani(Tamka "Rais wa Dunia" yote) naye anakufa na kuliwa na funza tu Kama anavoliwa maskini fukara hokhehakhe wa pale Kijiji kwako namtumbo??!!!!...

tenda haki ndilo la maana hapa duniani, mengine Ni kujidanganya tu kwa kiburi Cha uzima ulionao leo.🙏
 
Back
Top Bottom