At Calvary
JF-Expert Member
- Aug 22, 2018
- 4,568
- 3,644
Katiba ya TanzaniaLabda katiba ya vicoba ya mtaani kwako
Si katiba mbovuYaani maisha yako yamekushinda,ndio uje ubadili katiba
Katiba kwanzaShughulika ubadili maisha yako kwanza, ndipo ubadili ya watanzania
Chadema imemuua Mwendazake kwa PreshaHawa jamaa wanalia lia wakati walisema "watamnyoa" hebu wamnyoe tuone,mbona wanalia akiwaonyesha kuwa yeye ndiye mwenye mkasi, hizo ni salaam tu.
Mlionyeshwa maua mkatoa upanga, ubabe na matusi, haya sasa, mama ana mamlaka yote kisheria, hata hiyo katiba akiamua hamtaiona
Mzee hakuna kiongozi Tanzania hii aliwahi kuwa mbabe na mdhulumati Kama msepazake... Kaonea watu weeee Sasa Kiko wap? Duniani tunapita na Hakuna mbabe duniani humu......hao mnaowadhania Ni wababe mishahara tunawalipa sisi mnaodhani Ni wanyonge..msijidanganye....tendeni haki mwende zenu. Haki ndo kitu Cha msingi hapa duniani, ubabe wa kuonea watu kisa wadhani umeshika mpini Ni kujichumia udhulumati tu na kujilisha upepo. "Hakuna dhambi dunian ambayo utaitenda na hutoilipia"...Kama si leo duniani ni kesho akhera...Yaani maisha yako yamekushinda,ndio uje ubadili katiba
Haisaidii. Hata Kama ungepewa dunia yote uitawale Kama hutendi haki unajidanganya na Ni kujilisha upepo tu.Wapinzani awali nilkua nawasapot ila kwa sasa nawaona wapumbavu. Jiwe aliwajua in out ndo maana alikua anawapelekea moto balaa. Nami nasema mama wapelekee moto mpaka akili ziwarudi.
Mzee hakuna kiongozi Tanzania hii aliwahi kuwa mbabe na mdhulumati Kama msepazake... Kaonea watu weeee Sasa Kiko wap? Duniani tunapita na Hakuna mbabe duniani humu......hao mnaowadhania Ni wababe mishahara tunawalipa sisi mnaodhani Ni wanyonge..msijidanganye....tendeni haki mwende zenu. Haki ndo kitu Cha msingi hapa duniani, ubabe wa kuonea watu kisa wadhani umeshika mpini Ni kujichumia udhulumati tu na kujilisha upepo. "Hakuna dhambi dunian ambayo utaitenda na hutoilipia"...Kama si leo duniani ni kesho akhera...
Mamlaka ya kweli Anayo Mungu tu; nyie endelezeni dhulumati, Mungu atawapa matokeo soon. Mnakuwa dhulumati Mungu akijibu na watu wakaanza kushangilia humu mnalalamika.Mamlaka lazima iheshimiwe
Yule jamaa alizidisha uonevu. Nilikuwa nawaza sana kuhusu fututure ya Tz , giza tu lilitanda mbele.Mzee hakuna kiongozi Tanzania hii aliwahi kuwa mbabe na mdhulumati Kama msepazake... Kaonea watu weeee Sasa Kiko wap? Duniani tunapita na Hakuna mbabe duniani humu......hao mnaowadhania Ni wababe mishahara tunawalipa sisi mnaodhani Ni wanyonge..msijidanganye....tendeni haki mwende zenu. Haki ndo kitu Cha msingi hapa duniani, ubabe wa kuonea watu kisa wadhani umeshika mpini Ni kujichumia udhulumati tu na kujilisha upepo. "Hakuna dhambi dunian ambayo utaitenda na hutoilipia"...Kama si leo duniani ni kesho akhera...
Hao maskini ni zao la katiba mbovu,hivi unadhani inaundwa katiba ya chadema??? Unajua matumizi ya serikali wewe, unajua bunge linatumiaje,Unajua hasara ya kuwa na wanufaika wachache wa keki ya umma,Unajua gari analotumia mkuu wa wilaya/mkoa lina Thamani gani,na unajua bei ya mahindi korosho ufuta au mpunga?? Unajua mkuu wa mkoa kama mkoa hana vyanzo vya mapato,Katiba mpya itatuwezesha tuwe na viongozi wachache wenye tija,ambao watachaguliwa na wananchi na kupunguza nafasi za teuzi,hii pia itatuepusha na kauli za hovyo za baadhi ya wateule.Katiba lakini kuwepo na uwajibishaji na uwajibishwaji,tofauti sasa tuna watawala na watawaliwa, Kwani katiba inaombwa kwa nani, Ni nani mwenye hiyo katiba ambayo wananchi waende ili wampigie magoti wamwombe???Reaction Yao ilikuwa too much, unahamishaje maandamano eti wataka katiba mpya, huku jamii Ina maskini wengi hvo.