Na mama akiamua kukaza watajuta, kwanini umchokoze mtu aliye mstaarabuMkuu mama mstaarabu tu lakini hapa ninachoona wanataka awe na ilw roho ya kusema kwamba " anhaaa wananiona mpololo mpololo ngoja niwakazie.."
Hivi ndo wanataka wapinzani
Na mama asichotaka kuona ni kwamba eti heshima ishuke wakati huu kwa kuwa yuko yeye wakati enzi za Magufuli watu walikuwa na heshima japokuwa za uoga..Na mama akiamua kukaza watajuta, kwanini umchokoze mtu aliye mstaarabu
Kabisa yaan wamemkuta Rais muungwana sana ..Mkuu mama mstaarabu tu lakini hapa ninachoona wanataka awe na ilw roho ya kusema kwamba " anhaaa wananiona mpololo mpololo ngoja niwakazie.."
Hivi ndo wanataka wapinzani
Mama aliwapa angalizo kwamba yeye ni Rais ila tu ana jinsia ya kike, hawakumuelewa, sasa watie maji, kunyolewa kwa foleni, wamenza Mwamakula, Lwaitama na MwaipayaNa mama asichotaka kuona ni kwamba eti heshima ishuke wakati huu kwa kuwa yuko yeye wakati enzi za magufuli watu walikuwa na heshima japokuwa za uoga..
Mama anataka watu waendelee kuwa na heshima kwake wasimfanye kama hawezi lolote.
Hawa si Wana force ili wapigwe virungu na police wamwite mama ni dictator wa kike, Lisu mwenyewe alimwita eti Magufuli wa kike, naona wamemchokoza mwenyeweNa mama asichotaka kuona ni kwamba eti heshima ishuke wakati huu kwa kuwa yuko yeye wakati enzi za magufuli watu walikuwa na heshima japokuwa za uoga..
Mama anataka watu waendelee kuwa na heshima kwake wasimfanye kama hawezi lolote.
Dah acha tuone nini kitafataHawa si Wana force ili wapigwe virungu na police wamwite mama ni dictator wa kike, lisu mwenyewe alimwita eti magufuli wa kike, naona wamemchokoza mwenyewe
Tena walimwambia watamnyoa mama ka mtangulizi wake, naona waliharakisha mno bana Samia ni msikivu Wana mchokoza hafu why wanataka katiba na kusahau Mambo mengine yanayogusa wananchi direct ka si tamaa zao za madaraka Nini?Kabisa yaan wamemkuta Rais muungwana sana ..
Amefuta Kesi zao,amewatoa watu wao wengi tu lkn Wanataka kumjaribu sasa Bora wapelekewe moto tu maanina zao ..
Wanatuchosha sana Mbwa hawa...
Rais ana Miez minne eti aanzishe katiba wakat Wananchi tunataka huduma nyingi tu na muhm kuliko hyo katiba...
Ile kauli aliwasisitizia sana akini watu walidhani labda anathibitisha tuuu kwamba ataweza kuongoza.Mama aliwapa angalizo kwamba yeye ni Rais ila tu ana jinsia ya kike,hawakumuelewa, sasa watie maji, kunyolewa kwa foleni, wamenza mwamakula, lwaitama na mwaipaya
Reaction Yao ilikuwa too much, unahamishaje maandamano eti wataka katiba mpya, huku jamii Ina maskini wengi hvo.Dah acha tuone nini kitafata
Ukiwauliza kwa nini wanataka katiba, wanasema madaraka ya Rais, basi, sijui walitaka Rais awe pambo hana madaraka,nchi ichafuke, watendaji waibe asiwafukuze, au awepo kiongozi was hovyo Rais asiwe na mamlaka ya kumuondoa kwa faida ya nchi.Tena walimwambia watamnyoa mama ka mtangulizi wake, naona waliharakisha mno bana Samia ni msikivu Wana mchokoza hafu why wanataka katiba na kusahau Mambo mengine yanayogusa wananchi direct ka si tamaa zao za madaraka Nini?