Bora wangepigia kelele hii tozo mpya ya miamala ya simu maana ni mzigo kwa raia wengi, hilo la katiba lipo lingetengewa muda mwingine.Reaction Yao ilikuwa too much, unahamishaje maandamano eti wataka katiba mpya, huku jamii Ina maskini wengi hvo.
Hata wewe lipigie kelele kwani umekatazwa,au halikuhusu Naomba mwigulu au atakaye kuwa waziri wa fedha, mwakani apandishe tozo iwe 50% Ukitoa 100000,ulipe 30000 na ukituma ulipe 20000 ili watu wajipange sawasawa.Bora wangepigia kelele hii tozo mpya ya miamala ya simu maana ni mzigo kwa raia wengi, hilo la katiba lipo lingetengewa muda mwingine.
Asante kwa maoni yako...haya maombi yako ungeyafikisha kwa Mwigulu ingekuwa vyema zaidi.Hata wewe lipigie kelele kwa umekatazwa, Naomba mwigulu mwakani apandishe tozo iwe 50% Ukitoa 100000,ulipe 30000 na ukituma ulipe 20000 ili watu wajipange sawasawa.
CDM hawagusi Mambo ya kutoa umaskini, ajira ambalo ni tatizo kwa vijana ambao ni wapiga kura wengi na wenye shida na hili swala la tozo wao wanahangaika na katiba hasa hasa tume huru ya uchaguzi vipi Mambo mengine, ndio maana Raia hyo agenda Yao wanaona hawagusi direct na maisha Yao zaidi ya kuonekana waanzisha fujoBora wangepigia kelele hii tozo mpya ya miamala ya simu maana ni mzigo kwa raia wengi, hilo la katiba lipo lingetengewa muda mwingine.
Uko sahihiChama hakina akili bado kinatumia mbinu zilezile , hakiangalii Wakati, Mahitaji na Malengo
Asante Nashukuru yumo humu atalishughulikia,kwa maana watu wameacha hoja ya umma wanapambana na CDM as if Katiba ni ya CDM,wakati ni jambo la kitaifa, tumelifanya jambo binafsi Sana.Asante kwa maoni yako...haya maombi yako ungeyafikisha kwa Mwigulu ingekuwa vyema zaidi.
Katiba haiondoi maskini, poverty eradictiion Ina strategy zao, ikiwemo kuondoa umaskini na kukuza uchumi wa raia kwenye kila sector, Sasa ukisema katiba itaondoa umaskini si kweli Africa tatizo lake si katiba ila ni umaskini na kukosa taasisi imara na visionary leaders wakutuvusha. Chukulia mfano south Africa Ina katiba Bora ila uhalifu uko palepale na weusi wengi Bado ni maskini hawana ajira wamebaki na kufanya uhalifu uliokubuhu na kufanya maandamano daily.Hao maskini ni zao la katiba mbovu,hivi unadhani inaundwa katiba ya chadema??? Unajua matumizi ya serikali wewe, unajua bunge linatumiaje,Unajua hasara ya kuwa na wanufaika wachache wa keki ya umma,Unajua gari analotumia mkuu wa wilaya/mkoa lina Thamani gani,na unajua bei ya mahindi korosho ufuta au mpunga?? Unajua mkuu wa mkoa kama mkoa hana vyanzo vya mapato,Katiba mpya itatuwezesha tuwe na viongozi wachache wenye tija,ambao watachaguliwa na wananchi na kupunguza nafasi za teuzi,hii pia itatuepusha na kauli za hovyo za baadhi ya wateule.Katiba lakini kuwepo na uwajibishaji na uwajibishwaji,tofauti sasa tuna watawala na watawaliwa, Kwani katiba inaombwa kwa nani, Ni nani mwenye hiyo katiba ambayo wananchi waende ili wampigie magoti wamwombe???
Wewe mwenye akili mchango wako ni UPI!?Uko sahihi
Uko sahihi wao katiba mpya ni agenda Yao ili wao wapate favor, hivi ni Rais gani duniani Hana mamlaka ya kufanya jambo flani kwa mamlaka yake, hyo ni hakuna. So kutaka Rais awe ka nyuki wa machine asiyeuma labda ndo wanataka.Ukiwauliza kwa nini wanataka katiba, wanasema madaraka ya Rais, basi, sijui walitaka Rais awe pambo hana madaraka,nchi ichafuke, watendaji waibe asiwafukuze, au awepo kiongozi was hovyo Rais asiwe na mamlaka ya kumuondoa kwa faida ya nchi.
Wakidai katiba mpya huwasikii wanaongelea itasaidia nini kwenye shida ya maji,afya,elimu, barabara, wanataka Tume ya uchaguzi ili waingie madarakani, wanataka maslahi yao ya uroho was madaraka kupitia mgongo wa kujifanya wametumwa na wananchi, walituuliza wananchi lini?
Ilo ni jambo jingine ila unapokuwa katiba isiyo ruhusu hata kupatikana hao visionary inakuwa mbaya zaidi,Tumia pia mifano ya Ghana na nchi nyingi zenye Katiba nzuriKatiba haiondoi maskini, poverty eradictiion Ina strategy zao, ikiwemo kuondoa umaskini na kukuza uchumi wa raia kwenye kila sector, Sasa ukisema katiba itaondoa umaskini si kweli Africa tatizo lake si katiba ila ni umaskini na kukosa taasisi imara na visionary leaders wakutuvusha. Chukulia mfano south Africa Ina katiba Bora ila uhalifu uko palepale na weusi wengi Bado ni maskini hawana ajira wamebaki na kufanya uhalifu uliokubuhu na kufanya maandamano daily.
Katiba ni pambo tu ka hii iliyopo jiwe alikuwa anaivunja hata vipengele muhimu sembuse hyo mpya. Nchi hii tuna sera nzuri lakini hazifanyiwi kazi kabisa. Katiba haiwezi kuleta uchumi bila nchi kujitambuaIlo ni jambo jingine ila unapokuwa katiba isiyo ruhusu hata kupatikana hao visionary inakuwa mbaya zaidi,Tumia pia mifano ya Ghana na nchi nyingi zenye Katiba nzuri
Mbona nimetoa hujaonaWewe mwenye akili mchango wako ni UPI!?
Ndio mkasi alioshika ulitaka yeye ndio awe front!!!😂Anawanyoa yeye au vinatumika vyombo vya polisi kunyoa watu
Wafuasi wa chadema wamechoma moto ofisi ya kata huko mkoani Songwe.Ndio mkasi alioshika ulitaka yeye ndio awe front!!![emoji23]
Kabisa tena hawa wanajiita viongozi wa upinzani ni wa hovyo sanaHii nchi haijapata viongozi bado
Huo ni upumbavuWafuasi wa chadema wamechoma moto ofisi ya kata huko mkoani Songwe.
Uzuri wa njia za Mungu si Kama za mwanadamu, aliyemiminiwa marisasi ili afe yupo anatabasamu tu huku akiendeleza kazi yake ya kupigania haki kwa wote, ukiwemo wewe. Mdhulumati wa haki mnajua aliko sasa, waliokufa (waliouana?) Wanajulikana.CDM inakwama sana kutokana na aina ya wagombea inaowasimamisha kweye kiti cha urais maana hawana mvuto wala ushawishi. Ila wao wenyewe wakifika kwenye uchaguzi wao mkuu wanauana na kumalizana kisa tu wanataka mambo ya "Mwamba Tuvushe", anawavushaje wakati tangu 2005 anagombea hiyo nafasi na zaidi wabunge wanamkimbia?
Sasa uoande wa kauli ndiyo kabisa maana Mdude alishajichongea mwenyewe, sijui itakuwaje huko.