CHADEMA msilielie, si mlisema mtamnyoa? Anawaonyesha kwamba yeye ndiye anamiliki mkasi!

Mbona Mbowe, Sugu, Msigwa, Mnyika, Heche siyo masikini ?

Wao mbona hiyo katiba mbovu haijawapa umasikini.
 
Acha wanyonywelewe hawajui jinsi ya kudeal na mtu mwenye power
I pressume you are still young.

If its true, basi ninyi ndiyo sampuli ya wale vijana ambao Hayati Mwalimu Nyerere hakupendezwa nao hata kidogo; vijana ambao mnatii viongozi hata kwa mambo yaliyo haramu eti kwasababu tu wana mamlaka, tena mamlaka ambayo wamepewa na wananchi, ukiwamo na wewe.

Toa matongotongo machoni mkuu. Kumbuka, aliyepanda huo mti ambao unakupa kivuli leo aligharamika hadi kuufikisha mti huo hapo ulipo, pengine yeye hata hakufurahia kivuli chake. Tukipiga kelele mambo yakabadilika yatakuja kunufaisha hata kizazi chako kama siyo wewe mwenyewe.

Tuwatie moyo badala ya kuwakatisha tamaa. Nawasilisha. Asante.
 
Tangu lini CDM mkawa wafuasi wa Nyerere??
 
Tangu lini CDM mkawa wafuasi wa Nyerere??
Acha kupiga ramli mkuu. Nani kasema mimi ni CDM? Mimi ni Mwananchi mzalendo ninayeipenda kweli; ambaye si mwanachama wa chama chochote cha siasa. Na hapo Mwl aliwa-address vijana wa vyama vyote vya siasa.
 
Acha kupiga ramli mkuu. Nani kasema mimi ni CDM? Mimi ni Mwananchi mzalendo ninayeipenda kweli; ambaye si mwanachama wa chama chochote cha siasa. Na hapo Mwl aliwa-address vijana wa vyama vyote vya siasa.
Haya ndugu Mzalendo, naona wewe siku zote kwako CDM wako sahihi ?

Huo ndio uzalendo
 
Si vizuri kiongozi mkuu wa nchi kudhihakiwa,kubezwa na kudharauliwa,pia kiongozi wa nchi hawezi kuwaona wananchi wake wapumbavu kwa kutosikia mawazo yao juu ya hatima ya nchi yao.kitu pekee ambacho Rais anapaswa kufanya ni kuliita Hilo kundi linalo lalama Kila kukicha na kusikiliza takwa lao Kama Lina msingi aweke ahadi ya kulifanyia kazi ,lakini suala la kuwapuuza hilo si jema kwa taifa.ccm mpo madarakani kwa miaka 60 lakini bado mnawahimiza wananchi wawape muda wa kutawala,katiba yetu imeshindwa kutusaidia kutuletea maendeleo ya kweli,hivyo suala la kuibadili haliepukiki.katiba ndiyo inajenga uchumi was nchi.
 
Chadema kama kweli mna watu na mikwala yetu eti hamtokubali chochote si muingie barabarani kama wafuasi wa Zuma.
 
Duh... ndio maana wanakuambia serikali ya JMT haina Dini
 
Kwa hiyo furaha yako ni ipi takika hilo,huu ni msiba kwa taifa hili badala ya kuchekelea,ilikuwa ni muda wa huzuni na tafakari kwa yanayoendelea kama taifa ndani ya taifa letu.
 
Mkuu inaonesha wewe huna dhambi kabisa

Mama kaza hapohapo napendaga wapinzani wanapoanza kulalamika ndaanza kukuunga mkono sio muda nifanyie vitu 5 tena vya kibabe

Nyumbu wanachonikera huwa hawahoji viongozi wao wanawaogopa jitu linakurupuka katiba,katiba,katiba ukiulizwa imefanyaje raisi apunguziwe madaraka asa hapo mwananchi wa chini ametetewaje tena yeye ndo anampigania mwanasiasa
 
Wanadai vitu vitakavowasaidia kupata madaraka na hawafikirii wananchi wa chini, hivi unafikiria tukipata katiba ndio itakuwa suluhu ya matatizo yote?
 
Hata mwendasake wakati anatesa wenziye mlimdanganya hivo hivo kwa ushabiki wa kinafki, na Mungu alivojibu kwa kumwondoa nyie nyie mmemgeuka kinafki tena.
Madam President usikubali kusikiliza unafki wa waganga njaa, wanakushangilia kinafki utese binadam wenzako bila sababu usikubali kamwe, Ni wanafki wasaka madaraka Hawa, wanakunywa na kula juu ya mateso na damu za binadamu wenzao, tenda haki mama Rais uende zako mama kwa Aman ya rohon, dunia hii ni mapito tu wasikudanganye Hawa majitu yenye roho za kikatili.
 
Chama chochote kishike dola mambo ni hayo hayo wacha Samia akupigeni spana hamtaki kumuheshimu na mnamzonga,ndio Kwanza miezi minne mnampanda kichwani
 
Ndugu,
Kwa hiyo wewe bado unamwamini zaidi anaejipa kuwa mungu mtu kuliko Mungu?
Yaonekana kama vile tarehe 17/Mar/2021 ulikuwa bado kuzaliwa.
 
Mkuu kunywa maji kwanza,hivi nyinyi nyumbu kati yenu na sisi nani anatafuta madaraka sisi tupo sehemu husika nyinyi ndo mnasumbuka na madaraka

Halafu kuhusu kifo ata utende mema utakufa tu ndomana wanaoongoza nchi sio mashekhe wala mapadri pale inabidi akae mtu asiyetenda mema

Nyumbu bhana katiba ya sasa yenyewe huijui haya unataka wabadirishe wapi?,itakapokugusa moja kwa moja

Usiniambie kupunguza madaraka ya raisi maana hayo ni maoni ya mbowe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…