ostrichegg
JF-Expert Member
- Jun 30, 2013
- 12,048
- 6,199
Kwa hoja butu kama hizo, hata watoto wa chekechea wakikusikia watazimia kwa kukucheka.Chama chochote kishike dola mambo ni hayo hayo wacha Samia akupigeni spana hamtaki kumuheshimu na mnamzonga,ndio Kwanza miezi minne mnampanda kichwani
Ila Siku hizi wamepunguza matusi sijui vijana hawajalipwa posho.
Ukatili wako Ni kujilisha upepo tu, ukatili dhidi ya binadamu wenzako haitazuia katiba mpya, ukatli ungekuwa unazuia mawazo mbadala mwendasake angefanikiwa Sana, badala yake wajua alikoishia. Mimi nachokufundisha Ni kuwa ukatili na ushetani haulipi, mwishowe utaangukia pia tu; Kuhusu katiba mpya kwamba Inahitajika Hilo wala halina mjadala mzee, hiyo ni nature, Ni Kama mimba hiyo ishatungwa tumbon kinachosubiriwa Ni miezi tu itimie na ikiishatimia miez Tisa hata kwa njia ya kisu mtoto atazaliwa tu penda uspende. Hao wenzako wenyewe katiba wanaitaka Sana tu kina polepole, wazee wenyewe Wenye chama kina warioba, kikwete nk, profu wa majalalan nk nk...clips zipo. Madamu president mwenyewe alikuwa Mwenyekiti mwenza bunge la Katiba... Yan we tulia katiba inakuja, acha ukatili dhidi ya binadamu, mwenzio wa hai alikatili Sana Sasa hivi ananyea ndoo tu....wee fanya tu ukatili lakin utaishia kuangukia pua tu.Mkuu kunywa maji kwanza,hivi nyinyi nyumbu kati yenu na sisi nani anatafuta madaraka sisi tupo sehemu husika nyinyi ndo mnasumbuka na madaraka
Halafu kuhusu kifo ata utende mema utakufa tu ndomana wanaoongoza nchi sio mashekhe wala mapadri pale inabidi akae mtu asiyetenda mema
Nyumbu bhana katiba ya sasa yenyewe huijui haya unataka wabadirishe wapi?,itakapokugusa moja kwa moja
Usiniambie kupunguza madaraka ya raisi maana hayo ni maoni ya mbowe
Walikuwepo wapiga watu spana zaidi yake mara 1000...Kiko wap?!!!! Duniani mbabe Mungu tu, binadamu anayekufa na kuoza Hana ubabe wowoteChama chochote kishike dola mambo ni hayo hayo wacha Samia akupigeni spana hamtaki kumuheshimu na mnamzonga,ndio Kwanza miezi minne mnampanda kichwani
Kwanini mpaka sasa hakuna hizo huduma mnazozitaka?Kabisa yaan wamemkuta Rais muungwana sana ..
Amefuta Kesi zao, amewatoa watu wao wengi tu lkn Wanataka kumjaribu sasa Bora wapelekewe moto tu ..
Wanatuchosha sana hawa...
Rais ana Miezi minne eti aanzishe katiba wakati Wananchi tunataka huduma nyingi tu na muhimu kuliko hiyo katiba...
Baadhi wanaitakia nchi mema ila waliobaki....Kabisa tena hawa wanajiita viongozi wa upinzani ni wa hovyo sana
Kivipi? ACHA ushabiki wa kijima, so amenunua hii nchi , mbona mnakua watu wa maajabu sanaHawa jamaa wanalia lia wakati walisema "watamnyoa" hebu wamnyoe tuone,mbona wanalia akiwaonyesha kuwa yeye ndiye mwenye mkasi, hizo ni salaam tu.
Mlionyeshwa maua mkatoa upanga, ubabe na matusi, haya sasa, mama ana mamlaka yote kisheria, hata hiyo katiba akiamua hamtaiona
Sure/hakikaLeadership style huzingatia factors nyingi, moja ni aina ya watu wanaoongozwa. Wakiwa wastaarabu unaenda nao kistaarabu wakijadai wahuni unawafinya kidogo. Tusichezee mamlaka ya nchi na tuiheshimu. Tufanye siasa za kistaarabu.
Nimegundua kuendelea kuishabikia chadema ni kichwa cha mwendawazimu. Mtu anakwambia njoo kwenye congamano la katiba wakati familia yake kaicha sehemu salama. Wewe unakamatwa familia yako inateseka. Mbowe akikwambia njooni kwenye kongamano mwambie watoto wako watakuepo?Ni chama cha kigaidi
Endeleeni mdanganya na kumpaka mafuta KWA mgongo wa chupa ,Hawa jamaa wanalia lia wakati walisema "watamnyoa" hebu wamnyoe tuone,mbona wanalia akiwaonyesha kuwa yeye ndiye mwenye mkasi, hizo ni salaam tu.
Mlionyeshwa maua mkatoa upanga, ubabe na matusi, haya sasa, mama ana mamlaka yote kisheria, hata hiyo katiba akiamua hamtaiona