Magufuli 05
JF-Expert Member
- May 7, 2023
- 1,433
- 2,791
Utanzania kwanza 🇹🇿
1. Hamuwezi Kushika Dola kwa kudharau vyama vingine vyenye Nia. Wanyonge huungana kumkabili mwenye nguvu, msiendeshe siasa ya Tanzania kwa kufananisha na Republican na Democrat. Hatujafika huko.
2. Maridhiano mliyopewa ni danganya toto, right? Mngejua kinachozungumzwa kwenye corridor za Wana Lumumba kuhusu maridhiano hayo, msingeendelea ku applaud.
3. Jifunzeni kuwa inspirational speakers na si wabwatukaji. Ukipewa mic itendee haki, address issues wachana na personalities.
4. Moja ya kitu kina wa discredit ni kumtaja Sana Magufuli kwa mabaya. Guys kila mnapofanya mkutano sie wengine huwa tunakuwepo pale, wananchi Wana wadharau Sana kuona hamna ajenda bali mmebakia kumsema hayati ambaye hayupo na wala hatakuwepo kwenye ballot box. Wananchi wengi wanamuona yeye kama mkombozi wao,mkimtaja tu kwa baya wanaguna kimoyomoyo, stop this.
5. Je mna political strategists kweli? Naona hakuna, mnajiendea tu. Politics is the game of dynamics. Haina adui wa kudumu wala rafiki wa kudumu. Kwanini mnaacha mtaji mzuri wa Wana Lumumba wanaotaka kutafuta changamoto mpya kwa kuendelea kuwa nanga ili Hali wanatamani kutoka kundini na kujiunga sehemu zingine.
6. Je, mmewasoma Watanzania vizuri? Study the behavior of the voters and then get to radicalize, nafupisha tu hapa.
7. Je mnazifahamu kanda za uchaguzi? Je ni wap kuna idadi kubwa ya wapiga kura? Je , namba moja wa sasa ana kanda yoyote Tanzania Bara inayomkubali kama ilivyokuwa kwa watangulizi wake? Jibu ni kwamba Hana zaid ya zenji.
8. Kwanini mkiwa kanda ya ziwa mnawatukania shujaa wao,??? Hata kama alikuwa na mapungufu kwenu, kwao ni mtoto wao, hawezi kuwa mbaya, mlitakiwa kubadilika hapo na ikiwezekana kunadi mazuri yake mengi tu. Hapa watu watawaelewa vizuri kwamba kumbe nanyi mnathamini mchango wake na mna nia ya kuleta maendeleo.
9. Someni siasa za urusi, china Singapore na Magharibi Kisha wekeni kwenye kapu moja. Scout people with big IQ wachana na watu wanaopanda jukwaani kubwata, jengeni hoja my friends kuelekeza 2025, katiba mpya is fine lakini mnaidai huku government ikiwa ime relax, no pressure from the citizens. Je, mtafanikiwa?
10. What are the rules of power? Kamwe msiache kuungana wanangu. Ruto na Odinga kila mmoja aliungana na vyama kutengeneza nguvu yake, take it as a pilot...acheni konyagi, nionavyo Mimi NJIA ni NYEUPE 2025 kuliko wakat mwingine wote tangu nijitambue kuanzia awamu ya nne kuja hapa.
Watanzania tumechoka kuwa wasindikizaji, tunataka viongozi wazalendo na wanaochukia ufisadi si kwa maneno tu Bali kwa dhamira toka moyoni. Na wakisema tuone Wana maanisha kweli.
Mwisho CHADEMA msijitenge, ukombozi wa nchi yetu ni jukumu letu sote. Hatupendi kuona nchi yetu ikipigwa mnada hivi.