CHADEMA mtatoka na ajenda gani baada ya kurudi kwa mikutano ya hadhara ya siasa

Hayo ni maoni yako na yanastahili yaheshimiwe.
 
Ni Aibu
Hivyo ndio unavyoweza kusema, ni aibu kubwa imewapata chadema kwenye maandalizi ya mikutano yao mwanza na musoma.

Nimekuja Mwanza kikazi ila pia kuafatilia mkutano wa chadema. Muitikio wa watu ni mdogo sana, bahati mbaya Wana magari ya matangazo Ila magari yenyewe nimekutana na moja limeisha mafuta.

Watu wapo busy kusaka pesa ili kuinua uchumi. Hawana muda kabisa na hii inayoitwa mkutano wa hadhara.

Hali ikiendelea hivi, huenda mkutano wa kesho ukahairishwa. Ndio, nina uhakika kwa 90% mkutano unaweza kuhairishwa sababu ya muitikio mdogo.

Nitawaletea kila kitachojiri, maana wana kawaida ya ku-edit picha na kutumia zile za 2015 za Lowassa.
 
Kushinei kabisa
 
Naam naam napokea tokea musoma hali si njema muraaa!
 
Adui Yako akikunenea mabaya jua UNAFANYA VIZURI, LAKINI,

Adui Yako akikusifia, jiangalie mara mbili, Kuna tatizo mahala.

Nimeona VIDEO, matching guys na akina mama soko la mirongo wakicheza Kwa furaha nyimbo za CDM,

Kesho ni Furaha tele, maybe BASHE aweza STUKA Michele kuuzwa mza Leo 3000 Kwa kilo!!!!
 
Aibu iwapate wao sasa ndio uumie wewe wakati ni faida kwako?
 
Hata kama ni AIBU kinakuwasha washa nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…