Ni Aibu
Hivyo ndio unavyoweza kusema, ni aibu kubwa imewapata chadema kwenye maandalizi ya mikutano yao mwanza na musoma.
Nimekuja Mwanza kikazi ila pia kuafatilia mkutano wa chadema. Muitikio wa watu ni mdogo sana, bahati mbaya Wana magari ya matangazo Ila magari yenyewe nimekutana na moja limeisha mafuta.
Watu wapo busy kusaka pesa ili kuinua uchumi. Hawana muda kabisa na hii inayoitwa mkutano wa hadhara.
Hali ikiendelea hivi, huenda mkutano wa kesho ukahairishwa. Ndio, nina uhakika kwa 90% mkutano unaweza kuhairishwa sababu ya muitikio mdogo.
Nitawaletea kila kitachojiri, maana wana kawaida ya ku-edit picha na kutumia zile za 2015 za Lowassa.
Idadi ya watu kwenye mikutano sio tija sana siku hizi cha maana ni ujumbe na matokeo. Mfano Lissu anafanya mikutano ya kwa njia ya mitandao na anapata watu zaidi ya 3,000 wakati mwingine mpaka 5,000 na ujumbe unatembea. Jiulize miaka 7 wamewezaje kuwepo bila mikutano? Yaani wananchi wanajali matokeo kama katiba mpya na vitu kama hivyo sio kujaza watu. Hata wakija watu 1,000 poa