Tetesi: CHADEMA muda wowote kusitisha Oparesheni UKUTA

Status
Not open for further replies.
Mbowe anatafuta sababu ili ionekane serikali inataka mazngumzo.
 
Hii zama nyingine litakalokua na liwe magu mazungumzo No
 
Yani hakutakua na ukuta wala uzio hapa.Hizo nisinema tu na soon utasikia wameachana nahiyo operesheni yao
 
Nimeshajiandaa kwa lolote....! Ila wajukuu zangu wapate mahali salama pa kuishi miaka ijayo
 


Chadema wako kama Wanawake, siku zote Mwanamke akitaka kitu huwa akwambii moja kwa moja bali hukuanzishia visa, na kila unapompuuzia basi visa huongezeka, labda ndiyo maana Wanachama karibia wote wa chadema wana matatizo kwenye ndoa zao kwa maana Wanawake wanashindwa kujua yupi Mwanamke na yupi Mwanaume yaani wanaleta ushindani kwa wake zao!!
Hakuna majadiliano na takataka yoyote ili tuone hiyo Septemba Mosi watafanya nini!
 
Chadema wako kama Wanawake, siku zote Mwanamke akitaka kitu huwa akwambii moja kwa moja bali hukuanzishia visa, na kila unapompuuzia basi visa huongezeka!
Hakuna majadiliano na yoyote ili tuone hiyo Septemba Mosi watafanya nini!
CHADEMA ni hatari.
 
Ameona uzi wa magu haulegei, picha ya damu kumwagika kaiona kupitia mazoezi ya vijana wa jeshi la polisi kuwa hawatanii!
 
Waendelee tu,anafikiri Jpm ana muda wa kuwaita ikulu wanywe chai...
Utawala huu sio jk,mazungumzo watayaskia tu..
 
Nyie watu wa ajabu sana akitangaza UKUTA mnalialia sasa anataka kusitisha mnalialia, tuwaeleweje? Mnajua lengo la UKUTA? Hizi ni dalili kuwa mnapiga kelele tu bila kueLewa dhana nzima ya UKUTA

Wasira aliyesema CDM itakufa kabla ya sijui 2010 leo ametoka hadharani na kuona logic behind UKUTA lakini nyie wamezaji ndio hamuelewi
 
History shows kwamba the current person in power hana tabia ya kukaa na kusort things out, anatumia brute force zaidi so i doubt that will happen
Ila a week is a long time, anything can happen, so we just have to wait and see
Hajawahi na hatawahi kukaa na kupga soga...
N man of actions
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…