Tetesi: CHADEMA muda wowote kusitisha Oparesheni UKUTA

Status
Not open for further replies.
Ukiwa muoga usiwatie na wenzako hofu
 

Tutashiriki ili mshangae mlivyowajinga nyie mnaoishi kwenye giza ya kuongozwa na akili ya mtu mmoja
 
Hatutaki wasitishe hawa.. Waendelee tuone..
 
Yote heri ila mimi nilikuwa natamani zaidi waandamane mie natamani san KUPIGA watu hawa wa ukutani.
 

Tutashiriki ili mshangae mlivyowajinga nyie mnaoishi kwenye giza ya kuongozwa na akili ya mtu mmoja wewe km unahisi ufisadi ndio suala kubwa tuu basi we ni mjinga
 
Hakuna cha UKUTA wala ninu hii mbinu ya kujijenga kwa kumwaga damu ya watu katika maandamano na mambo yanayofanana na KUTA za nyumba si sasa,watu wameamka,wanataka maendeleo na vitendo si maneno
 
Mleta uzi juzi alianzisha thread kua hajui kinachojiri tarehe 1 september sababu yuko nje ya nchi....leo anasema amenyetishwa habari kua hakuna maandamano akina mbowe wataenda ikulu kumpongeza jpm. Hahahahha nafwaaz
 
Imekuingia hiyo, ukuta iko palepale
 
Ligazeti lirefu hakuna maana yoyote
 

wanachotaka ukawa ni kutafuta kick ya kwamba raisi kawaita aongee nao kama walivokuwa wanamchezea JK. Hakuna muda wa kuongea wawaache watu wafanye kazi. Bunge wanaliona waende wakatetee wananchi na sio kuzurura mitaani kueneza siasa za mamvi.
 
Imepenya hiyooooooo
 
Imekuingia hiyo sasa unaanza kutapa tapa ukuta ipo palepale
 
Inaelekea kuna korodani ziko kwenye vice!
 
Amini, sadam, gadafi walikuwa wa tofauti pia!
 
Ccm sasa wanapokea mapigo kila upande
 
Hata ungekuwa wewe, huu mkwara wa baba ubaya ni hatari. kila wilaya jamaa wamepiga matizi ya kutisha hatari, lazima hawa jamaa wangeshikishwa ukuta hasa, Haya mazoezi ya kila wilaya yalikuwa balaa. jamaa wamechungulia hiyo tarehe 1 sept wakaona moto wa hatari mbele. hacha waufyate tu, hakuna cha ukuta wala nini. wangekula virungu vya kutosha.
 
Wanaoleta habari hizi ni wale wale, kutoka chama kile kile, wakitaka kufanikisha azma ile ile. Mh! Ngumu kumesa.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…