Uchaguzi 2020 CHADEMA Muungane na ACT-Wazalendo na pia fanyeni mazungumzo na Fatma Karume awe Mgombea mwenza wa Lissu katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
49,390
Reaction score
152,301
Huu ndio ushauri wangu kwa CHADEMA na ACT-Wazalendo ambao wako katika mazungumzo na vyama vingine kwa lengo la kushirikiana katika uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu.

Ninahaki combination ya Lissu na Fatma Karume itakuwa na nguvu sana na pia itasaidia ku-balance swala zima la gender huku Maalim Seif akiongeza nguvu kwa kumpigia kampeni huko visiwani.

Vile vile itasaidia sana kuweka mizani sawa iwapo CCM watamsimamisha mtu mwingine kutoka katika ukoo/famili ya mzee Karume kugombea uraisi huko Zanzibar.

Nawachia wakuu muamue sisi wengine tunatoa mawazo tu.
 
Naunga mkono hoja ila yule Dada Sijuwi kama atakubali ila hata Ismail Jussa anafaa kuwa makamo.
Na kumuweka Jussa bila shaka linaweza kuwa ni moja ya makubaliano kati ya ACT na CHADEMA na hapo ndio ugumu wa kumsimamisha mwamama huyu unaweza kutokea ila nahakika mwanamama huyu angefaa sana kuwa mgombea mwenza wa Lissu.
 
Mnamfukuza mtu to the point anaenda mahakamani ili abakie na ubunge.

Anaanzisha chama chake.

Miaka baadaye unaenda ili ukaungane naye.

All the while sababu ya kumfukuza mnadai ni msaliti.

Dafuq
 
Fatuma anaogopa ku-jeopardize position ya baba yake na athali kwa kaka yake anayegombea urais Zanzibar. But a very brilliant idea!
Hahaha...mnachekesha sana, kaka yupi wa Fatma anagombea urais Zanzibar?
 
Mnamfukuza mtu to the point anaenda mahakamani ili abakie na ubunge.

Anaanzisha chama chake.

Miaka baadaye unaenda ili ukaungane naye.

All the while sababu ya kumfukuza mnadai ni msaliti.

Dafuq
Mnafiki mkubwa!!Dr.Slaa mliepa ubalozi si mlikuwa mnapiga virungu na mabomu wakati yuko upinzani ila leo kageuka lulu?

Wapinzani mliowaita malofa mbona leo hii Magu kawapa vyeo na hujawahi kuhoji au kukosoa?
 
Huu ndiyo uzuri wa cdm kila mtu mwenye wazo zuri la kukijenga chama yupo huru kutoa mchango wake wa kukiimarisha chama.
 
Naunga mkono hoja kwa 110% Zitto

 
Unasema Lissu tena wakati nasikia Mwenyekiti anagombea? Ndoto za Lissu kugombea zimezimwa na wale wazee waliomfuata mwenyekiti nyumbani na kumlazimisha agombee!!
 
Mnafiki mkubwa!!Dr.Slaa mliepa ubalozi si mlikuwa mnapiga virungu na mabomu wakati yuko upinzani ila leo kageuka lulu?

Wapinzani mliowaita malofa mbona leo hii Magu kawapa vyeo na hujawahi kuhoji au kukosoa?
Na mkamtangaza Ni adui yenu mkubwa!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…