Uchaguzi 2020 CHADEMA Muungane na ACT-Wazalendo na pia fanyeni mazungumzo na Fatma Karume awe Mgombea mwenza wa Lissu katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu

Uchaguzi 2020 CHADEMA Muungane na ACT-Wazalendo na pia fanyeni mazungumzo na Fatma Karume awe Mgombea mwenza wa Lissu katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu

Mnafiki mkubwa!!Dr.Slaa mliepa ubalozi si mlikuwa mnapiga virungu na mabomu wakati yuko upinzani ila leo kageuka lulu?

Wapinzani mliowaita malofa mbona leo hii Magu kawapa vyeo na hujawahi kuhoji au kukosoa?
Mtu akitubu tunampokea
Zitto ametubu wapi?
 
Mnamfukuza mtu to the point anaenda mahakamani ili abakie na ubunge.

Anaanzisha chama chake.

Miaka baadaye unaenda ili ukaungane naye.

All the while sababu ya kumfukuza mnadai ni msaliti.

Dafuq
Ni kwakuwa unafiki una nguvu kwenye siasa za Tanzania.
Mtu ambaye juzi na jana aliitwa msaliti leo anaonekana turufu kwenye malengo ya kiasa
 
Back
Top Bottom