Uchaguzi 2020 CHADEMA Muungane na ACT-Wazalendo na pia fanyeni mazungumzo na Fatma Karume awe Mgombea mwenza wa Lissu katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu

Mnafiki mkubwa!!Dr.Slaa mliepa ubalozi si mlikuwa mnapiga virungu na mabomu wakati yuko upinzani ila leo kageuka lulu?

Wapinzani mliowaita malofa mbona leo hii Magu kawapa vyeo na hujawahi kuhoji au kukosoa?
Nenda katika threads ambazo zilimzungumzia Slaa na wengine waliohamia ccm kisha angalia kama utakosa comment yangu ya kuongea juu ya hizo blunder
 
Kwani fatuma karume ni mwana CDM,sio kila anayeikosoa serikali yupo upinzani hata huku CCM tupo wengi tu tusiopendezwa na baadhi ya mambo ya mwenyekiti.
 
Huu ndio ushauri wangu kwa CHADEMA na ACT-Wazalendo ambao wako katika mazungumzo na vyama vingine kwa lengo la kushirikiana katika uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu.

Ninahaki combination ya Lissu na Fatma Karume itakuwa na nguvu sana na pia itasaidia ku-balance swala zima la gender huku Maalim Seif akiongeza nguvu kwa kumpigia kampeni huko visiwani.

Vile vile itasaidia sana kuweka mizani sawa iwapo CCM watamsimamisha mtu mwingine kutoka katika ukoo/famili ya mzee Karume kugombea uraisi huko Zanzibar.

Nawachia wakuu muamue sisi wengine tunatoa mawazo tu.
Akili yako ndogo unafikiri uchaguzi ni account ya twitter!
 
Hii ndo combination sound, combinenga.. Vita ngumu Japan anamuomba Korea kusini wampige Korea kaskazini..
 
Huu ndio ushauri wangu kwa CHADEMA na ACT-Wazalendo ambao wako katika mazungumzo na vyama vingine kwa lengo la kushirikiana katika uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu.

Ninahaki combination ya Lissu na Fatma Karume itakuwa na nguvu sana na pia itasaidia ku-balance swala zima la gender huku Maalim Seif akiongeza nguvu kwa kumpigia kampeni huko visiwani.

Vile vile itasaidia sana kuweka mizani sawa iwapo CCM watamsimamisha mtu mwingine kutoka katika ukoo/famili ya mzee Karume kugombea uraisi huko Zanzibar.

Nawachia wakuu muamue sisi wengine tunatoa mawazo tu.
Ni wastage of time tu...Chadema haiwez kushinda uraisi kwa tume hii tuliyonayo.Shangazi akagombee tu ubunge na sio kupoteza hela kweny nafasi ambayo it is obviously upinzani hawawez shinda
 
Fatuma anaogopa ku-jeopardize position ya baba yake na athali kwa kaka yake anayegombea urais Zanzibar. But a very brilliant idea!
Nani alikwambia Ali Karume ni kaka yake Fatuma? Msipende kudandia vitu msivyovijua,, huyo ni babake mdogo!
 
Huu ndio ushauri wangu kwa CHADEMA na ACT-Wazalendo ambao wako katika mazungumzo na vyama vingine kwa lengo la kushirikiana katika uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu.

Ninahaki combination ya Lissu na Fatma Karume itakuwa na nguvu sana na pia itasaidia ku-balance swala zima la gender huku Maalim Seif akiongeza nguvu kwa kumpigia kampeni huko visiwani.

Vile vile itasaidia sana kuweka mizani sawa iwapo CCM watamsimamisha mtu mwingine kutoka katika ukoo/famili ya mzee Karume kugombea uraisi huko Zanzibar.

Nawachia wakuu muamue sisi wengine tunatoa mawazo tu.
Zama za loud speakers zimeisha

Kazi kwanza
 
Chadema mnapenda utani sana!
 
Huu ndiyo uzuri wa cdm kila mtu mwenye wazo zuri la kukijenga chama yupo huru kutoa mchango wake wa kukiimarisha chama.

mngekua na huo uzuri wale waliokua na mawazo ya kuendelea kutumikia wananchi wao bungeni msingewafukuza, sasa sjui mnaongelea uzuri gan? kumleta lowasa kua mgombea wenu?? hatuwaelewi
 
Alieviona vile viwanda vilivyotajwa leo atusaidie tuwaoneshe vijana wakaombe ajira.

alieona zile billion nane atupe taarifa jaman uchunguzi ufutwe!! maaana jamaa ana presha mpaka anaanguka kwenye ngazi
 
Chadema no fear no hate!

no hate wakati mnawachukia walioenda kuwawakilisha wananchi bungeni kisa corona! yaani wananchi hawajajifungia kisa corona alafu nyie mliopewa dhamana ndo mmejifungia!! alafu unasema no hate while mmewatimua, nan anahusika kucontrol akili za wana cdm tumbadilishe?
 
Nyie endeleeni na kuburuzwa na yesu kwa kutengeneza form moja tu
mngekua na huo uzuri wale waliokua na mawazo ya kuendelea kutumikia wananchi wao bungeni msingewafukuza, sasa sjui mnaongelea uzuri gan? kumleta lowasa kua mgombea wenu?? hatuwaelewi
 
Membe ndiye mgombea wa ccm kwani sisi wana ccm tunamtaka

Back
Top Bottom