Nenda katika threads ambazo zilimzungumzia Slaa na wengine waliohamia ccm kisha angalia kama utakosa comment yangu ya kuongea juu ya hizo blunderMnafiki mkubwa!!Dr.Slaa mliepa ubalozi si mlikuwa mnapiga virungu na mabomu wakati yuko upinzani ila leo kageuka lulu?
Wapinzani mliowaita malofa mbona leo hii Magu kawapa vyeo na hujawahi kuhoji au kukosoa?
Mi siyo mwanasiasa tho. Notice namna mawazo yangu hayajabanwa na boksi la uccm au ucdm
Akili yako ndogo unafikiri uchaguzi ni account ya twitter!Huu ndio ushauri wangu kwa CHADEMA na ACT-Wazalendo ambao wako katika mazungumzo na vyama vingine kwa lengo la kushirikiana katika uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu.
Ninahaki combination ya Lissu na Fatma Karume itakuwa na nguvu sana na pia itasaidia ku-balance swala zima la gender huku Maalim Seif akiongeza nguvu kwa kumpigia kampeni huko visiwani.
Vile vile itasaidia sana kuweka mizani sawa iwapo CCM watamsimamisha mtu mwingine kutoka katika ukoo/famili ya mzee Karume kugombea uraisi huko Zanzibar.
Nawachia wakuu muamue sisi wengine tunatoa mawazo tu.
Ni wastage of time tu...Chadema haiwez kushinda uraisi kwa tume hii tuliyonayo.Shangazi akagombee tu ubunge na sio kupoteza hela kweny nafasi ambayo it is obviously upinzani hawawez shindaHuu ndio ushauri wangu kwa CHADEMA na ACT-Wazalendo ambao wako katika mazungumzo na vyama vingine kwa lengo la kushirikiana katika uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu.
Ninahaki combination ya Lissu na Fatma Karume itakuwa na nguvu sana na pia itasaidia ku-balance swala zima la gender huku Maalim Seif akiongeza nguvu kwa kumpigia kampeni huko visiwani.
Vile vile itasaidia sana kuweka mizani sawa iwapo CCM watamsimamisha mtu mwingine kutoka katika ukoo/famili ya mzee Karume kugombea uraisi huko Zanzibar.
Nawachia wakuu muamue sisi wengine tunatoa mawazo tu.
Nani alikwambia Ali Karume ni kaka yake Fatuma? Msipende kudandia vitu msivyovijua,, huyo ni babake mdogo!Fatuma anaogopa ku-jeopardize position ya baba yake na athali kwa kaka yake anayegombea urais Zanzibar. But a very brilliant idea!
Kwa Jussa nakuunga mkono mkuu!Naunga mkono hoja ila yule Dada Sijuwi kama atakubali ila hata Ismail Jussa anafaa kuwa makamo.
Zama za loud speakers zimeishaHuu ndio ushauri wangu kwa CHADEMA na ACT-Wazalendo ambao wako katika mazungumzo na vyama vingine kwa lengo la kushirikiana katika uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu.
Ninahaki combination ya Lissu na Fatma Karume itakuwa na nguvu sana na pia itasaidia ku-balance swala zima la gender huku Maalim Seif akiongeza nguvu kwa kumpigia kampeni huko visiwani.
Vile vile itasaidia sana kuweka mizani sawa iwapo CCM watamsimamisha mtu mwingine kutoka katika ukoo/famili ya mzee Karume kugombea uraisi huko Zanzibar.
Nawachia wakuu muamue sisi wengine tunatoa mawazo tu.
Chadema mnapenda utani sana!Huu ndio ushauri wangu kwa CHADEMA na ACT-Wazalendo ambao wako katika mazungumzo na vyama vingine kwa lengo la kushirikiana katika uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu.
Ninahaki combination ya Lissu na Fatma Karume itakuwa na nguvu sana na pia itasaidia ku-balance swala zima la gender huku Maalim Seif akiongeza nguvu kwa kumpigia kampeni huko visiwani.
Vile vile itasaidia sana kuweka mizani sawa iwapo CCM watamsimamisha mtu mwingine kutoka katika ukoo/famili ya mzee Karume kugombea uraisi huko Zanzibar.
Nawachia wakuu muamue sisi wengine tunatoa mawazo tu.
Haikuhusu nyamaza huna hoja.Chadema ni sikio la kufa
Huu ndiyo uzuri wa cdm kila mtu mwenye wazo zuri la kukijenga chama yupo huru kutoa mchango wake wa kukiimarisha chama.
Alieviona vile viwanda vilivyotajwa leo atusaidie tuwaoneshe vijana wakaombe ajira.
Chadema no fear no hate!
mngekua na huo uzuri wale waliokua na mawazo ya kuendelea kutumikia wananchi wao bungeni msingewafukuza, sasa sjui mnaongelea uzuri gan? kumleta lowasa kua mgombea wenu?? hatuwaelewi
no hate wakati mnawachukia walioenda kuwawakilisha wananchi bungeni kisa corona! yaani wananchi hawajajifungia kisa corona alafu nyie mliopewa dhamana ndo mmejifungia!! alafu unasema no hate while mmewatimua, nan anahusika kucontrol akili za wana cdm tumbadilishe?
Chadema no fear no hate!
Nyie endeleeni na kuburuzwa na yesu kwa kutengeneza form moja tu