mtwa mkulu JF-Expert Member Joined Sep 11, 2013 Posts 8,586 Reaction score 11,227 Jun 25, 2020 #61 Salary Slip said: Mnafiki mkubwa!!Dr.Slaa mliepa ubalozi si mlikuwa mnapiga virungu na mabomu wakati yuko upinzani ila leo kageuka lulu? Wapinzani mliowaita malofa mbona leo hii Magu kawapa vyeo na hujawahi kuhoji au kukosoa? Click to expand... Mtu akitubu tunampokea Zitto ametubu wapi?
Salary Slip said: Mnafiki mkubwa!!Dr.Slaa mliepa ubalozi si mlikuwa mnapiga virungu na mabomu wakati yuko upinzani ila leo kageuka lulu? Wapinzani mliowaita malofa mbona leo hii Magu kawapa vyeo na hujawahi kuhoji au kukosoa? Click to expand... Mtu akitubu tunampokea Zitto ametubu wapi?
mtwa mkulu JF-Expert Member Joined Sep 11, 2013 Posts 8,586 Reaction score 11,227 Jun 25, 2020 #62 Hivi huyu zitto ndo yule alikuwa msaliti? Salary Slip
MOTOCHINI JF-Expert Member Joined Jan 20, 2014 Posts 28,064 Reaction score 31,401 Jun 25, 2020 #63 Endeleeni kutapa tapa nabado
moudgulf JF-Expert Member Joined Jan 23, 2017 Posts 142,674 Reaction score 743,909 Jun 25, 2020 #64 Castr said: Mnamfukuza mtu to the point anaenda mahakamani ili abakie na ubunge. Anaanzisha chama chake. Miaka baadaye unaenda ili ukaungane naye. All the while sababu ya kumfukuza mnadai ni msaliti. Dafuq Click to expand... Ni kwakuwa unafiki una nguvu kwenye siasa za Tanzania. Mtu ambaye juzi na jana aliitwa msaliti leo anaonekana turufu kwenye malengo ya kiasa
Castr said: Mnamfukuza mtu to the point anaenda mahakamani ili abakie na ubunge. Anaanzisha chama chake. Miaka baadaye unaenda ili ukaungane naye. All the while sababu ya kumfukuza mnadai ni msaliti. Dafuq Click to expand... Ni kwakuwa unafiki una nguvu kwenye siasa za Tanzania. Mtu ambaye juzi na jana aliitwa msaliti leo anaonekana turufu kwenye malengo ya kiasa