Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Huu ndio ushauri wangu kwa CHADEMA mpya chini ya Mwenyekiti, Tundu Lissu.
Nakumbuka makama wake, John Heche, siku Lissu anaingia ofisini kwa mara ya kwanza, aliahid kuwa wataanza kuanika madudu mbalimbali na alitoa mfano wa uagiza wa mabehewa ya treni(kama ni mapya, yamepigwa rangi, n.k)
Nafikiri wakati umefika wa kuunganisha nguvu kumuunga mkono Mpina vinginevyo nchi itabaki mifupa tu hii.
Pia, Wana-CCM nanyi hii kazi inawahusu na sio kuimba mapambio tu muda wote.