Sema wana CCM huwa wanajisahau sana, wapinzani wameomba tume huru na katiba mpya wanawazodoa tu. Siku wakifukuzwa CCM ndio wanaanza kutambua umuhimu wa tumè huru. Kwa hali ilivyo Mpina àkihamia upinzani hawezi shinda ubunge kwahiyo angetumia huu muda uliobaki kudai reforms kwenye chaguzi ili hata akiondolewa CCM awe na uhakika wa kurudi bungeni.
Najua kuna wengi tu wangependa kumchallenge Mama Samia ila hawawezi na hata wakienda upinzani wanajua wakimshinda hawatotangazwa. Ingekua uchaguzi ni huru trust me kina Majaliwa, Bashiru n.k wangejitoa ili kummaliza Mama Oktoba hiyo ila ndio hivyo tena tume sio huru na wao wanajua hilo
CCM amkeni uchaguzi huru na haki ni kwa faida ya wote sio upinzani tu.